katiba

  1. dubu

    JamiiForums Tanzania Humphrey Polepole: Rais Magufuli hafurahishwi na mjadala wa kuongezewa miaka ya Urais kutoka 5 hadi 7

    Rais Magufuli hafurahishwi na mjadala unaoendelea juu ya kuongezwa kwa kipindi cha Urais kutoka miaka 5 hadi miaka 7.
  2. J

    JamiiForums Tanzania Napendekeza Katiba ya CCM irekebishwe ili Dkt. Magufuli aendelee kuwa Mwenyekiti hadi atakapoamua kung'atuka kama Nyerere

    CCM ni chama dola. CCM ni chama tawala wala hilo halina ubishi. CCM ni chama mbeba maono wa taifa hili la Tanzania. Dkt. Magufuli ambaye ndiye Mwenyekiti wa CCM na Rais wa nchi yetu ameonyesha uwezo mkubwa sana katika kusimamia misingi ya chama na uzalendo kwa ujumla. Kwa mageuzi makubwa...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Siku Rais Magufuli alipoahidi kuendeleza na kukamilisha mchakato wa Katiba mpya

    Suala la katiba mpya lilikuwemo kwenye Ilani ya chama cha mapinduzi ya mwaka 2015 Raisi Magufuli wakati anazindua bunge mwaka 2016 aliahidi kukamilisha kiporo cha katiba mpya akichokirithi kutoka kwa mtangulizi wake Pia mara kadhaa baada ya hapo aliahidi kuendeleza mchakato wa katiba mpya...
  4. britanicca

    JamiiForums Tanzania Nimemdharau Tulia Ackson kwa kusema Msimamo wa Rais juu ya kuongeza muda unajulikana badala ya kusema Katiba hairuhusu kuongeza muda

    Katika kujibu hoja aloileta Mbunge kuwa Magufuli atake asitake tutamlazimisha kuongeza Muda, Naibu Spika wa Bunge amemalizia kwa kusema NADHANI TUNAJUA MSIMAMO WA RAIS UKOJE JUU YA HILO, HATAKI KUONGEZA. Maswali yangu: Je, tunafuata feelings za Rais au Katiba inavyosema? Pili: Vipi Rais...
  5. Chagu wa Malunde

    JamiiForums Tanzania Ili taifa liwe na mwelekeo thabiti lazima kile kilicho ndani ya Katiba kiheshimiwe

    Ili taifa liwe na mwelekeo thabiti lazima kile kilicho ndani ya katiba kiheshimiwe. Ndio maana misingi ya utawala na hata utungaji wa sheria za nchi zetu lazima zirandane na katiba ya JMT. Kile kilichotamkwa na katiba ya JMT ndio mwanzo na mwisho juu ya mustakabali wa suala lolote. Leo hii...
  6. Mzalendo2015

    JamiiForums Tanzania Bunge limevunja Katiba na kudharau Mahakama waziwazi

    Jana tarehe 1 Februari ilikuwa ni siku ya kuadhimisha miaka 100 ya Mahakama Tanzania. Rais Magufuli aliongea mengi sana lakini hakugusia kuhusu mwingiliano wa Mihimili hii 3: Bunge,Mahakama na Serikali. Nitaeleza. Leo Bunge la JMT limeanza kwa makosa 2 makubwa sana kama ifuatavyo: KUKIUKA...
  7. CUF Habari

    JamiiForums Tanzania Prof. Lipumba aendelea kudai Katiba Mpya kwa Rais Magufuli

    TAARIFA KWA UMMA PROF. LIPUMBA AENDELEZA ALICHOAHIDI NOVEMBA 2, 2020: AMPA MAKAVU RAIS MAGUFULI KUHUSU KATIBA MPYA: Mwenyekiti wa CUF-Chama Cha Wananchi Prof. Ibrahim H. Lipumba ametoa wito kwa Rais John Pombe Magufuli kutekeleza ahadi yake ya Kukamilisha kazi ya Kupata Katiba Mpya inayotokana...
  8. R

    JamiiForums Tanzania Je, Rais Magufuli amevunja Katiba kwa kumteua Jaji Zepherine Nyalugenda Galeba kuwa Jaji wa Mahakama ya Rufaa?

    The other Justices of Appeal shall be appointed by the President after consultation with the Chief Justice, from amongst persons who qualify to be appointed Judges of the High Court of the United Republic as provided for in Article 109 of this Constitution, or from amongst persons who qualify to...
  9. chawa wa mama

    JamiiForums Tanzania Tulifanikiwa kupata nafasi ya katiba mpya tusisahau kuweka mambo haya

    1. Tume huru inayowajibika kwa wapiga kura sio kwa serikali au mtu. 2. Kupima afya za akili za wagombea kabla hata ya kuchukua fomu, tena na daktari maalumu. 3. Kuweka ukomo kwa wagombea ubunge. 4. Kigezo cha uwajibikaji kipimwe na tume maalumu, iwe rais, mbunge au diwani. Kama ni rais ikiona...
  10. D

    JamiiForums Tanzania Umoja wa kudai katiba mpya Tanzania (UKUKAMTA)

    Umoja huu umeanziwa na watanzania walioweka itikadi za vyama pembeni na kuweka Taifa mbele #ukukamta2021
  11. CUF Habari

    JamiiForums Tanzania Mauaji ya Januari 26/27 , 2001 na Madai ya Tume Huru ya Uchaguzi na Katiba Mpya

    *MAUAJI YA JANUARI 26/27 NA MADAI YA KATIBA MPYA NA TUME HURU YA UCHAGUZI CUF- Chama Cha Wananchi kinaendelea na Maandalizi ya Maadhimisho ya Mashujaa wa Chama waliouawa kinyama Januari 26 na 27 mwaka 2001. Kama tunavyokumbuka Mauaji makubwa na ya Kinyama yalifanywa na Utawala wa CCM tarehe...
  12. T

    JamiiForums Tanzania Hatutaki Rais Kijana wala Mzee ila tunahitaji kiongozi atakaye heshimu katiba yetu, shida zetu na kutuheshimu Wapiga Kura

    Nimeona nitoe ya moyoni kuelekea 2025 maana kwa Neema za Mungu tukikuwepo basi ningeomba swala la kutuchagulia vijana lisiwe agenda ila agenda iwe ni kumpata kiongozi mwenye busara na anaye heshimu katiba yetu na sheria zetu. Mvumilivu na mwenye kutambuwa sisi Watanzania ni waugwana hivyo...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Kwa mujibu wa katiba ya CHADEMA Rufaa zinatakiwa ziwe zimesikilizwa ndani ya muda gani?

    Katiba ya Chadema inatoa fursa kwa mtu aliyehukumiwa na kamati kuu kukata rufaa Baraza kuu endapo hajaridhiks na hukumu iliyotolewa dhidi yake. Je, huchukua muda gani baraza kuu kuketi na kusikiliza rufaa baada ya rufani kupokelewa rasmi na Katibu mkuu? Ni hako kaswali tu kwa uchache...
  14. J

    JamiiForums Tanzania Kwani Bunge likibadilisha Katiba na kuondoa ukomo wa Rais kubaki madarakani Uchaguzi Mkuu wa 2025 hautafanyika?

    Nauliza tu kwa wataalamu wa masuala ya Katiba. Ninavyofahamu mgombea urais hupendekezwa na Chama cha Siasa na kuchaguliwa na Wananchi. Kwa mfano Katiba ikibadilishwa na CCM wakamsimamisha tena Dr Magufuli, kuna ubaya gani? Si wananchi ndio watakaoamua? Maendeleo hayana vyama!
  15. J

    JamiiForums Tanzania KATIBA: Unajua kuwa Serikali haiwezi kushtakiwa kwa kutowajibika

    Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977 Inaitaka Serikali kuwajibika kwa watu wake katika maswala yote yanahusu maslahi ya watu hao. Aidha Katiba hiyo pia inaweka ukomo kwa Mahakama katika kusikiliza shauri lolote litakaloletwa mbele yake dhidi ya Serikali kwa kushindwa...
  16. J

    JamiiForums Tanzania Utawala wa Sheria kwa mujibu wa Katiba ya Tanzania ya Mwaka 1977

    Watu wote ni sawa mbele ya sheria na wanayo haki, bila ya ubaguzi wowote, kulindwa na kupata haki sawa mbele ya sheria (Ibara ya 13) Haki za raia, wajibu na maslahi ya kila mtu na jumuiya ya watu yatalindwa na kuamuliwa na Mahakama na vyombo vinginevyo vya Mamlaka ya Nchi vilivyowekwa na Sheria...
  17. J

    JamiiForums Tanzania Dkt. Bashiru: Siyo kweli kwamba CCM itatumia wingi wao Bungeni kubadilisha Katiba ili kumuongezea muda Rais Magufuli kukaa madarakani!

    Katibu mkuu wa CCM, Dkt. Bashiru amekanusha uvumi unaoenezwa na wapinzani kwamba wabunge wa CCM watatumia wingi wao bungeni ili kumuongezea Rais Magufuli muda wa kukaa madarakani iwe zaidi ya miaka 10. Dkt. Bashiru amesema Rais Magufuli atahudumu madarakani kwa miaka 10 kwa mujibu wa katiba ya...
  18. S

    JamiiForums Tanzania Ni vipi au kwa njia gani - Inawezekana kupatikana KATIBA MPYA

    Tumechoka kusikia katiba iliyopo aifai hata vingunge wa CCM Polepole na Bashiru kwa nyakati tofauti walilitetea hili kama kuku aliebanwa na yai na anakaribia kutaga. Vyama pinzani navyo mida hii huwaga kimya mpaka kesho uchaguzi utavisikia vinakurupuka kama vinatoka kwenye usingizi mzito...
  19. J

    JamiiForums Tanzania Serikali za Mitaa na kazi zake kwa mujibu wa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    Ibara ya 145.-(1) inaeleza kuwa :- Kutakuwa na vyombo vya Serikali za Mitaa katika kila mkoa, wilaya, mji na kijiji, katika Jamhuri ya Muungano, ambavyo vitakuwa vya aina na majina yatakayowekwa na sheria iliyotungwa na Bunge au na Baraza la Wawakilishi. (2) Bunge au Baraza la...
  20. monongo

    JamiiForums Tanzania Katiba

    Katiba mpya jamani ni ya muhimu sana kwa mstakabali wa taifa letu, kwani tunapoelekea ni pabaya kwa mtu mwenye mtazamo wa mbali.
Back
Top Bottom