Katibu Mkuu UN: HAMAS wana haki ya kuwapiga Israel

"Bibi" na viongozi wenzake wanaleta siasa kwenye hii vita...kura za maoni zimeonesha waisrael wengi now hawana imani na Bibi ,so anaua sana huko Gaza akiwaza kuwa itampa crdts,ila ashachemka tayari kuwalinda Taifa lake.

Am sure alikuwa na taarifa toka vyanzo vyake kuwa kuna tukio liakuja...Russia Jana kwenye baraza la Usalama wanasema walionya khs hili.
 
Katika hotuba yake akidai ukiukwaji wa Sheria za Kimataifa za Kibinadamu, Gutteres alisema: "Ni muhimu pia kutambua mashambulizi ya HAMAS hayakutokea bila sababu. Watu wa Palestina wamekuwa wakikaliwa kwa mabavu si chini ya miaka 56." Mwisho wa kunukuu.

Sasa wewe mkiristo wa JF unaecoments upuuzi na kuipendelea Israel umetoa wapi roho mbaya hiYo?
Halafu eti israel inamshutumu na kutaka ajiuzulu wakati kawapa ukweli wao, hata paka ukimfungia chumbani ili umuue lazima apambane hutomuua kizembe it will fight back
 
Kumbe wagalatia hua wanadhani kua waisrael "Jews'' ni wakristo?
Vipi wapagani wanaobusu Black Stone Mecca huku wakiamini Jiwe linasamehe dhambi wakiliguza, Arabs na weusi wanaaminiwa ni watumwa hadi leo hii..

Muslim wengi linapokuja suala la Dini IQ zao zinashuka chini kabisa...

Stuka Israel ni watoto 12 ya Yakobo mtoto aliyeitwa Judas ndio Kabila la Jews
katika kabila la Judah kuna waliochagua dini kwa wanavyoamini wao so kuna christian hadi RC Wapo kuna Orthodox Jews, Kuna Muslims pia na kuna pagan pia tunaamini kuwa freewill sio kama Muslim kila kitu mmepangiwa na Allah even Mkifanya Dhambi niAllah ndie aliyepanga sohata Ugaidi wa Gaza ni Allah aliyepanga ndio maana kawapanga arabs from Gaza kusema Allah Akbar wanapoua Waisrael na Non Muslims.

Ukristo ni jina la wanaofuata Mafundisho ya Massiah Jesus...

Usiwe kama yale Majinga yanayosema Yesu hakuwa Mkristo wakati ndio mkristo bali mafundisho yake good news wanaofuata ndio wanaitwa hivyo ni sawa na kusema Allah ni Muislam?
 
Hizo story za kijiweni hamas wanapambania ardhi yao na si magaidi hata secretary general wa united nations anawaunga mkono na viongozi wengi wa ulaya akiwemo jeremy corbin, hamas hawatapigana kama haki itapatikana na israel akaheshimu mipaka, hata mandela alikuwa akiitwa gaidi na marekani na magharibi kisa tu kupigania kwake haki
 
wakristo wa kweli ni wale wa Lebanon wanaopigana bega kwa bega na waislamu kuifurumua Israel.Huku kwetu wayahudi wamefanikiwa sana kuteka wakristo kuingia upande wao kwa kutumia yanayoitwa makanisa ya kisabato.
Wafilisti ndugu wa goliathi Hilo taifa la Israel mlishalishindwa toka nyakati za kina Samson na goliathi. Endeleeni nalo uzuri wa Hilo taifa ua nikuue basi. Kata mkono mmoja anakata miwili. Kwahiyo roketi zikirushwa wafilisti wanajua jamaa lazima walipize ndiyo asili yao. Wana usemi wao wanasema sisi Ni taifa la vita toka utoto wetu.
 
Back
Top Bottom