katiba

  1. K

    JamiiForums Tanzania SoC01 Umuhimu na uhitaji wa Katiba Mpya iliyo Bora

    Utangulizi. Katiba ni sheria na kanuni zinazotungwa ili kuongoza nchi, shirika au taasisi fulani. Katiba ya nchi inatambulika kuwa sheria kuu na sheria mama na ndio msingi wa nchi. Katiba ni msingi wa mihimili mikuu mitatu ambayo ni dola, bunge na mahakama. Katiba inafafanua na kutoa mgawanyo wa...
  2. W

    JamiiForums Tanzania Historia ya Katiba ya Tanzania na mabadiliko 14 ya Katiba tokea Uhuru mpaka sasa

    Katiba ya nchi ni muafaka wa kitaifa unaoanisha namna taifa linavyohitaji kujitawala katika mambo yote na kuendesha mambo yake. Hivyo basi, Katiba ya nchi ni sheria mama inayoainisha misingi mikuu ya kisiasa na kuonyesha madaraka na majukumu ya serikali pia huanisha haki za msingi za wananchi...
  3. E

    JamiiForums Tanzania SoC01 John Pombe Magufuli, Rais aliyeacha alama kwenye mioyo ya wanyonge na kuacha kovu kwenye kidonda cha Katiba

    Na Elivius Athanas. Ni takribani miezi mitano na siku ishirini na nne (24) sasa, tangu hotuba ya dharura ya Rais Samia Suluhu Hassan itutoe machozi Watanzania, alipokuwa akitangaza kifo cha Rais wetu mpendwa Dr. John Pombe Magufuli aliyefariki Jumatano jioni tarehe 17.03.2021 kwa tatizo la...
  4. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Kibonzo cha Polisi wetu, rasimu ya Katiba mpya ni vita kuu wanayopigana nayo sasa Hivi.

  5. T

    JamiiForums Tanzania Sio kweli kwamba kila tatizo hapa nchini litatatuliwa na Katiba Mpya

    Kumezuka kasumba ya wanasiasa hasa wa upinzani kuwaaminisha wananchi kwamba mambo matatizo mengi tuliyo nayo, yanatokana na katiba mbovu tuliyonayo. Madai haya yanaweza kuwa na ukweli ila ni kwa kiwango kidogo sana. Ukweli ni kwamba hata katiba bora yenyewe huwa ni matokeo ya msuguano wa hoja...
  6. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania Siyatambui mapinduzi Guinea, Rais Conde namtambua kama Rais bado waliomteka nyara wamrudishe upesi

    Bunge la Guinea kwa Vikao vyake halali kabisa lilijiongezea posho na kupitisha kuwa Raisi aliyepo Raisi aliyepo ruksa kugombea tena Kikosi kimoja cha makomandoo bila kushirikisha vikosi vingine vya jeshi wakaenda kumteka Raisi Condé na kumficha wanakojua wao. Mimi bado namtambua Rais Conde...
  7. BAK

    JamiiForums Tanzania Mtanzania gani anayejitambua na ana mapenzi ya kweli na Tanzania hataki Katiba Mpya?

    Mwananchi gani hataki Katiba Mpya? THURSDAY AUGUST 19 2021 Summary Vuguvugu la madai ya Katiba mpya limeanza kushika kasi, lakini katikati ya vuguvugu hilo kumejitokeza kundi ambalo linajaribu kuuaminisha umma kuwa hakuna By Daniel Mjema More by this Author Vuguvugu la madai ya Katiba...
  8. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Kiongozi wa Mapinduzi ya Guinea Colonel Mamady Doumbouya aifuta katiba iliyokuwepo

    Amesema katiba iliyokuwepo haikuwa chaguo la wananchi na ilikuwa kandamizi , ameifutilia mbali huku akiandaa mipango ya kuanzisha mchakato wa Katiba ya wananchi itakayokidhi matakwa ya wananchi Askari huyo Mkakamavu na ambaye alikuwa MBEBA MWAMVULI wa Dikteta Alpha Conde kabla hajapinduliwa...
  9. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Jaji Francis Mutungi atangaza kuzuia Mikutano na Makongamano ya Vyama vya Siasa kwa muda kutafuta suluhu

    Msajili wa milele wa vyama vya siasa Tanzania, Francis Mutungi amekubali kutumika hadharani na CCM baada ya kutoa Tangazo la kukataza makongamano ya vyama vya siasa , kwa maelezo kwamba wanasiasa wasubiri kwanza kikao na IGP katika tarehe isiyojulikana. Kwa wasiojua katiba ya nchi, Francis...
  10. B

    JamiiForums Tanzania Ukiukwaji Katiba, Tanzania tunafeli Wapi?

    Nchi si shamba la mtu. Nchi huendeshwa kwa kufuata katiba. Inatia moyo majahili kama kina Alpha Conde wanapotiwa adabu kwa kukiuka katiba: "Rais Alpha Conde alitaka kuvunja Katiba ya Nchi ili imruhusu kugombea kwa muhula 3 na bunge kumuongezea mshahara." Sote hatupendi katiba ya nchi...
  11. BAK

    JamiiForums Tanzania Dkt. Hoseah: Hakuna ubaya kudai Katiba

    ‘Hakuna ubaya kudai Katiba’ Sunday September 05 2021 Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Dk Edward Hoseah amesema si kosa kwa wananchi kudai Katiba Mpya na kwamba wakati umefika kwa mamlaka za nchi kutoa mwongozo mpya wa kufikia hatima ya dai hilo. By Bernard James Dar es...
  12. B

    JamiiForums Tanzania Katiba Mpya: Mapambano bado yanaendelea

    Kupigania katiba mpya Tanzania ni wajibu wetu na hasa wote tulio na akili timamu. Tutake nini kwa Mungu kama katiba mpya itatuhakikishia uwepo wa usawa, haki, uhuru na utawala wa demokrasia? Mambo mema kabisa kwetu, watoto wetu na hata watoto wa wajukuu zetu. Mapambano haya yaliyoendelezwa...
  13. kagoshima

    JamiiForums Tanzania Zuio la mijadala ya katiba mpya ni kuzuia elimu hii isiwafikie wananchi

    Jumapili njema wakuu! Huu ndo ukweli wenyewe! Kwa kengo lile lile la CCM kutawala raia wasio na elimu, ndiyo chanzo cha nguvu kubwa ya kuzuia elimu ya katiba mpya isisambae kwa raia kwa kukataza uwepo wa mijadala ya katiba mpya. Tafiti za huko nyuma zinaonesha wazi shabiki wakubwa wa ccm ni...
  14. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Kongamano la Katiba mpya lafanyika Tarime kwa amani na utulivu

    Siku zote tumesema humu na kurudia mara nyingi sana kwamba , HAKUNA MAHALI POPOTE KATIKA DUNIA HII AMBAPO SHETANI ALIWAHI KUMSHINDA MUNGU , japo wapagani wametupuuza mara zote lakini ukweli huu hauwezi kupingwa . Pamoja na RC wa Mara kumwaga majeshi yote barabarani na mitaani , ikiwa ni pamoja...
  15. B

    JamiiForums Tanzania Katiba Mpya: Mapambano yako katika Hatua za Mwisho

    Mapambano ya kudai katiba mpya ni mapambano kudai haki, uhuru na demokrasia. Demokrasia ni kuwa na utawala unaowajibika kwa wananchi. Siyo utawala unaowajibika kwa watawala. Kwenye demokrasia: 1. tozo za miamala ya simu zisingekuwapo, 2. bambikizaji za kesi zisingekuwapo, 3. polisi...
  16. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Musoma: Polisi Wazingira ofisi ya CHADEMA kulikopangwa kufanyika kongamano la Katiba Mpya

    Hii ndio taarifa mpya inayosambaa duniani kwa sasa , kwamba Baada ya polisi kutumwa na RC kufanya usafi kwenye ofisi za Chadema , walipofika wakaizingira ofisi hiyo na kuiweka chini ya ulinzi na kuzuia kongamano hilo muhimu kufanyika . Mungu ibariki Chadema
  17. S

    JamiiForums Tanzania Polisi: Kufanyia kongamano la Katiba ni kuvunja Katiba na sheria za nchi

    Hawa ndio Polisi wetu na hii ndio Tanzania chini ya Raisi Samia. Jisomeni wenyewe maneno haya ya RPC wa Mkoa wa Mara:
  18. Dejane

    JamiiForums Tanzania New song: Rais wa kitaa wa Ney wa mitego

    Ney wa mitego kajitahidi sana hii nyimbo ina ujumbe mzuri kaongelea habari za tozo,wabunge 19,katiba mpya ,hizi ndio nyimbo sasa sio kila saa mapenzi tu wakati nchi ina matatizo kibao. Nimeipenda sana twendeni youtube sasa.
  19. S

    JamiiForums Tanzania Umuhimu wa Tume huru ya uchaguzi na Katiba mpya.

    haya ya Hamza ,Denmark na tozo na miamala ni katika harakati za CCM kutaka kutawala maisha nchi hii,hivyo nyumbu hawa CCM wanajaribu kupanga kila mipango ili wavuruge na kuzihamisha akili za watanzania wanaoanza kushika kasi katika kutaka uchaguzi wa nchi hizi mbili Tanganyika na Zanzibar...
  20. Ugumu wangu

    JamiiForums Tanzania Vile mtakavyopata taabu siku tukipata nafasi ya kuongoza nchi kwa hii Katiba mnayokataa kuibadilisha

Back
Top Bottom