katiba mpya

  1. Dr Akili

    Ona katiba mpya ya Kenya inavyowatesa Wakenya

    Kamwe fahari wawili hawawezi kaa zizi moja. Katiba yao mpya iliweka fahari zaidi ya watatu katika zizi moja. Ona sasa mambo ya utawala wa nchi unavyokuwa mgumu.
  2. Tindo

    Hivi wakati wa Katiba ya mwaka 1977, na mchakato wa katiba mpya 2011-2014 uchumi ulikuwa imara kiasi gani?

    Ndugu wanajamvi kuendana na kichwa changu cha habari, najaribu kuuliza uimara wa kiuchumi uliokuwepo 1977 wakati tunapata katiba hii, na uimara wa uchumi uliokuwepo 2011-2014 wakati wa mchakato wa katiba mpya chini ya rasimu ya Warioba? Kuna lugha tuliyopewa siku mbili hizi na serikali kuwa...
  3. Analogia Malenga

    Jukata kufufua madai katiba mpya Tanzania

    Jukwaa la Katiba Tanzania (Jukata) limesema mwaka 2020 litafufua mchakato wa kudai Katiba Mpya. Kauli hiyo imetolewa leo Jumamosi Februari Mosi 2020 na mkurugenzi mtendaji wa jukwaa hilo, Bob Wangwe katika mafunzo maalum ya asasi za kiraia kuhusu namna zinavyoweza kulinda haki zao za kikatiba...
  4. beth

    Butiku awapa wasomi mtihani wa Katiba Mpya

    Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Mwalimu Nyerere (MNF), Joseph Butiku, amesema kuna haja kwa wanataaluma nchini kuanza kuzungumzia mchakato wa katiba mpya kuliko kukaa kimya, kwani ulitumia fedha nyingi. Aliyasema hayo jana, wakati wa kumbukizi ya Siku ya Uhuru wa Tanzania Bara katika Chuo...
  5. Barbarosa

    Katiba mpya imeshindwa kuwapa Urais, sasa hawaitaki

    Hizi kelele zote za Katiba mpya na waliofanikiwa kuitengeneza tena kwa damu (2007/08) haikuwa na lengo la kumsaidia mwananchi ingawaje wananchi walidanganywa hivyo. Lengo lake lilikuwa ni power, kuna Wanasiasa waliotaka power sasa katiba iliyokuwepo ilishindwa kuwapa uongozi, wakaikataa kuleta...
  6. Chief Kabikula

    Madai ya Katiba Mpya na Tume Huru ya Uchaguzi ndio mtihani uliobaki kwa upinzani nchini

    Baada ya CCM na Serikali yake kusalimu amri. Kilichobaki kwa upinzani sasa hivi ni kutoshiriki uchaguzi wa aina yoyote ile mpaka Serikali ikubali mchakato wa kupata tume huru ya uchaguzi na katiba mpya. Kama Wapinzani sio wasaliti wa watanzania mtayazingatia haya.
  7. J

    Je, unawakumbuka vinara wa Tume ya Katiba mpya? Ungependa tuwaombe watusaidie kufufua mchakato wa Katiba mpya?

    Nimeikumbuka kazi nzuri iliyofanywa na Tume ya katiba mpya aka Katiba ya Warioba. Kwa bahati mbaya bunge maalumu la katiba mpya lilishindwa kukamilisha mchakato huo kwa sababu ambazo hazieleweki sawa sawa. Najiuliza tu kama wale vinara wa ile tume ya Warioba bado wana moyo ule ule mkunjufu na...
  8. Roving Journalist

    Rais Magufuli: Sitatenga hela ya Katiba Mpya ili watu waende Bungeni kula; wala sikuinadi kwenye kampeni

    Kongamano linaanza saa 3:00 asubuhi hii. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli ni Mshiriki Maalum kwenye Kongamano hilo. Watoa Mada ni Wanazuoni wabobezi katika masuala ya Uchumi, Siasa ya Uchumi,Siasa ya Jamii, Sheria n.k John Pombe Joseph Magufuli - Tanzania...
  9. BAK

    New constitution to be rejected?

    By Katare Mbashiru, Elisha Magolanga In Summary Taking into account irregularities during the election of constitutional assembly members...it is clear that the country won't get the Constitution that will take it to the next level. Dar es Salaam. Civil societies and political parties are...
  10. Pascal Mayalla

    Prof. Shivji aukosoa Mchakato wa Katiba Mpya, aliponda Bunge la Katiba

    Salaam, Kwa wenye access na ITV, Watch ITV now, Prof. Issa Shivji, anashusha mhadhara kuhusu Mchakato wa Katiba Mpya. Kwa wale ambao mtakikosa kipindi hiki leo saa hizi hapa ITV, angalieni TBC-1 kesho saa 1:30 usiku. Please Watch. Pasco. NB. Vipindi hivi vitakujia kila siku saa 1:30 TBC-1...
  11. M

    Dk. Magufuli ajitosa Katiba Mpya, awabeza CHADEMA

    WAZIRI wa Ujenzi, Dk. John Magufuli, amesema lazima Katiba mpya izingatie matakwa ya wananchi ili kuliweka taifa katika hali ya utulivu. Amewataka Watanzania kutoiga vurugu zilizotokea kwenye nchi za Libya, Sirya, Tunisia na Misri badala yake waendelee kuwa wavumilivu huku akiwaomba kutotumia...
  12. Zakumi

    Maendeleo mapya: Mabadiliko ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania - Uzalendo

    Amani kwenu wazalendo wenzangu: Baada ya salaam ningependa kusema kuwa uchaguzi uliopita una mapungufu makubwa sana. Mapungufu mengi ni ya masuala ya kikatiba ambayo yamekuwepo kwa muda mrefu kuanzia uchaguzi wa 1995. Mapungufu hayo hayakujionyesha sana katika vipindi vya uchaguzi vilivyopita...
Back
Top Bottom