#COVID19 Wizara ya Afya: Serikali imeanza kusambaza Chanjo ya Uviko-19 mikoa yote nchini

Suley2019

JF-Expert Member
Oct 7, 2019
1,813
4,545
Salaam Wakuu,

Serikali kupitia Wizara ya Afya imeanza mchakato wa kusambaza chanjo ya Uviko katika mikoa mbalimbali nchini, ugawaji wa chanjo hizi utazingatia taarifa za visa mbalimbali vya kuwapo kwa wagonjwa katika maeneo husika.

My Take
Tujitokezr kuchanja
1627643109754.png

1627643144487.png
 
Huree!

Mambo yamewiva SSH isingekuwa kutukwaza kizembe, alistahili pongezi zetu na mikumi mingine ya dhati. Jumbe Brown isome hii vyema.

Jumatatu 2 Aug mimi na jamaa zangu, mtu kama 40 tunatia timu, mimi ku sign form yangu ya utayari wa kupata chanjo na wao zao.

Bila kukosa inshallah 3 Aug na barakoa langu katika wa mwanzo kupata yale mambo yetu ya Janssen.

Waziri wa afya na wizara nzima ya afya tambueni mlitukwaza sana na kwa hakika hamkuwa mmetundea haki kwa msimamo wenu kuhusu ugonjwa huu.

Msiache kukumbuka pia kwa misimamo na porojo zile wengi wasio na hatia walipoteza maisha.

Hata hivyo nitakosa shukurani kutokusema hatimaye asanteni sana.

Tulipo sasa tunaweza kukodolea mambo ya katiba mpya tukiwa vifua mbere!

Kamanda Mbowe atuandalie makazi ya kudumu tu huko Segerea. Awashauri na Stadiums zote kuziandaa kuwa magereza. Tunakuja kwa makumi elfu kama siyo malaki au mamilioni.

Baada ya chanjo Mungu atupe nini tena?

IMG_20210731_123812_192.jpg

IMG_20210731_123750_259.jpg

Ninawasilisha.
 
View attachment 1875108

View attachment 1875111

Ninawasilisha.
Usitumie nguvu kubwa sana kutuaminisha kuhusu Chanjo! Tumesha kubaliana Chanjo ni hiyari,wwe choma piga kimya Maisha yaendelee! Kesho ingia road upate kipigo cha Mbwa kokoo na Chanjo yako begani labda inaweza kukusaidia kupona majeraha ya kipigo haraka!!
 
Siaminishi Mburula.

Wito rasmi waambie waongeze magereza:

Si tulishakubaliana kila mtu abakie na m@vi yake?
 
Wwe akili zako ziko Kama za Mdude!!
 
Kwan katiba mpya mwenyewe anasemaje.?

Katiba mwenyewe ni Mwananchi.

Mwananchi yuko wazi. Kama anavyosema mzee Warioba, mzee wa siku hapo.
 
Huree!

Mambo yamewiva SSH isingekuwa kutukwaza kizembe, alistahili pongezi zetu na mikumi mingine ya dhati. Jumbe Brown isome hii vyema.

Jumatatu 2 Aug mimi na jamaa zangu, mtu kama 40 tunatia timu, mimi ku sign form yangu ya utayari wa kupata chanjo na wao zao.

Bila kukosa inshallah 3 Aug na barakoa langu katika wa mwanzo kupata yale mambo yetu ya Janssen.

Waziri wa afya na wizara nzima ya afya tambueni mlitukwaza sana na kwa hakika hamkuwa mmetundea haki kwa msimamo wenu kuhusu ugonjwa huu.

Msiache kukumbuka pia kwa misimamo na porojo zile wengi wasio na hatia walipoteza maisha.

Hata hivyo nitakosa shukurani kutokusema hatimaye asanteni sana.

Tulipo sasa tunaweza kukodolea mambo ya katiba mpya tukiwa vifua mbere!

Kamanda Mbowe atuandalie makazi ya kudumu tu huko Segerea. Awashauri na Stadiums zote kuziandaa kuwa magereza. Tunakuja kwa makumi elfu kama siyo malaki au mamilioni.

Baada ya chanjo Mungu atupe nini tena?

View attachment 1875108

View attachment 1875111

Ninawasilisha.
Komredi Kongole sana kwa UAMUZI huo kuntu ....

Wewe na wadau wako tutaungana pamoja kama watanzania waliouelewa vyema ufafanuzi wa mh.Rais SSH na mh.Waziri wa afya Dr.Gwajima kufikia UTAYARI WETU HUU....

Si pekee aliyetoa ufafanuzi kuntu ,hata mh.Mbowe na wadau wengine walibainisha kinagaubaga umuhimu huo wa chanjo.....

Kama taifa ,kuhusu chanjo yaliyopita si ndwele tugange yajayo.........

Kudos kwa uzalendo wako kuntu!!!

#NamiNitajitokezaKuchanjwa
#NamiNitawaungaMkonoTukachanjweSote
#ChanjoNiBoraKulikoTiba
#NchiKwanza
#SiempreSSH
#KaziIendelee
 
Chanjo ni maeneo ya kitalaamu ya watu. Hayupo anayeweza kujua kila kitu. Kiungwana kuzingatia ushauri wa wenye taaluma zao ndiyo ustaarabu wenyewe.
 
Loo! Yaani pamoja na Mama kupewa saalamu za Wana Kawe kuwa HATUCHANJI bado chanjo zinasambazwa?
 
Back
Top Bottom