katiba mpya

  1. Omusolopogasi

    JamiiForums Tanzania "Katiba, Katiba, Katiba...", msikilize Jaji Warioba kuhusu Katiba mpya

    Wanajukwaa, Sina maneno mengi. Wanasema kizuri chajiuza, kibaya chajitembeza. Nchi hii inahitaji wazee wa aina hii ili kupona. Mimi sina cha kuongeza. Sikiliza mwenyewe hapa:
  2. MAHANJU

    JamiiForums Tanzania Kwanini ninahitaji Katiba mpya?

    Kuna watu hasa viongozi wachache ambao kwa makusudi na maslahi yao binafsi wanayoyajua wao wamekua wakitumia mwanya wa ujinga wa wananchi na shida zao kuwaambia maneno ya Kitapeli eti katiba mpya haiwezi kuwapa maji,afya wala Barabara,eti wanaotaka katiba mpya ni wenye uchu wa madaraka. Huu...
  3. Anna Nkya

    JamiiForums Tanzania Nadhani Rais Samia atatupatia Katiba Mpya kabla hajaondoka Madarakani

    Rais Samia alisema tumpe muda ajenge uchumi kisha suala la Katiba Mpya litafuata. Hakulipuuza, alisema tumpe muda muda. Naona sasa anakwenda vyema, hii awamu ya kwanza katika Urais wake (2021-2025) itatosha sana kujenga uchumi imara. Naamini kama Mungu atatuweka hai, 2025 kwenye kampeni zake...
  4. J

    JamiiForums Tanzania Ras Mtimanyongo: Kimsingi Kariakoo ni eneo la sokoni (Wamachinga) tangia Uhuru, Wafanyabiashara kwao ni Samora na Kitumbini

    Msanii Ras Mtimanyongo anasema kamwe Wamachinga hawawezi kuondoka Kariakoo kwa sababu ndio sokoni kuanzia nchi hii ijitawale. Mtimanyongo anasema Wafanyabiashara kwao ni Samora zamani Independence avenue na Kitumbini na ndio maana hadi sasa hata vijiduka vya kariakoo ni vya ujanja ujanja tu...
  5. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania DR-Congo: Raia waandamana kudai Tume Huru ya Uchaguzi

    Polisi wamelazimika kutumia mabomu ya machozi kuwatawanya waandamanaji wanaotaka Tume Huru ya Uchaguzi katika Jamhuri ya Kidemokrasia Kongo Waandamanaji zaidi ya 10,000 walitapakaa katika mitaa ya Kinshasa ambapo waliharibu sanamu ya Rais Felix Tshisekedi Maandamano hayo yamekuja baada ya...
  6. BAK

    JamiiForums Tanzania Hukumu ya Sabaya, Udikteta na madai ya Katiba Mpya nchini Tanzania

    HUKUMU YA SABAYA, UDIKITETA NA MADAI YA KATIBA MPYA NCHINI TANZANIA Huko nyuma, sisi Askofu tulionya mara nyingi kuwa nchi yetu ilikuwa imeabiri meri iliyokuwa inatupeleka katika ng'ambo ya Udikiteta na Ufashisti. Tulikemea vitendo vya watendaji kudhalilishwa hadharani katika mikutano ya...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Katiba Mpya ni muhimu kwa Sekta Zote

    Uwepo wa mustakabala mpya wa mahusiano baina watu na watu pia watu na serikali hauwezi kudunishwa. Ni muhimu kuzipitia sekta mbalimbali katika kuamshana kwenye harakati hizi takatifu. Tuanze hapa na Sekta ya Usafirishaji: Sekta hii ni katika sekta zilizonyanyasika vilivyo. Ukitaka...
  8. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania TWAWEZA: Katika Watanzania watatu, Wawili wanataka Katiba Mpya

    Hii ndio taarifa iliyopatikana kutokana na Utafiti uliofanywa na Taasisi inayoaminika nchi Tanzania inayoitwa TWAWEZA , katika utafiti wao ulioitwa UNFINISHED BUSINESS . Bila shaka sasa kuna haja ya kufuata matakwa ya wengi.
  9. B

    JamiiForums Tanzania Katiba Mpya na Janja janja za wenye Maslahi binafsi Madarakani

    Katiba inabeba msingi mzima wa mahusiano baina ya watu na watu na pia watu na mamlaka katika nchi. Tuna malalamiko ya msingi kuhusiana na mahusiano haya hapa nchini. Hatuko sawa mbele za haki. Hatuko sawa mbele ya sheria. Pana upendeleo wa wazi ambapo waliopo madarakani kama wawamba ngoma...
  10. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Pamoja na kuzuia kivuko kufanya kazi, Kongamano la Katiba Mpya lafana Ukerewe

    Kama tulivyowahi kueleza huko nyuma, nguvu ya umma haijawahi kuzuilika kamwe, hii ni kwa sababu binadamu si kama mifugo kwamba unaweza kuiburuza utakavyo. Bavicha inaendelea na makongamano nchi nzima kama ilivyopangwa . Hapa ni Ukerewe , 10/10/2021
  11. F

    JamiiForums Tanzania Katiba Mpya Haimpeleki Rais Ikulu

    Tusiyopenda kuyasikia kwenye Elimu ya Uraia. Kimsingi madai ya Katiba mpya kwa minajili ya kushika nafasi ya urais naamini ni ndoto isiyotimia kwa vizazi vingi vijavyo. Uki-study historia mahala pengi utakubaliana nami kwamba madai ya Katiba mpya siyo kwa ajili ya wanaogombea urais kuingia...
  12. J

    JamiiForums Tanzania Lile Jambo kutoka kwa Rais Samia ni Leo, tega masikio yote mawili

    Bwana Yesu asifiwe wapendwa. Kama tulivyokwishatangaziwa na Mwenezi wa CCM komredi Shaka kuwa leo Rais Samia atakuwa na jambo letu. Tega sikio hapa hapa bwashee. Nawatakia Dominica yenye baraka!
  13. Light Saber Imetosha Sasa

    JamiiForums Tanzania Nauliza tu hivi Mbowe na wenzake wangekuwa wanakula keki ya Taifa angedai katiba mpya?

    Nauliza tu hivi Mbowe na wenzake wangekuwa wanakula keki ya Taifa angedai katiba mpya? Mbowe. Lema. Lissu. Upinzani kwa ujumla.
  14. BAK

    JamiiForums Tanzania Mwananchi gani hataki Katiba Mpya?

    Mwananchi gani hataki Katiba Mpya? THURSDAY AUGUST 19 2021 Summary Vuguvugu la madai ya Katiba mpya limeanza kushika kasi, lakini katikati ya vuguvugu hilo kumejitokeza kundi ambalo linajaribu kuuaminisha umma kuwa hakuna mwananchi wa kawaida anayeihitaji isipokuwa ni wanasiasa. By Daniel...
  15. B

    JamiiForums Tanzania Baada ya Angalizo UN, Katiba Mpya - Mapambano yanaendelea

    Hii ni habari njema kutokea UN. Uthibitisho zaidi kuwa ni nini iliyo kiu ya watu kote duniani. Tusidanganyane tunataka kupumua kwa uhuru, haki na usawa kisiasa na kijamii. Kiongozi dikteta si wa zama hizi. Hautakuwa peke yako baba askofu. Zambia wametambuliwa kwa jitihada zao za...
  16. chiembe

    JamiiForums Tanzania Siasa za kilaghai za Polepole: Awamu ya Nne aliunga mkono Katiba Mpya; Awamu ya Tano alikataa, Awamu ya Sita anaitaka kwa gia ya Shule ya Uongozi

    Huu ulaghai wa hali ya juu unaofanywa na Polepole, alikuwa anapinga katiba mpya enzi ya mwendazake, alitumia muda mwingi kukata viuno akicheza mabolingo huku akijirekodi katika camera, alishuhudia na akawa sehemu ya tawala ya hovyo kabisa katika historia ya nchi hii,alikuwa sehemu ya tawala...
  17. N

    JamiiForums Tanzania Kama hutaki Katiba Mpya, wote mliokuwa mwenye Bunge la Katiba rudisheni pesa mlizolipana kama posho

    Hapo sikuwagusa CCM kwakuwa katiba mpya siyo yao peke yao, ni ya watanzania wote walipa kodi. Nimesikia tetesi kuhusu mipango ya kuokoa pesa zilizotumika uwanja wa Chato maana baada ya kifo cha Magufuli kumebaki ukiwa. Sasa sukuma gang wanampango wa kuona mipango iliyopangwa kuhusu Chato na...
  18. comte

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya wenye katiba mpya na ambapo tozo la miamala halipo nako diseli na petroli imepanda bei

    Kenyans voice fury over fuel price hikes Kenyans voiced fury on Thursday at a jump in fuel prices, which threaten to pile on the misery for a population already suffering economic hardship because of the Covid-19 pandemic. Fuel prices are now at record levels after the country's energy...
  19. B

    JamiiForums Tanzania Tupiganie Katiba Mpya: Madaraka Matamu Wachonga Mzinga ni kama Wote

    Amesikika Samia Suluhu Hassan akisema hatuna rais mwanamke. Akiendelea kasema rais mwanamke tutamweka 2025. Amesema huyu tunayemwona sasa kaingia kwa kudra za Mola tu. Ni wazi kuwa mheshimiwa huyu kesha nogewa kama mwonja asali vile. Tamaa yake iko sasa kwenye kuendelea kuwa rais 2025. Hii...
  20. S

    JamiiForums Tanzania Tunataka Katiba Mpya na Tume Huru ya Uchaguzi

    Mengine yote yatakupotezea muda mwisho wa siku hao hao wenzako watakupiga na chini na maneno kibao, hawana kheri hao Jambo moja Rais Samia la kuwafadhaisha hao wanaokusogelea ambao hawana ukweli wanacheka ukiwepo ni kuibuka na Tume Huru ya Uchaguzi na Katiba Mpya, na kuhakikishia hapo ndio...
Back
Top Bottom