katiba

  1. DaudiAiko

    JamiiForums Tanzania Dkt. Slaa: Tusitegemee muujiza kwenye kitu kinachoitwa Katiba

    "Ili chama cha siasa kipendwe na wananchi, hakina budi kuwa na agenda zinazogusa umma" ==== Balozi wa Tanzania nchini Sweden anayemaliza muda wake, Dk Wilbrod Slaa, amesema suala la Katiba Mpya ni muhimu, lakini linahitaji maandalizi ya kutosha na ya msingi. Dk Slaa ameyasema hayo katika...
  2. A

    JamiiForums Tanzania Moja kati ya mapungufu ya katiba ni wepesi wa kufanya mapinduzi kwa serikali iliopo madarakani: Msajili ana uwezo wa kupindua nchi

    Kufanya mapinduzi ni kukamatwa na kuondolewa kwa serikali na mamlaka yake. Kwa kawaida, ni kukamata madaraka kinyume cha katiba na kikundi cha kisiasa, jeshi, au dikteta. Hata hivyo vipi katiba yenyewe inaporuhusu kumuondoa raid kutokana na mapungufu ya kisheria..... Hilo ni moja tu kati ya...
  3. L

    JamiiForums Tanzania Matumizi ya CCTV camera Tanzania na uvunjifu wa haki ya faragha

    Kumeibuka tabia ya kila mtu anafunga CCTV camera kwenye maeneo ya biashara au nyumba ya kuisha mfano mtu anafunga CCTV camera kwenye eneo la baa au nyumba ya kulala wageni na Hakuna sheria au muongozo ambao umewekwa na serikali kusimamia matumizi ya hizo camera mwisho siku unakuta haki za...
  4. S

    JamiiForums Tanzania SoC01 Kwako Mwalimu Kashasha: Niambatane na anayechana bendera na kujifunika na katiba? Au anayechana katiba na kujifunika na endera?

    Ilikuwa jioni moja tulivu mwalimu Nyerere alipokutana na mwalimu kashasha (mchambuzi mahiri wa mpira wa miguu). hii ni mara ya tatu wanakutana tangu kuwasili kwa mwalimu kashasha kwenye jumba la milele la watu wote. wakati wanangojea zamu yao ya kucheza drafti ifike, walianza kutaniana huku...
  5. Light Saber Imetosha Sasa

    JamiiForums Tanzania Nauliza tu hivi Mbowe na wenzake wangekuwa wanakula keki ya Taifa angedai katiba mpya?

    Nauliza tu hivi Mbowe na wenzake wangekuwa wanakula keki ya Taifa angedai katiba mpya? Mbowe. Lema. Lissu. Upinzani kwa ujumla.
  6. BAK

    JamiiForums Tanzania Mwananchi gani hataki Katiba Mpya?

    Mwananchi gani hataki Katiba Mpya? THURSDAY AUGUST 19 2021 Summary Vuguvugu la madai ya Katiba mpya limeanza kushika kasi, lakini katikati ya vuguvugu hilo kumejitokeza kundi ambalo linajaribu kuuaminisha umma kuwa hakuna mwananchi wa kawaida anayeihitaji isipokuwa ni wanasiasa. By Daniel...
  7. mshale21

    JamiiForums Tanzania Waziri Simbachawene; Tanzania Hakuna shida ya katiba

    Waziri wa Mambo ya Ndani, George Simbachawene, amesema uimara wa Katiba ya Tanzania umeleta amani, kupendana, kushirikiana na kuwepo kwa maendeleo hivyo hakuna umuhimu wa kuwepo kwa mchakato wa katiba mpya kwa sasa na vyama vya upinzani wanaitaka kwa manufaa yao na si wananchi. "Shida ya katiba...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Baada ya Angalizo UN, Katiba Mpya - Mapambano yanaendelea

    Hii ni habari njema kutokea UN. Uthibitisho zaidi kuwa ni nini iliyo kiu ya watu kote duniani. Tusidanganyane tunataka kupumua kwa uhuru, haki na usawa kisiasa na kijamii. Kiongozi dikteta si wa zama hizi. Hautakuwa peke yako baba askofu. Zambia wametambuliwa kwa jitihada zao za...
  9. Fundi Madirisha

    JamiiForums Tanzania Mabadiliko ya Katiba ya nchi si takwa la watawala, hulazimishwa na wananchi

    Kuna mtu anaweza kuja na nadharia zake dhaifu kupinga lakini huu ndio ukweli. Hakuna mtawala aliyewahi kukubali kukaa chini na kupendekeza mabaliko ya katiba bila msukumo kutoka kwa wananchi kupitia matukio magumu yatakayomlazimu kukaa kupatanishwa na mahasimu wake. Alipata kuyasoma haya...
  10. chiembe

    JamiiForums Tanzania Siasa za kilaghai za Polepole: Awamu ya Nne aliunga mkono Katiba Mpya; Awamu ya Tano alikataa, Awamu ya Sita anaitaka kwa gia ya Shule ya Uongozi

    Huu ulaghai wa hali ya juu unaofanywa na Polepole, alikuwa anapinga katiba mpya enzi ya mwendazake, alitumia muda mwingi kukata viuno akicheza mabolingo huku akijirekodi katika camera, alishuhudia na akawa sehemu ya tawala ya hovyo kabisa katika historia ya nchi hii,alikuwa sehemu ya tawala...
  11. Naipendatz

    JamiiForums Tanzania Waziri Simbachawene: Watanzania wanataka amani, maendeleo, siyo Katiba Mpya

    "Unakuta mtu anasema Katiba ya Tanzania mbaya kwa kipengele kimoja tu cha tume ya uchaguzi, baasi, lakini Katiba hii ndiyo inayopelekea Watanzania wanamiliki rasilimali na maliasili kwa umoja bila ya kuwa na ugomvi. Shida ya Watanzania siyo Katiba mpya ila shida ni ya wanaotaka madaraka kwa...
  12. F

    JamiiForums Tanzania Mvutano upinzani na dola mfitini ni katiba?

    Nyanja: Demokrasia/Utawala Bora Ninaandika andiko hii nikijuwa wazi kabisa kuwa wapo watakaopingana nami jambo ambalo ni kawaida kabisa kwa ufahamu wangu, sijui wa kwao, lakini pia raha ya kujifunza ni kutofautiana kimantiki ya hoja, kwa sababu ni ustaarabu kukubaliana kutokubaliana (agree to...
  13. Hell is real

    JamiiForums Tanzania Katiba ni mhimu kwa vyama vyote

    Habari wakuu, leo nimewaza na kufikiria sana,tunapodai katiba mpya watu wanasema ni upinzani ndo wanashida na katiba, lakini ukweli upo wazi hata CCM wenyewe katiba hii itawaumiza sana ,rais magufuli pamoja na wapambe wake,( polepole, kabudi, kakurwa, na wengineo) walisema sio kipaombele chao...
  14. comte

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya wenye katiba mpya na ambapo tozo la miamala halipo nako diseli na petroli imepanda bei

    Kenyans voice fury over fuel price hikes Kenyans voiced fury on Thursday at a jump in fuel prices, which threaten to pile on the misery for a population already suffering economic hardship because of the Covid-19 pandemic. Fuel prices are now at record levels after the country's energy...
  15. beth

    JamiiForums Tanzania Somalia: Rais amuondolea madaraka Waziri Mkuu kwa madai amekiuka Katiba

    Rais Mohamed Abdullahi Mohamed amemuondolea Waziri Mkuu, Mohammed Hussein Roble, Madaraka ya kuajiri na kufukuza kazi Watumishi akidai Kiongozi huyo amekiuka Katiba. Amesema kusitishwa kwa madaraka ya Waziri Mkuu kutaendelea hadi baada ya kumalizika Uchaguzi. Kitendo hicho kinaendelea...
  16. B

    JamiiForums Tanzania Tupiganie Katiba Mpya: Madaraka Matamu Wachonga Mzinga ni kama Wote

    Amesikika Samia Suluhu Hassan akisema hatuna rais mwanamke. Akiendelea kasema rais mwanamke tutamweka 2025. Amesema huyu tunayemwona sasa kaingia kwa kudra za Mola tu. Ni wazi kuwa mheshimiwa huyu kesha nogewa kama mwonja asali vile. Tamaa yake iko sasa kwenye kuendelea kuwa rais 2025. Hii...
  17. Subira the princess

    JamiiForums Tanzania CCM wanawaza kubaki madarakani, hawawazi Uchaguzi Huru na hawataki Katiba Mpya

    Wasalaam, Leo ilikuwa maadhimisho ya cku ya demokrasia duniani ambapo kwa hapa tanganyika mgeni rasmi alikua mh Rais wa JMT. Sasa nimesikitika na vijembe alivyokua akirusha wakati akihutubia ikiwemo kauli za kibaguzi dhidi ya wanaume. Mh Samia hajaongelea hali ya demokrasia hapa tanganyika...
  18. D

    JamiiForums Tanzania Ismail Jussa na machache kuhusu Katiba Mpya

  19. Subira the princess

    JamiiForums Tanzania Sensa na Katiba Mpya kipi muhimu na kinafaa kupewa kipaumbele?

    Nauliza tu kwa upole kuhesabu watu na kutengeneza Katiba Mpya kipi bora kwa watanzania wa leo? Maana sielewi ni nini kipaumbele cha CCM na Serikali yake. Pia soma > Serikali iachane na sensa 2022 badala yake ishughulikie Katiba Mpya
  20. T

    JamiiForums Tanzania Katiba ni tiba kwa Tanzania

    Kwa tulipo sasa katiba no muhimu sana kwa Tanzania. Magufuli anatakiwa kupongezwa kwa kuongeza uelewa juu ya umuhimu Wa katiba mpya.Naamini wananchi wanaweza kushiriki vyema kukusanya maoni ya katiba mpua kulikp mwaka 2014. Napendeleza yafuatayo 1. Iache mijadala ya katiba itawale kwenye jamii...
Back
Top Bottom