katiba

  1. Poppy Hatonn

    JamiiForums Tanzania Mtu anaweza kulaumiwa kimataifa, lakini kwa Katiba yetu ilivyo sasa, huhitaji sababu kumuondoa Rais ikulu

    Katiba yetu ni ya ki war lordism. Ni jungle justice. Natural justice. Kariba yetu imeandikwa na Charles Darwin. It is about survival of the fittest. The leader can be challenged at any time. Kama ambavyo recently ilikuwepo referendum ya Scotland kutaka kujitoa kwenye Union. Iliposhindwa Ile...
  2. Elius W Ndabila

    JamiiForums Tanzania Tiba ya malumbano yote ni Katiba

    MALUMBANO YOTE MSINGI WAKE MKUU NI KATIBA. Na Elius Ndabila 0768239284 Kumekuwa na majibizano na hoja nyingi zinazoibuliwa na baadhi ya watu Mashuhuri. Majibizano haya yamezua mijadala mikubwa mitandaoni.Kila mtu anaibuka na umahiri wake mkubwa katika kutetea hoja yake anayoiamini. Hoja za...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Katiba yetu inatishia usalama na uhai wa Rais aliyepo madarakani, tuiangalie kwa jicho la Vita ya madaraka

    Wengi alipokabidhiwa kiti cha Urais Mama Samia tulipongeza uzuri wa Katiba tliyonayo hasa kifungu kinachoeleza Rais aliyepo madarakani akifariki Makamu wake anaapishwa kuwa Rais. Mimi naona haya kama mapungufu makubwa ya katiba hii hasa ikizingatiwa miyoyo ya binadamu Ina Siri kubwa. Mtu mwenye...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Uanaharakati ndiyo njia pekee ya kuipata katiba ya wananchi

    Hakuna asiyejua kuwa wakati kuna mchakato wa (akina Zitto na wenzao) kuandaa misingi ya tume huru ya uchaguzi, wahudumu wa tume hiyo wameendelea kuteuliwa bila hata ya mashauriano. Ni wazi kuwa kwenye jambo hili nyeti kuna wenye maslahi yao binafsi ndani ya mchakato unaoendelea. Wananchi...
  5. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Tanzania sasa kuna separation of power tukiitumia vizuri katiba inapatikana

    Tanzania sasa kuna separation of power tukiitumia vizuri katiba inapatikana
  6. B

    JamiiForums Tanzania Mkakati mpya kudai Katiba Mpya wazinduliwa

    Katiba ni mali ya wananchi. Jitihada za kutufikisha kuliko haki haziwezi kufanyikia gizani. Hii mambo ya kina TCD na kina Zitto haziwasimamishi wasioridhika nazo kuchukua mwelekeo mwingine. Mkakati mpya kudai Katiba Watu ambao hawakuwahi kukemea ndivyo sivyo za tume ya uchaguzi, polisi dhidi...
  7. Elius W Ndabila

    JamiiForums Tanzania Katiba yetu ndiyo inayowafanya wastaafu kulalamika

    KUNA UHUSIANO WA CHEO NA UWEZO WA KUAMUA? Na Elius Ndabila 0768239284 Ni kawaida kwa sasa na umekuwa ni utamaduni Kwa Mtu akifukuzwa kazi, Akistaafu, Akistafishwa au Kwa sababu zingine zozote mtu asipo kuwa kwenye nafasi anakuwa mshauri mzuri wa mambo ya nchi kuliko alipokuwa kiongozi...
  8. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Mizengo Pinda: Tuanze mchakato wa kuwa na Tume huru ya Uchaguzi

    "Kuna mambo ambayo sisi CCM kama chama tawala lazima tubebe dhima. Tutoe uongozi. Kwa, mfano hili la Tume Huru ya Uchaguzi kizuizi ni nini? Hili ni jambo ambalo lazima tukubaliane na wenzetu wa upinzani na tuanze mchakato wa kuwa na Tume Huru ya Uchaguzi" Mzee Mizengo Pinda Hii inatoka...
  9. beth

    JamiiForums Tanzania Tunisia: Shughuli za Bunge kuendelea kusitishwa hadi baada ya Uchaguzi mwakani

    Rais Kais Saied amesema Bunge la Nchi hiyo litaendelea kusimamishwa hadi Uchaguzi mpya ufanyike mwaka mmoja kutoka sasa. Pia, ameeleza kuhusu mipango ya Kura ya Maoni ya Katiba mwaka ujao Tangu aliposimamisha shughuli za Bunge na kumfukuza kazi aliyekuwa Waziri Mkuu, Rais Saied ameendelea...
  10. B

    JamiiForums Tanzania Tuungane mkono dhidi ya Kunyamazishwa

    Haki ya maoni ni haki ya kikatiba. Anayedai katiba kuheshimiwa anastahili kuungwa mkono kikamilifu kwa mukthadha huo. Polepole kupinga kunyamazishwa ni dai halali kwa mujibu wa katiba. Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni. Pamoja na mapungufu yake kwa kutoa maoni yake, hili la watu...
  11. B

    JamiiForums Tanzania Tunakubaliana Profesa Kabudi aliua Diplomasia yetu, lakini hatukubali kwamba hafai kuwa Waziri wa Katiba na Sheria

    Kwa Hali ilivyo ni wazi CCM wameanza kukubaliana na watu wenye akili timamu kwamba tuliua Diplomasia ya Kimataifa. Ni Jambo la Wazi kwamba hata wale waliowakamata wapinzani waliokosoa sera ya mambo ya nje wanajiona wajinga kwamba wameshiriki kutufikisha hapa tulipo. Watu wale wale walioelekeza...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Kwa mujibu wa mwanasiasa mmoja wa upinzani (Lissu kama sikosei), CCM walihofia katiba mpya kukataliwa na waazanzibari kwenye kura ya maoni

    Katika mojawapo ya majadilioni ya siku za nyuma kupitia MaraSpace, mwanaaiasa mmoja wa upinzani (Lissu kwa kumbukumbu zangu), alisema sababu kuu iliyopelekea kura ya maoni kutofanyika kupitisha katiba mpya ilikuwa ni hofu ya watawala kuwa katiba pendekezwa ingekataliwa na Wazanzibar hivyo...
  13. Sijali

    JamiiForums Tanzania Kurekebisha au kuandika upya Katiba?

    Binafsi naonelea ni vizuri zaidi kurekebisha Katiba yetu kuliko kuiandika upya. Sababu zangu: 1- Katiba ni waraka wa kihistoria hivyo ni vyema baadhi yake kuachwa kama ilivyo itukumbushe tulikotoka. 2- Si Katiba yote ni mbaya, wala si nusu yake. Why re-invent the wheel? 3- Gharama za kuandika...
  14. I

    JamiiForums Tanzania Mzee Warioba: Rais Samia amekubali Katiba Mpya, tatizo ni Corona

    Mh. Warioba amesema hayo akihojiwa na Mobali wa BBC. Hivyo amesema hajui kura ya maoni itafanyika lini kutokana na janga la Corona.
  15. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Wanachadema Katiba Mpya sio kigezo cha kufanya mkubalike kwa wananchi. Sera na itikadi nzuri ndio mtaji wa kisiasa

    Hata kama taifa letu lipate katiba mpya, lakini kama chama cha siasa kinakuwa na sera na itikadi mbaya hakuna mwananchi atakiunga mkono. Nashangaa sana wanaCHADEMA kushupaza shingo wakidhania kuwa tukipata katiba mpya basi wataungwa mkono na wananchi. Wanadhania katiba mpya ndio tikti ya...
  16. O

    JamiiForums Tanzania Tutarajie Katiba Mpya miaka michache ijayo na mpasuko mkubwa wa kiitikadi ndani ya CCM

    Huu sio utabiri ila ndio suluhu ya mwisho ya yanayoendelea huko jikoni. Inasemekana Hayati Magufuli alikuwa tayari amekubali kuuanza upya mchakato wa kuunda katiba ya Wananchi na hili alipata ushauri wa Kina kutoka kwa Mshauri na Mlezi wake Hayati Benjamini, moja ya mependekezo makubwa ya...
  17. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania Jenerali Ulimwengu: Katiba mpya ni suala tutalojadili bila ukomo, hakuna wa kutuzuia kujadili

    Tumejadili sana suala la katiba mpya na nadhani tutaendelea kujadili zaidi. Lazima tuendelee kujadili kwa uwazi na ukubwa. Hata tukija kuandika katiba mpya na wananchi wakaipitisha, bado tutaendelea kuijadili. Hakuna mtu wa kuzuia hilo- Jenerali Ulimwengu https://t.co/ePitXJSG8g
  18. Elius W Ndabila

    JamiiForums Tanzania Kuelekea 2030 Katiba iwe ni mjadala wa kitaifa

    KUELEKEA MWAKA 2030 KATIBA UWE NI MJADALA WA KITAIFA. Ni mara chache sisi WanaCCM kujitokeza kuandika haya hadharani hasa Kwa kuwa misingi ya Chama chetu ni kusemana ndani. Lakini nineona hili leo niliseme hadharani ili kumuunga Mhe Rais kuendelea kulijenga Taifa. Ninatambua Makada wengi...
  19. S

    JamiiForums Tanzania Kuanzia Januari 2022 ni mwendo mdundo -Tume huru ,mkiguna Tunaguruma na katiba Mpya

    Viongozi mliopo serikalini mkae mkijua,kuwa linaloanza kutoa mvuke karibu litashika kasi,kinachohitajika ni tume huru ya Uchaguzi ,na hili halina mswalie Mtume,Hii kero imeshapevuka na sasa kama ni jipu linakaribia kupasuka. Na Mliopo madarakani msiingizwe mkenge na CCM,nikimaanisha CCM kama...
  20. figganigga

    JamiiForums Tanzania Rais Samia amtembelea Mzee Warioba. Je, Katiba Mpya kupata kiki?

    Salaam Wakuu, Leo rais Samia amemtembea Waziri Mstaafu Jaji Warioba na Mawaziri Wastaafu wengine. Kwasababu Jaji Warioba anapigania Katiba Mpya, Je, rais kasikia kilio cha Watanzania? Jaji Warioba ataua ndege Wawili kwa Jiwe moja? Mawaziri Wakuu wasitaafu wamekuwa Msitari wa Mbele kupambania...
Back
Top Bottom