katiba

  1. JERUSALEM 2006

    JamiiForums Tanzania Sasa inatosha, tunahitaji Katiba mpya

    Haujambo mwana Jf? Mimi ni mzima buheri wa afya, namshukuru Mungu kwa ulinzi wake na kunipa uhai mpaka sasa. Moja kwa moja kwenye mada yetu ya leo. Tangu kifo cha Rais wa awamu ya Tano , Hay. Dkt. John P. Magufuli, kama taifa tumepita kipindi kigumu sana hasa kwenye katiba yetu. Katiba yetu...
  2. Sajo

    JamiiForums Tanzania Umri wa Kustaafu kwa Wakuu wa Mikoa na wa Wilaya; Sheria za nchi zinafuatwa?

    Fahamu kwamba kwa mujibu wa sheria ya uongozi wa mikoa (The Regional Administration Act) Sura ya 97, Mkuu wa Mkoa na Mkuu wa Wilaya ni maofisa (watumishi) wa Umma (Kifungu cha 3 na kifungu cha 4 (2)). Stahiki na mafao yao ma-RC na ma-DC zimeelezwa katika Sehemu ya 6 ya Sheria ya the Political...
  3. Lord OSAGYEFO

    JamiiForums Tanzania Najiuliza kama Spika aliapa kuilinda na kuitetea Katiba, kwanini anaivunja?

    WADAU Nawasalimu. Hakika Kati ya Vitu ambavyo Hayati BABA wa TAIFA alivisimamia na Kuvisemea Muda wote na Kwa Nguvu zake zote ni KATIBA ya NCHI. Hayati BABA Wa TAIFA alikuwa Anasisitiza VIONGOZI wote WALIOAPA Kuitii, Kuiheshimu na Kuitetea KATIBA. Katika UTAWALA wa AWAMU ya PILI kulikuwa na...
  4. Q

    JamiiForums Tanzania Nyerere alijua Katiba ni mbovu lakini hakutaka kuibadilisha. Ni wakati sasa umefika ili Taifa liendelee linahitaji Katiba Mpya

    Nyerere alikubali kutengeneza system ya kidikteta ambayo tumeirithi, system ambayo haijaandikwa popote kwenye katiba, kwamba ili rais awe na nguvu (power) lazima avae kofia mbili ya chama na ya serikali. Nyerere aliwahi kusema katiba hii inamapungufu mengi inampa rais nguvu kubwa ya kuweza kuwa...
  5. N

    JamiiForums Tanzania Tunawezaje kumng'oa Spika katika nafasi yake? Katiba yetu inasemaje?

    Kwa mujibu wa Ibara ya 84(7)(d) na (h) ndiyo ninaona vina angalau kamwelekeo kenye unafuu kuweza kumng'oa Spika kwenye nafasi yake. 84(7) " (d) if that person is removed from the office of Speaker by a resolution of the National Assembly supported by not less than two-thirds of all"...
  6. N

    JamiiForums Tanzania Tunawezaje Kumtoa Spika katika Nafasi Yake? Katiba yetu Inasemaje?

    Add bookmark #1 Kwa mujibu wa Ibara ya 84(7)(d) na (h) ndiyo ninaona vina angalau kamwelekeo kenye unafuu kuweza kumng'oa Spika kwenye nafasi yake. 84(7) " (d) if that person is removed from the office of Speaker by a resolution of the National Assembly supported by not less than...
  7. N

    JamiiForums Tanzania Tunawezaje kumtoa Spika katika nafasi yake? Katiba yetu inasemaje?

    Kwa mujibu wa Ibara ya 84(7)(d) na (h) ndiyo ninaona vina angalau kamwelekeo kenye unafuu kuweza kumng'oa Spika kwenye nafasi yake. 84(7) " (d) if that person is removed from the office of Speaker by a resolution of the National Assembly supported by not less than two-thirds of all" "(h)if it...
  8. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Tumeachwa kuomba ongezekao la mishahara tunasahau katiba yetu imepitwa na wakati.

  9. M

    JamiiForums Tanzania Tunaomba Kanisa Katoliki na KKKT watusaidie kukemea uvunjaji wa Katiba unaofanywa na Spika wa Bunge na Naibu wake

    Kwenu Maaskofu, Amani ya BWANA iwe nanyi, Ni matumaini yangu, mnaendelea salama na kwa amani tele katika majukumu yenu ya kuwapa chakula cha roho kondoo wenu. Nimeonelea leo niongee nanyi ili kuwaomba wazee wetu mtusaidie sisi Wananchi wenzenu ambao wengi ni kondoo wenu katika tatizo hili...
  10. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Kibonzo cha Kipanya: Watawala wanaiogopa Katiba Mpya

  11. Baba jayaron

    JamiiForums Tanzania Je, wapinzani kuleta Katiba mpya?

    Wasalamu, Hili swali najiuliza hivi huu utamu wa madaraka, na kujihisi upo mbinguni (Kinga), ukiamua unarithisha Watoto, vimada na wapambe wako, wengine hadi Waganga wao? Ukweli Kwa mama yetu sioni dalili maana CCM itamkaba kooni atajuta kuzaliwa. Je, Kweli Zitto Kabwe, Mbowe, Tundu Lissu &...
  12. Nigrastratatract nerve

    JamiiForums Tanzania Ni vyema Katiba Mpya ikaelekeza kuwa Rais anapofariki akiwa madarakani Bunge livunjwe na tuingie kwenye uchaguzi huku nchi ikiwa chini ya Jeshi

    Kipengele cha katiba kinachosema Rais akifariki madarakani basi makamu wake ataapishwa kuwa Rais tunaomba kibadilishwe.. Rais akifariki uchaguzi ufanywe upya Gesi kwenda Kenya mbona Kama umepigwa. JPM angepewa hilo jengo ungesikia " nimerigawa kwa wananchi ritatumika kama hospital ya waja...
  13. Mpinzire

    JamiiForums Tanzania Spika Ndugai: Mnaogopa nini kuleta viambatanishi ili tuwavue Ubunge kwa Haki?

    Spika Job Ndugai ameendelea kutoa ufafanuzi juu ya utaratibu wa kuwavua ubunge wabunge 19 wa viti maalumu wa CHADEMA, Mh Spika ameendelea kusisitiza kuwa anaongoza Bunge kwa Katiba, Sharia, Kanuni, Hekima na Utamaduni ili kutenda haki. Mhe. Spika amevitaka vyama vya siasa pale wanapotaka...
  14. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Spika Ndugai haya uliyosema kuhusu Wabunge wa CHADEMA waliofukuzwa mbona mwaka 2017 hukuyasema wabunge wa CUF walipotimuliwa?

    Bila aibu wala kuona soni unadiriki kusema kuwa ili uamini kuwa hao akina Mdee na wenzake 18 lazima upewe muhtasari wa kikao kilichowafukuza? Mbaya zaidi unaongea bila aibu kuwa ili wewe upate uthibitisho kuwa hao akina Mdee walifukuzwa unataka uthibitisho kuwa natural justice ilizingatiwa. Hivi...
  15. mr mkiki

    JamiiForums Tanzania Spika Ndugai: Katiba na sheria hazina jinsia

    Nina maswali machache sana. Kwanini Tulia Ackson alilidanganya Bunge na umma wa Watanzania kuwa ofisi ya Bunge haijapokea barua ya kuwafukuza Uanachama Wabunge wa Covid-19 wakati kiuhalisia waliipokea barua tangu Novemba? Ndugai anaongelea natural justice: Alimfuta Lissu ubunge, alimpa natural...
  16. Mhere Mwita

    JamiiForums Tanzania Ndugai ni Spika asiye na sifa za kuwa spika

    Kutokana na Mgogoro ambao umemhusu Mbunge wa kibamba Mhe John Mnyika nimebaini Pasipo na shaka kuwa Job Ndugai ambae ni Spika, hana uwezo kabisa wa kuongoza chambo kikuu cha maamuzi kama Bunge. Japo kuwa ni Spika Tayari lakini tunatakiwa kujua kuna watu ni Marais lakini hawana sifa za kuvaa...
  17. Ileje

    JamiiForums Tanzania Baada ya Spika Ndugai kuwalinda Wabunge 19 waliofukuzwa CHADEMA, ni wakati wa wanasheria kumuelimisha kuhusu kutii Katiba bila shuruti

    Imekuwa mazoea spika Ndugai kuotoa maamuzi ya kisheria kwa kadri anavyojisikia. Wakati Lipumba alipowafuta uanachama wabunge wa viti maalum wa CUF, Ndugai aliwafukuza wabunge wale bila kuhoji. Aidha CCM ilipomfuta uanachama Sofia Simba, alimfukuza ubunge bila kuhoji. Cha kushangaza Mwambe...
  18. Mkaruka

    JamiiForums Tanzania Ukweli Usiosemwa: Hakuna Chama cha siasa wala Mwanasiasa anaeipenda katiba ya Warioba

    Wanasiasa wote nia yao ni moja: Pesa na Madaraka. Kwenye pesa na madaraka kikweli haijalishi ni chama gani, mtauana. Hizi kelele za katiba zinapigwa na watu wasionufaika na katiba iliyopo, ila ikitokea na wao wakapata madaraka ndani ya katiba hii hii, msitegemee tena katiba ya Warioba. Sahauni...
  19. mfianchi

    JamiiForums Tanzania Je, katiba inasemaje kuhusu ukomo wa Raisi kuongoza kwa hali ya sasa, je raisi tuliyenae atakuwa madarakani kwa miaka mingapi?

    Nina hakika CCM itashinda chaguzi zote zijazo, swali langu je katiba inasemaje kwa raisi aliyeshika madaraka kutokana na kifo cha raisi aliyekuwa madarakani, kwani katiba inasema atashika madaraka mfululizo kwa miaka kumi itawapo atachaguliwa. Kwa hivyo basi je raisi tuliyenae sasa anaweza...
  20. Peasant educator

    JamiiForums Tanzania Unataka mtanzania awe mzalendo waikato anashuhudia uvunjifu wa katiba hadharani

    Habari, Nimekuwa nikitoa tahadhari ya kuja kuwa na mtafaruku ndani ya nchi na ikiwezekana vita vya ndani. Kwa sasa kumetamalaki kwa uvunjivu wa katiba yet hasahasa kwa viongozi wetu wa juu pamoja na wakuu wa nchi akiwemo SPIKA wa bunge na hata RAISI mwenyewe. Hao viongozi wengine ndo hawasemeki...
Back
Top Bottom