katiba mpya

  1. J

    JamiiForums Tanzania Ras Mtimanyongo: Zitto yuko sahihi Wanasiasa wadai Tume huru ya Uchaguzi, Katiba Mpya itadaiwa na Wananchi pale itakapohitajika

    Msanii wa miondoko ya Reggae Ras Mtimanyongo amesema hakuna mwananchi aliyewatuma wanasiasa kudai katiba mpya kwa niaba yao hivyo wasiwaingilie. Ras anasema Zitto Kabwe yuko sahihi kwa 100% kinachowahusu wanasiasa kwa sasa ni Tume huru ya uchaguzi. Maendeleo hayana vyama!
  2. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Kuwa sehemu ya historia ya katiba mpya kwa kuweka maoni yako hapa

    Katiba mpya yaja na hili sio jambo geni wala la kubahatisha tena. Tumetoka mbali na tumepitia mengi mabaya na mazuri ya kushangaza na ya kuleta matumaini pia. MOJA LILILO WAZI ni kwamba KATIBA MPYA haizuiliki tena! Jamii Forums ni mtandao tegemewa kwa mengi hapa Tanzania hasa linapokuja suala...
  3. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Huu ni wakati wa Watanzania kudai katiba mpya, wasipodai taifa lao litaibiwa kama shamba la bibi.

    Katiba mpya itazuia mapungufu ya kila aina ambayo yanasabisha hili taifa kuibiwa na kuporwa kama shamba la bibi. Katiba mpya itawapa wananchi nguvu ya kuzuia, kurekekebisha na kukataa uovu wa kila namna ndani ya taifa lao. Mfano kukaataa na kupinga utawala unaokumbatia ufisadi kwa kuzuia au...
  4. E

    JamiiForums Tanzania Kayiba Mpya ni mwarobaini wa mihimili kuheshimiana bila kijali vyama

    Ndugu wanajukwaa nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Taifa la Tanzania kwa sasa tunahitaji katiba mpya. Uhitaji huu ni wa lazima kwasababu wote tumeshuhudia jinsi ambavyo mihili miwili haiko huru. Haiwezekani spika unazungumza kama muhimili halafu muhimili mwingine...
  5. The Dictator

    JamiiForums Tanzania Chalamila akanusha uvumi ulioenea asema sitaki katiba mpya wala marekebisho ya katiba

    Albert Chalamila amesema hataki katiba mpya wala marekebisho yake. Ameeleza hayo akikanusha habari zilizotolewa na baadhi ya vyombo vya habari kwamba anaunga mkono mabadiliko ya katiba. "Wala sihitaji hiyo katiba mpya, wala sihitaji hayo marekebisho,"- amesema Chalamila. Pia soma > Chalamila...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Samia Vs. Ndugai: Suluhisho ni Katiba Mpya. Wana CCM tuidai

    Bila shaka, malumbano kati ya speaker na rais Samia imeonyesha wazi kwamba, hakuna uhuru wa mihimili yetu ya uongozi. Mahakama haina uhuru wake, Bunge halina uhuru wake na Speaker pia ameonyesha udhaifu mkubwa sana kuomba msamaha pasipo na sababu ya msingi, na Rais Samia ameonyesha udhaifu wa...
  7. Prof Koboko

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe si muumini wa kudai katiba mpya, ACT wote mnaona sawa?

    Niulize swali hili ni kwa wanachama wote wa ACT-wazalendo wenye mawazo mema na taifa hili kama taasisi, hivi ni kweli mnakubaliana na ulaghai wa anakifanya bosi wenu? Yaani vyama vyote vikubwa vya upinzani vinataka mchakato wa katiba mpya lakini Zitto Kabwe anaamini tume huru ya uchaguzi ndio...
  8. Cathelin

    JamiiForums Tanzania Huu Moto wa Katiba Mpya naona umekolea sana nchi nzima

    Kwanza inabidi tukubali kuwa CCM walifanya kosa kubwa saana la kuiba uchaguzi kishamba last year. Kupitia wizi ule ndo maana wazo la katiba liliibuka na kwa hali ilivyo sioni wa kuuzima huu Moto . Freeman Mbowe baada ya kuanza makongamano, serikali ikaona solution ni kumpa bogus terrorism...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Lissu na Katiba Mpya: Tuweke catching words katika mchakato wa Katiba upande wa wananchi kama ninavyopendekeza hapo chini (rejea hotuba yako)

    Lazima kuweka maneno ambayo yanaamsha hisia za watu kuwa hil ni la kwetu na si la serikali kama wanavyotaka kufanya kuuteka tena mchakato wa katiba. Napendekeza 1. Wananchi Ndio wenye Nchi Katiba Initiative au 2. Katiba ya wananchi Initiative 3. Or any other catching words one might think of...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Kipi kianze kati ya Tume Huru ya Uchaguzi na Katiba Mpya?

    Kumekuwepo na mijadala na majibizano mitandaoni kwamba kipi kianze kupatikana kati ya Katiba Mpya na tume huru ya uchaguzi. Chama cha Chadema wao wanataka katiba mpya wakiamini ndio mwarobani wa changamito zinazoikabili nchi yetu. ACT Wazalendo wao wanataka ianze tume huru ya uchaguzi kwanza...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Watu wanaosema Tume Huru ya Uchaguzi ianze kabla ya Katiba Mpya hawajui kwamba wanabariki Katiba Mpya kutopatikana hadi baada ya 2025!

    Jiulize, kwani Tanzania ilikuwa imefikia wapi na Mchakato wa Katiba Mpya, na ni nini kilichokuwa kimebaki ili kuikamilisha? Na pia jiulize, ni mambo gani yanatakiwa ili kuwa na Tume Huru ya Uchaguzi? Sasa unapokuwa na majibu yanayojitosheleza ya maswali haya, ndio utoe kauli kuhusu haya mambo...
  12. NTIGAHELA

    JamiiForums Tanzania Kwanini CHADEMA hampendi ACT-Wazalendo ifanye siasa zake?

    Viongozi wa Chadema wako busy kupambana na ACT badala ya issues za kitaifa: 1. Hivi ni lini mara ya mwisho wamekaa kitako na kuchambua bajeti ya nchi, na kutoa recommendations 2. Hivi ni lini mara ya mwisho wamekaa kuchambua ripoti za CAG? 3. Sijawaona wakikaa chini na kuchambua ripoti za benki...
  13. B

    JamiiForums Tanzania Mkakati mpya kudai Katiba Mpya wazinduliwa

    Katiba ni mali ya wananchi. Jitihada za kutufikisha kuliko haki haziwezi kufanyikia gizani. Hii mambo ya kina TCD na kina Zitto haziwasimamishi wasioridhika nazo kuchukua mwelekeo mwingine. Mkakati mpya kudai Katiba Watu ambao hawakuwahi kukemea ndivyo sivyo za tume ya uchaguzi, polisi dhidi...
  14. Mystery

    JamiiForums Tanzania Kudai Katiba Mpya alikofanya Mbowe ndiyo ambacho Rais Samia anakiita kuvunja sheria za nchi?

    Nimemsikiliza kwa makini Sana, Rais Samia Suluhu Hassan, Katika hotuba yake kwa Baraza la vyama, akijibu hoja aliyopewa na Kiongozi mkuu wa ACT Wazalendo, Zitto Kabwe, aliyeomba Mwenyekiti wa Chadema Mbowe afutiwe kesi ya ugaidi inayomkabili. Alijibu hoja hiyo kuwa kusamehe kupo, lakini Mbowe...
  15. S

    JamiiForums Tanzania Kwa mujibu wa mwanasiasa mmoja wa upinzani (Lissu kama sikosei), CCM walihofia katiba mpya kukataliwa na waazanzibari kwenye kura ya maoni

    Katika mojawapo ya majadilioni ya siku za nyuma kupitia MaraSpace, mwanaaiasa mmoja wa upinzani (Lissu kwa kumbukumbu zangu), alisema sababu kuu iliyopelekea kura ya maoni kutofanyika kupitisha katiba mpya ilikuwa ni hofu ya watawala kuwa katiba pendekezwa ingekataliwa na Wazanzibar hivyo...
  16. I

    JamiiForums Tanzania Mzee Warioba: Rais Samia amekubali Katiba Mpya, tatizo ni Corona

    Mh. Warioba amesema hayo akihojiwa na Mobali wa BBC. Hivyo amesema hajui kura ya maoni itafanyika lini kutokana na janga la Corona.
  17. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Wanachadema Katiba Mpya sio kigezo cha kufanya mkubalike kwa wananchi. Sera na itikadi nzuri ndio mtaji wa kisiasa

    Hata kama taifa letu lipate katiba mpya, lakini kama chama cha siasa kinakuwa na sera na itikadi mbaya hakuna mwananchi atakiunga mkono. Nashangaa sana wanaCHADEMA kushupaza shingo wakidhania kuwa tukipata katiba mpya basi wataungwa mkono na wananchi. Wanadhania katiba mpya ndio tikti ya...
  18. O

    JamiiForums Tanzania Tutarajie Katiba Mpya miaka michache ijayo na mpasuko mkubwa wa kiitikadi ndani ya CCM

    Huu sio utabiri ila ndio suluhu ya mwisho ya yanayoendelea huko jikoni. Inasemekana Hayati Magufuli alikuwa tayari amekubali kuuanza upya mchakato wa kuunda katiba ya Wananchi na hili alipata ushauri wa Kina kutoka kwa Mshauri na Mlezi wake Hayati Benjamini, moja ya mependekezo makubwa ya...
  19. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania Jenerali Ulimwengu: Katiba mpya ni suala tutalojadili bila ukomo, hakuna wa kutuzuia kujadili

    Tumejadili sana suala la katiba mpya na nadhani tutaendelea kujadili zaidi. Lazima tuendelee kujadili kwa uwazi na ukubwa. Hata tukija kuandika katiba mpya na wananchi wakaipitisha, bado tutaendelea kuijadili. Hakuna mtu wa kuzuia hilo- Jenerali Ulimwengu https://t.co/ePitXJSG8g
  20. S

    JamiiForums Tanzania Kuanzia Januari 2022 ni mwendo mdundo -Tume huru ,mkiguna Tunaguruma na katiba Mpya

    Viongozi mliopo serikalini mkae mkijua,kuwa linaloanza kutoa mvuke karibu litashika kasi,kinachohitajika ni tume huru ya Uchaguzi ,na hili halina mswalie Mtume,Hii kero imeshapevuka na sasa kama ni jipu linakaribia kupasuka. Na Mliopo madarakani msiingizwe mkenge na CCM,nikimaanisha CCM kama...
Back
Top Bottom