katiba

  1. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Katiba Mpya isiyoitoa CCM ni kama kijarida tu

    Kwa uchache sana ili nisiwachoshe. 1. CCM ni chama cha hovyo, hakizingatii Katiba ya nchi wala sheria. Mambo yanafanywa kwa utashi zaidi. Utasikia Rais katoa bilioni 2. Inatia uchungu sana. 2. CCM ni chama cha hovyo hata mambo yaliyopo kwenye katiba hii mtumba hawataki kuzingatia. Mtu anapiga...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Katiba Mpya: Kulikoni Makamanda na ndugu Wananchi Kusita Sita?

    Tukubali kuziweka siasa pembeni. Kama ilivyo kwa mwenda kuoga, tukubali kuyavulia maji nguo, tuukabili ukweli usiosemeka: 1. Ridhaa ya kuongoza nchi hupatikana kutoka kwa wananchi. 2. Haiwezekani popote kuwa ridhaa hiyo ikatolewa kwa mtu ambaye agenda zake hakuna kuheshimu usawa, uhuru wala...
  3. donlucchese

    JamiiForums Tanzania Je, Katiba ya nchi yetu inasemaje kuhusu conjugal rights kwa inmates

    Salam wakuu, Naomba kuuliza kwa wataalam wa Sheria, je katiba ya nchi yetu inasemaje kuhusu conjugal rights kwa inmates. Kwa mfano nchi ya USA majimbo kama California, Connecticut, Mississippi, New Mexico, new York na Washington wanaruhusu conjugal visits kwa inmates.
  4. Rutunga M

    JamiiForums Tanzania Wadau badilisheni mbinu ya kudai Katiba Mpya

    Habari zenu, Nimesikiliza na kufuatilia mijadala katika club house ya CHADEMA,mijadala ya humu JF na Twitter space hakika inaonesha wadau hasa wapinzani wamegotea katika mbinu za kudai katiba mpya na wanaona hakuna mbadala mwingine wa kufanya siasa na kuendesha maisha yao mpaka katiba mpya...
  5. Omusolopogasi

    JamiiForums Tanzania "Katiba, Katiba, Katiba...", msikilize Jaji Warioba kuhusu Katiba mpya

    Wanajukwaa, Sina maneno mengi. Wanasema kizuri chajiuza, kibaya chajitembeza. Nchi hii inahitaji wazee wa aina hii ili kupona. Mimi sina cha kuongeza. Sikiliza mwenyewe hapa:
  6. MAHANJU

    JamiiForums Tanzania Kwanini ninahitaji Katiba mpya?

    Kuna watu hasa viongozi wachache ambao kwa makusudi na maslahi yao binafsi wanayoyajua wao wamekua wakitumia mwanya wa ujinga wa wananchi na shida zao kuwaambia maneno ya Kitapeli eti katiba mpya haiwezi kuwapa maji,afya wala Barabara,eti wanaotaka katiba mpya ni wenye uchu wa madaraka. Huu...
  7. Anna Nkya

    JamiiForums Tanzania Nadhani Rais Samia atatupatia Katiba Mpya kabla hajaondoka Madarakani

    Rais Samia alisema tumpe muda ajenge uchumi kisha suala la Katiba Mpya litafuata. Hakulipuuza, alisema tumpe muda muda. Naona sasa anakwenda vyema, hii awamu ya kwanza katika Urais wake (2021-2025) itatosha sana kujenga uchumi imara. Naamini kama Mungu atatuweka hai, 2025 kwenye kampeni zake...
  8. Eric Cartman

    JamiiForums Tanzania Siasa ni nini?

    Kwanini wewe unachangia jukwaa la siasa? Siasa kwako ina maana gani, hasaa; na upo tayari kusimamia msimamo wako muda wowote na kwa gharama yoyote. Siasa kwako ni utu? Siasa kwako ni sheria na mipaka ya kutaka kuongozwa (katiba). Siasa kwako ni sera zenye kuinua jamii? Siasa kwako ni njia...
  9. Chagu wa Malunde

    JamiiForums Tanzania CHADEMA kumwomba Rais Samia aingilie kati kesi ya Mbowe ni kutaka Katiba ya JMT ivunjwe. Nchi hii ina mihimili mitatu iliyo na mamlaka kamili

    Huku sasa kwa wanaCHADEMA ni kupaniki na hii ni baada ya Caution statement za mmoja wa watuhumiwa wenzake na Mbowe kupokelewa kama ushahidi mahakamani. Kwa nini Mnyika J, anasahau na kutoa kauli za ajabu ambazo hazina mashiko? Kesi ipo mahakamani na rais hana mamlaka ya kuingilia muhimili wa...
  10. J

    JamiiForums Tanzania Ras Mtimanyongo: Kimsingi Kariakoo ni eneo la sokoni (Wamachinga) tangia Uhuru, Wafanyabiashara kwao ni Samora na Kitumbini

    Msanii Ras Mtimanyongo anasema kamwe Wamachinga hawawezi kuondoka Kariakoo kwa sababu ndio sokoni kuanzia nchi hii ijitawale. Mtimanyongo anasema Wafanyabiashara kwao ni Samora zamani Independence avenue na Kitumbini na ndio maana hadi sasa hata vijiduka vya kariakoo ni vya ujanja ujanja tu...
  11. F

    JamiiForums Tanzania Ukimya wa Katiba ya JMT Kuhusu Kifo cha Mgombea Urais

    Mada Fikirishi Katiba yetu inaongelea kifo cha Rais akiwa madarakani lakini haiongelei Mgombea Urais ambaye tayari ni Rais akifa akiwa kwenye kampeni za uchaguzi mkuu. Natoa mfano ili uelewe kwa urahisi kwamba JPM angekufa akiwa kwenye kampeni za uchaguzi mkuu Katiba haisemi kitu gani kifanyike...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Matendo ya Sabaya: Ukweli ni kwamba tulipaswa kupata Serikali Mpya ila tatizo Katiba haisemi hivyo

    Ukifikiri kwa makini, wote waliokuwa mabosi wa Sabaya chini ya Magufuli na wakuu wote wa vgombo vya ulinzi na usalama hawakupaswa kuendelea kuwa madarakani leo hii ila katiba ndio tatizo kwani haitoa hata fursa ya kufanya uchaguzi tupate viongozi wengine ambao bila shaka wangekuja na watendaji...
  13. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania DR-Congo: Raia waandamana kudai Tume Huru ya Uchaguzi

    Polisi wamelazimika kutumia mabomu ya machozi kuwatawanya waandamanaji wanaotaka Tume Huru ya Uchaguzi katika Jamhuri ya Kidemokrasia Kongo Waandamanaji zaidi ya 10,000 walitapakaa katika mitaa ya Kinshasa ambapo waliharibu sanamu ya Rais Felix Tshisekedi Maandamano hayo yamekuja baada ya...
  14. BAK

    JamiiForums Tanzania Hukumu ya Sabaya, Udikteta na madai ya Katiba Mpya nchini Tanzania

    HUKUMU YA SABAYA, UDIKITETA NA MADAI YA KATIBA MPYA NCHINI TANZANIA Huko nyuma, sisi Askofu tulionya mara nyingi kuwa nchi yetu ilikuwa imeabiri meri iliyokuwa inatupeleka katika ng'ambo ya Udikiteta na Ufashisti. Tulikemea vitendo vya watendaji kudhalilishwa hadharani katika mikutano ya...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Katiba isitengenezwe na wanasiasa

    Naunga mkono hii 100%
  16. B

    JamiiForums Tanzania Katiba Mpya ni muhimu kwa Sekta Zote

    Uwepo wa mustakabala mpya wa mahusiano baina watu na watu pia watu na serikali hauwezi kudunishwa. Ni muhimu kuzipitia sekta mbalimbali katika kuamshana kwenye harakati hizi takatifu. Tuanze hapa na Sekta ya Usafirishaji: Sekta hii ni katika sekta zilizonyanyasika vilivyo. Ukitaka...
  17. F

    JamiiForums Tanzania Katiba Mpya Haimpeleki Rais Ikulu

    Tusiyopenda kuyasikia kwenye Elimu ya Uraia. Kimsingi madai ya Katiba mpya kwa minajili ya kushika nafasi ya urais naamini ni ndoto isiyotimia kwa vizazi vingi vijavyo. Uki-study historia mahala pengi utakubaliana nami kwamba madai ya Katiba mpya siyo kwa ajili ya wanaogombea urais kuingia...
  18. A

    JamiiForums Tanzania Hivi kuna kipengele chochote cha Katiba au Sheria kinatoa tafsiri ya neno 'Dini' na 'Ibada'?

    Kwa utafiti niliofanya kuhusu Taifa kutokuwa na Dini au Taifa kutofata dini yeyote, maneno haya yanapatikana katika katiba iliopo ile ya kiswahili pekee. Bali sijaona maneno hayo ktk katiba ya kiingereza. Nilitatajia nikute katiba ya kiingereza ikitamka maneno haya; Our state has no official...
  19. DaudiAiko

    JamiiForums Tanzania Katiba tuliyonayo haitoi tafsiri yoyote kuhusu uchochezi

    Wanabodi, Mengi yametokea katika kinyang'anyiro hiki cha kudai tume huru na katiba mpya na mengi yatazidi kutokea. Hatujapata uamuzi wowote ila ni vyema kama tungetupia jicho kwenye katiba tuliyonayo sasa hivi kupata tafsiri ya yanayoendelea. Zimepita siku chache tangia mwenyekiti wa baraza...
  20. DaudiAiko

    JamiiForums Tanzania Katiba inaeleza haya kuhusu shughuli za siasa zinazofanywa na wana CHADEMA

    Wanabodi, Ni jambo la kawaida sana kwa wana CHADEMA "Kukiuka" utaratibu ulipo kwa kufanya shughuli mbalimbali za siasa. Mara nyingi huwa wanalalamika sana na kusema kwamba wana haki ya kufanya shughuli zao kama ilivyo elezwa kwenye katiba. Je wana CHADEMA wanahaki kikatiba kufanya shughuli zao...
Back
Top Bottom