katiba mpya

  1. Unko T

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: International pressure na internal mobilisation majibu ya Katiba Mpya Tanzania

    Katika madahalo wa Twitter Spaces wa Maria Sarungi, Tundu Lissu ameongea mambo mengi juu ya duru za siasa ya Tanzania na mistakabali wa chaguzi ya 2020 na nini kifanyike kabla ya 2025. Likaja swali, je ni kwa namna gani tutaweza kupata tume huru ya uchaguzi na kuwa na chaguzi huru kwa maneno...
  2. figganigga

    JamiiForums Tanzania Rais Samia amtembelea Mzee Warioba. Je, Katiba Mpya kupata kiki?

    Salaam Wakuu, Leo rais Samia amemtembea Waziri Mstaafu Jaji Warioba na Mawaziri Wastaafu wengine. Kwasababu Jaji Warioba anapigania Katiba Mpya, Je, rais kasikia kilio cha Watanzania? Jaji Warioba ataua ndege Wawili kwa Jiwe moja? Mawaziri Wakuu wasitaafu wamekuwa Msitari wa Mbele kupambania...
  3. Guselya Ngwandu

    JamiiForums Tanzania Anayewalipa wanaopiga kelele za Katiba Mpya atalipa hadi lini?

    Mitandaoni hususan Twitter, kuna kelele nyingi zinazoitwa 'madai ya Katiba Mpya' Ukitazama vizuri utagundua kwamba huo ni mradi wa watu. Yes, kuna mahali wanapata fedha kupiga hizi kelele zionekane ni madai ya walio wengi. Nenda katazame mtindo wao wa kupost. Kuna siku wanaamka na caption...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Kauli za kuwaita mawaziri wapumbavu ama nonsense zitafutwa na Katiba Mpya

    Katiba yetu inampa Rais mamlaka makubwa sana nchi hii. Rais ni kama Mungu kwa mujibu wa katiba yetu. Mawaziri wanatwezwa lkn hawana cha kufanya. Wakijuzulu "mungu" anaweza kutafsiri hatua hii kama dharau na kuamua kuwashughulikia. Wanalazimika kuipokea kauli ya "mungu mtu" kwa mikono miwili...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Hili liwe funzo: Tudai Katiba bora zaidi (maboresho)

    Habari zenu wadau wa jukwaa hili adhimu sana, Sasa nadhani imefika wakati wananchi tuamke na kukataa huu uzombi unaotutesa; Taifa letu limekuwa halieleweki, mpaka sasa hakuna anaejua kesho tukiamka kiongozi aliyeko madarakani atakuja na jambo gani jingine, je atafuta lipi jingine lililoachwa na...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Yanayojiri Kesi ya Mbowe na Kauli tata za Serikali - Katiba Mpya ni Hitaji la Dharura sana

    Kauli hii ni rasmi ya serikali: Ukichanganya na mfano wa kauli kama hizi (kwenye kesi ya Mbowe) zenye kutokea upande wa serikali: 1. Mahakama si mama yako, 2. Waraka wa mshitakiwa kama nyenzo yake kujitetea ni "takataka," 3. Mtake msitake mawakili wa serikali ni mawakili wa mahakama, 4...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Mzee Cleopa Msuya: Suala la Katiba Mpya haliepukiki kwani Katiba siyo Jiwe au Amri ya Mungu

    Waziri mkuu mstaafu mzee Msuya amesema suala la marekebisho ya Katiba haliepukiki kwa sababu katiba siyo Jiwe au Amri ya Mungu aliyeziumba mbingu na dunia. ----- Alisema hayo katika mahojiano na Kipindi cha Dakika 45, kinachorushwa na runinga ya ITV kuhusu tathmini ya miaka 60 ya uhuru wa...
  8. MGOGOHALISI

    JamiiForums Tanzania CCM wameanzisha mgao wa maji na umeme ili kueneza propaganda ya kukataa Katiba Mpya

    Miezi michache iliyopita dai la katiba mpya lilipamba moto. CCM wakaja na hoja kwamba wananchi wanataka maji na umeme na sio katiba mpya. Baada ya kuona hoja ya hitaji la maji na umeme haieleweki hatimaye hangaya kaamuru mgao wa umeme na maji ili kuhalalisha madai yao. Watanzania tambueni huu...
  9. Chagu wa Malunde

    JamiiForums Tanzania Kama Katiba Mpya ni kikwazo, iliyopo ifanyiwe marekebisho ili kukidhi mahitaji ya sasa

    Katiba ndio chombo pekee ambacho kinawapa wananchi mamlaka ya kujitawala. Katiba ni mali ya wananchi na sio mali ya watawala wanaowekwa na wanachi kwa njia ya kura. Hakuna kificho kuwa tangu mwaka 1977 ilipotungwa katiba ya JMT taifa letu limepata mabadilijo makubwa. Na kadiri mabadadiliko...
  10. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania Mufti sheikh Zuberi aitisha maombi ya siku tatu kwa Waislamu wote kuombea mvua

    Kiongozi mkuu wa waislamu Mufti Sheikh Zuberi aitisha maombi ya siku tatu kwa Waislamu wote kuombea mvua yenye heri kuanzia kesho Alhamisi. Maaskofu wakristo naona wanashindana tu kuvaa barakoa hawaitishi maombi kulikoni?
  11. Anna Nkya

    JamiiForums Tanzania Mjadala wa Katiba Mpya ni ajenda ya Wanaotaka Madaraka, umekosa ushawishi

    Walianza na kile walichokiita Kongamano la Katiba. Kongamano lilikuwa linatawaliwa na bendera za CHADEMA, na kuonesha kwamab ni movement ya CHAMA wala haina uhalali na mashiko mbele ya Watanzania wengi. Halafu unakusanya watu, wanatoa maoni juu ya nini kiandikwe kwenye Katiba Mpya wakati huna...
  12. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Kama ulidhani kampeni ya kudai Katiba Mpya ni Masihara jitafakari, hebu msikilize Askofu Mwamakula

    Yeyote atakayejaribu kukwamisha mchakato wa Katiba Mpya AFEDHEHESHWE KWA JINA LA YESU. Sema amina Hii ndio dua kabambe aliyoiomba Baba Askofu Emaus Bandekile Mwamakula kwa Mamluki wote wanaopinga Katiba mpya na Tume Huru ya Uchaguzi kwa maslahi yao binafsi. Msikilize hapa.
  13. Kajiarashid

    JamiiForums Tanzania Katiba mpya ni uzushi

    MAISHA: Neno hili MAISHA ni mfumo wa namna binadamu duniani, atende kama alivyo agana na Muumba wake Mungu. Lakini kuishi kivingine, hiyo namna nyingine sio maisha. Huwenda tukaiita Unyama, Upuuzi n.k. Maisha safi, ni vitu vitatu KUVISHIKA. Navyo ni~ 1) Uaminifu, 2) Heshimu na 3) Utii...
  14. J

    JamiiForums Tanzania CHADEMA wanaamini ikipatikana Katiba mpya CCM itaondolewa madarakani kidemokrasia kitu ambacho siyo kweli

    Katiba ina mambo mengi na swala la Tume ya uchaguzi na taratibu zake ni sehemu kipande tu cha katiba. Chadema wanapigania Katiba mpya kwa maslahi ya kimadaraka zaidi na siyo maendeleo ya jamii, ndio maana kilio chao kikuu kimekuwa ni Tume huru ya uchaguzi. Niwakumbushe tu Chadema kuwa Katiba...
  15. Q

    JamiiForums Tanzania Balozi Tsere ataka Rais Samia kukaa na Wapinzani kama Kikwete ili kujadili Katiba Mpya

    Balozi mstaafu, Patrick Tsere amemshauri Rais Samia Suluhu Hassan kukutana na kufanya mazungumzo na wadau wanaotaka Katiba mpya ili kupata mwafaka wa kitaifa. Kauli ya Tsere, aliyewahi kuwa balozi wa Tanzania nchini Malawi imekuja wakati kukiwa na harakati mbalimbali za madai ya Katiba, huku...
  16. T

    JamiiForums Tanzania Mnaotaka Katiba Mpya nawapa hoja

    Katiba mpya ni dai linalotokana na utashi wa kisiasa kwa kiwango kikubwa lakini pia ni zao la mwamko mkubwa wa wananchi kuchoshwa na namna wanavyoongozwa. Na mara nyingi kuchoshwa huku lazima kutokane na kukata tamaa ya maisha kwa walio wengi lakini pia kupata mwamko mkubwa wa elimu ya...
  17. Lord OSAGYEFO

    JamiiForums Tanzania Hayati Mwalimu Nyerere alionya juu ya Katiba iliyopo; Awamu ya 6 inaogopa nini kuendeleza mchakato wa Katiba Mpya?

    Nimekuwa anafuatilia baadhi ya hotuba za Hayati Baba wa Taifa hili Mwl. Julius Nyerere Moja ya hotuba yake ni ile aliyoizungumzia Katiba liliyopo kuwa ni Katiba ambayo ikimpata Rais atakayeitumia vibaya basi atakuwa Dikteta kwa wananchi anaowaongoza. Nampongeza sana Rais Mstaafu Jakaya Kikwete...
  18. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Katiba Mpya isiyoitoa CCM ni kama kijarida tu

    Kwa uchache sana ili nisiwachoshe. 1. CCM ni chama cha hovyo, hakizingatii Katiba ya nchi wala sheria. Mambo yanafanywa kwa utashi zaidi. Utasikia Rais katoa bilioni 2. Inatia uchungu sana. 2. CCM ni chama cha hovyo hata mambo yaliyopo kwenye katiba hii mtumba hawataki kuzingatia. Mtu anapiga...
  19. B

    JamiiForums Tanzania Katiba Mpya: Kulikoni Makamanda na ndugu Wananchi Kusita Sita?

    Tukubali kuziweka siasa pembeni. Kama ilivyo kwa mwenda kuoga, tukubali kuyavulia maji nguo, tuukabili ukweli usiosemeka: 1. Ridhaa ya kuongoza nchi hupatikana kutoka kwa wananchi. 2. Haiwezekani popote kuwa ridhaa hiyo ikatolewa kwa mtu ambaye agenda zake hakuna kuheshimu usawa, uhuru wala...
  20. Rutunga M

    JamiiForums Tanzania Wadau badilisheni mbinu ya kudai Katiba Mpya

    Habari zenu, Nimesikiliza na kufuatilia mijadala katika club house ya CHADEMA,mijadala ya humu JF na Twitter space hakika inaonesha wadau hasa wapinzani wamegotea katika mbinu za kudai katiba mpya na wanaona hakuna mbadala mwingine wa kufanya siasa na kuendesha maisha yao mpaka katiba mpya...
Back
Top Bottom