Ni jambo la kujivunia kwamba tunapokuwa na viongozi waliojawa uzalendo mioyoni mwao basi yoyote anaweza kuongoza popote bila kujali au kuzingatia taaluma yake.
Tanzania ni nchi inayopigiwa mfano kwa utawala bora Afrika ya mashariki lakini mkuu wa chombo cha kutunga sheria ( bunge) siyo...
Siasa siyo uadui.
Nakumbuka kamati kuu ya CHADEMA iliketi tarehe 27/11/2020 na kuwatimua chamani wanachama wake takribani 19 wote wakiwa ni akina mama.
Katiba ya Chadema inatoa muda wa siku 30 muathirika kukata rufaa endapo hajaridhika na maamuzi ya kamati kuu.
Leo ni tarehe 22/12/2020 hivyo...
Habarini za wakati huu waungwana.
Kwanza kabisa nichukue nafasi kukupa pole ya msiba mzito uliokupata Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe, Msiba wa kuondokewa na Baba yako kipenzi. Mungu akutie nguvu katika kipindi hiki kigumu.
Nikirejea Kwenye mada tajwa kama ilivyo jieleza kwenye kichwa cha uzi huu...
ICC WAPO KIKAZI KWELI.
Asante Sana Mahakama ya Kimataifa-ICC kwa mwongozo mlionipa baada ya kuwatumia malalamiko yangu juu ya Rais kuvunja KATIBA na Mateso niliyoyapata gerezani. Nafanyia marekebisho nakuwarejeshea Tena.@Don Nalimison.
Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika ibara ya 4(3) imeeleza kuwa kwa ajili ya utekelezaji bora wa shughuli za umma Katika Jamuhuri ya muungano na kwa ajili ya madaraka juu ya shughuli hizo kutakuwa na mambo ya muungano ambayo yatafanywa kwa ushirikiano kati ya Tanzania bara na...
The High Court in Kenya has ordered the country's 416 lawmakers pay back 1.2bn shillings ($10m; £7.5m) after ruling that the money had been unlawfully given to them as housing allowances, local media report.
The Parliamentary Service Commission (PSC) had encroached on the mandate of the...
SISI CUF TUTAJIKITA KUDAI TUME HURU YA UCHAGUZI NA KATIBA MPYA" PROF. LIPUMBA"
Mwenyekiti wa CUF, Prof. Lipumba amesema hayo leo Desemba 9,2020 wakati alipokutana na viongozi mbali mbali wa mkoa wa Dar es Salaam katika Ofisi Kuu ya chama Buguruni.
Prof. Lipumba alikutana na wenyekiti wa...
Ni miaka 27 tokea mfumo wa vyama vingi urudishwe tena Tanzania.
Ulikuwepo kablaya Uhuru na mara tuu baada ya Uhuru waTanganyika Dec.9.1961/Zanzibar Dec.10. 1963.
Lakin CCM walirudisha neno vyama vingi tuu huku wakiendelea na katiba ile ile y chama kimoja iliyorekebishwa kwenye vipengele vichache...
Tumekuwa tukishuhudia kila kiongozi kabla ya kukabidhiwa madaraka, ni lazima kwanza aape na katika kiapo hicho, sharti kuu ni kuilinda na kuiheshimu Katiba ya nchi ambayo ndiyo sheria mama ya nchi yetu
Sasa ni kwanini baadhi ya viongozi Mara tu wanapoanza kutumikia nyadhifa hizo wanaipuuza...
Hakika tumeshuhudia mengi katika kipindi hiki kifupi viongozi wetu wakitenda hili na lile kwa faida ya nchi yetu, lakini pia wakitenda hili na lile kwa fedheha ya nchi yetu.
Ni kipindi ambacho baadhi ya viongozi wa kisiasa wamekuwa na nguvu kushinda katiba ya nchi wanayo apa kwayo kuilinda...
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Hussein Mwinyi amemteua Maalim Seif Shariff Hamad, kuwa Makamu wa kwanza wa Rais wa Zanzibar kuanzia leo Disemba 06, 2020.
=====
Taarifa kwa vyombo vya Habari
Kwa kuzingatia matakwa ya Kifungu cha 9(3) cha Katiba ya Zanzibar ya Mwaka...
NANI ANAVUNJA KATIBA YA NCHI? NANI WA KUSEMA? NA ADHABU YAKE NI IPI NA NANI WA KUTOA ADHABU HIYO?
Katika Ulimwengu huru, unaojali na kuheshimu haki na demokrasia; viongozi walioapa kuilinda Katiba ya Nchi huiheshimu sana na ikitokea wameivunja adhabu yao ni kujiuzuru mara moja! Wananchi na...
Tunajua kuwa sheria mama ya nchi hii ni Katiba ya Jamhuri wa Muungano, 1977, ambapo kila mwananchi anapaswa kuiheshimu na kuitii.
Viongozi wakuu wa serikali wanaapishwa kwa kuilinda Katiba hiyo kabla hatujawakabidhi madaraka hayo.
Katika kile tunachokiona watanzania kwa sasa kuona viongozi...
ASKOFU KUONGOZA MATEMBEZI YA HIARI YA RAIA KUHAMASISHA UUNDAJI WA TUME HURU YA UCHAGUZI NA UANDIKAJI WA KATIBA MPYA NCHINI TANZANIA!
Wapendwa Watanzania!
Tunapenda kuwajulisha kuwa Askofu Mwamakula, anakusudia kuongoza Matembezi ya Hiari ya Raia yasiyopungua umbali wa Kilometa 15 katika Mikoa...
CUF CHAMA CHA WANANCHI
Desemba 20,2020 kitazindua rasmi kongamano la kudai katiba mpya na tume huru ya uchaguzi.
Kongamano hilo litafanyika katika ofisi kuu ya chama BUGURUNI .
MWANACHI, MWANACHAMA WA CUF WOTE MNAKARIBISHWA.
Kufuatia kusudio la Halima James Mdee na wenzake 18 la kukata rufaa Baraza Kuu la CHADEMA wakipinga maamuzi ya Kamati Kuu ya kuwavua uanachama, kwa sasa hadhi yao ikoje?
Ni wanachama wafu ambao Baraza Kuu linaweza kuwafufua au siyo wanachama na kwahiyo siyo Wabunge?
Naomba vifungu vya Katiba...
Wanajamvi,
Kama kwenye Taifa kuna mtu au kikundi cha watu ambao wako juu ya Sheria na Katiba, basi Taifa hilo siyo huru. Bali litakuwa linaongozwa na kundi hilo.
Ngoja kitu kimoja tulivyokuwa wajinga kama Taifa. Na ujinga siyo tusi, maana unafutika, ila ni adui mkubwa wa maendeleo tokea...
Sakata linaloendelea kati ya Spika Ndugai, CHADEMA na wale Wabunge 19 waloapishwa kinyume cha Katiba ni aibu kwa Tanzania.
Ili kukomesha huu upuuxi wa Spika Ndugai CHADEMA lazima ifungue kesi Mahakamani haraka sana ili sheria ichukue mkondo wake.
Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania iko...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.