katiba mpya

  1. D

    JamiiForums Tanzania Ismail Jussa na machache kuhusu Katiba Mpya

  2. Subira the princess

    JamiiForums Tanzania Sensa na Katiba Mpya kipi muhimu na kinafaa kupewa kipaumbele?

    Nauliza tu kwa upole kuhesabu watu na kutengeneza Katiba Mpya kipi bora kwa watanzania wa leo? Maana sielewi ni nini kipaumbele cha CCM na Serikali yake. Pia soma > Serikali iachane na sensa 2022 badala yake ishughulikie Katiba Mpya
  3. K

    JamiiForums Tanzania SoC01 Umuhimu na uhitaji wa Katiba Mpya iliyo Bora

    Utangulizi. Katiba ni sheria na kanuni zinazotungwa ili kuongoza nchi, shirika au taasisi fulani. Katiba ya nchi inatambulika kuwa sheria kuu na sheria mama na ndio msingi wa nchi. Katiba ni msingi wa mihimili mikuu mitatu ambayo ni dola, bunge na mahakama. Katiba inafafanua na kutoa mgawanyo wa...
  4. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Kibonzo cha Polisi wetu, rasimu ya Katiba mpya ni vita kuu wanayopigana nayo sasa Hivi.

  5. T

    JamiiForums Tanzania Sio kweli kwamba kila tatizo hapa nchini litatatuliwa na Katiba Mpya

    Kumezuka kasumba ya wanasiasa hasa wa upinzani kuwaaminisha wananchi kwamba mambo matatizo mengi tuliyo nayo, yanatokana na katiba mbovu tuliyonayo. Madai haya yanaweza kuwa na ukweli ila ni kwa kiwango kidogo sana. Ukweli ni kwamba hata katiba bora yenyewe huwa ni matokeo ya msuguano wa hoja...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Huu si wakati wa longolongo; Katiba Mpya, Tume Huru iwe ndiyo wimbo wa Taifa

    Naona kuna dalili za kuyahepesha madai ya katiba mpya na haswa tume huru ya uchaguzi, kuna harakati zimeibuka kutoka kusiko julikana na ni nyingi na zinakuwa kama moto wa nyasi kavu. Lengo likupinsha muelekeo ulioanza kubaleghe kwa maana uoga umeanza kuondoka juu ya kupiga makelele ya kudai...
  7. BAK

    JamiiForums Tanzania Mtanzania gani anayejitambua na ana mapenzi ya kweli na Tanzania hataki Katiba Mpya?

    Mwananchi gani hataki Katiba Mpya? THURSDAY AUGUST 19 2021 Summary Vuguvugu la madai ya Katiba mpya limeanza kushika kasi, lakini katikati ya vuguvugu hilo kumejitokeza kundi ambalo linajaribu kuuaminisha umma kuwa hakuna By Daniel Mjema More by this Author Vuguvugu la madai ya Katiba...
  8. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Jaji Francis Mutungi atangaza kuzuia Mikutano na Makongamano ya Vyama vya Siasa kwa muda kutafuta suluhu

    Msajili wa milele wa vyama vya siasa Tanzania, Francis Mutungi amekubali kutumika hadharani na CCM baada ya kutoa Tangazo la kukataza makongamano ya vyama vya siasa , kwa maelezo kwamba wanasiasa wasubiri kwanza kikao na IGP katika tarehe isiyojulikana. Kwa wasiojua katiba ya nchi, Francis...
  9. BAK

    JamiiForums Tanzania Dkt. Hoseah: Hakuna ubaya kudai Katiba

    ‘Hakuna ubaya kudai Katiba’ Sunday September 05 2021 Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Dk Edward Hoseah amesema si kosa kwa wananchi kudai Katiba Mpya na kwamba wakati umefika kwa mamlaka za nchi kutoa mwongozo mpya wa kufikia hatima ya dai hilo. By Bernard James Dar es...
  10. B

    JamiiForums Tanzania Katiba Mpya: Mapambano bado yanaendelea

    Kupigania katiba mpya Tanzania ni wajibu wetu na hasa wote tulio na akili timamu. Tutake nini kwa Mungu kama katiba mpya itatuhakikishia uwepo wa usawa, haki, uhuru na utawala wa demokrasia? Mambo mema kabisa kwetu, watoto wetu na hata watoto wa wajukuu zetu. Mapambano haya yaliyoendelezwa...
  11. kagoshima

    JamiiForums Tanzania Zuio la mijadala ya katiba mpya ni kuzuia elimu hii isiwafikie wananchi

    Jumapili njema wakuu! Huu ndo ukweli wenyewe! Kwa kengo lile lile la CCM kutawala raia wasio na elimu, ndiyo chanzo cha nguvu kubwa ya kuzuia elimu ya katiba mpya isisambae kwa raia kwa kukataza uwepo wa mijadala ya katiba mpya. Tafiti za huko nyuma zinaonesha wazi shabiki wakubwa wa ccm ni...
  12. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Kongamano la Katiba mpya lafanyika Tarime kwa amani na utulivu

    Siku zote tumesema humu na kurudia mara nyingi sana kwamba , HAKUNA MAHALI POPOTE KATIKA DUNIA HII AMBAPO SHETANI ALIWAHI KUMSHINDA MUNGU , japo wapagani wametupuuza mara zote lakini ukweli huu hauwezi kupingwa . Pamoja na RC wa Mara kumwaga majeshi yote barabarani na mitaani , ikiwa ni pamoja...
  13. B

    JamiiForums Tanzania Katiba Mpya: Mapambano yako katika Hatua za Mwisho

    Mapambano ya kudai katiba mpya ni mapambano kudai haki, uhuru na demokrasia. Demokrasia ni kuwa na utawala unaowajibika kwa wananchi. Siyo utawala unaowajibika kwa watawala. Kwenye demokrasia: 1. tozo za miamala ya simu zisingekuwapo, 2. bambikizaji za kesi zisingekuwapo, 3. polisi...
  14. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Musoma: Polisi Wazingira ofisi ya CHADEMA kulikopangwa kufanyika kongamano la Katiba Mpya

    Hii ndio taarifa mpya inayosambaa duniani kwa sasa , kwamba Baada ya polisi kutumwa na RC kufanya usafi kwenye ofisi za Chadema , walipofika wakaizingira ofisi hiyo na kuiweka chini ya ulinzi na kuzuia kongamano hilo muhimu kufanyika . Mungu ibariki Chadema
  15. THE FIRST BORN

    JamiiForums Tanzania Ukimya Wetu Watanzania ndio unaotuponza katika suala la Tozo na Katiba Mpya

    Nawasalimu Wakuu, Nianze pasipo kupoteza Muda. Kauli ya Serikali ya kusema kua Watanzania wamekubali Tozo haina tofauti hata kidogo na ile kauli yao waliyo toa wakisema Watanzania hawataki katiba mpya wakisema kipaumbele chao ni Maendeleo. Ifikie hatua tuseme kua tunaburuzwa sana kwa ukimya...
  16. MAHANJU

    JamiiForums Tanzania CCM tukikubaliana na haya, 2025 tumekwisha na tusahau kabisa kutawala tena

    Mnajua ndugu zangu wanaccm na msiokua wanaccm kuna mambo tusipoyasema ipo siku uhalisia utatuumbua, sioni haja ya kuficha nikiwa kama mtumishi mwema wa chama na raia mzalendowa taifa langu. Haya mambo tukiyaruhusu 2025 basi ndio mwisho wetu na tusahau tena dola. 1. Serikali ikiruhusu kuundwa...
  17. N

    JamiiForums Tanzania Siku watanzania wakijua umuhimu wa Katiba Mpya nini kitatokea?

    Wakuuu najaribu kuwaza kwa mapana, Tanzania tunatumia KATIBA ya mwaka 1977 na huu ni mwaka 2021. Malalamiko ni mengi mno kutokana na KATIBA ya OVYO. Je, Watanzania siku wakifahamu hili suala ni muhimu nini kitatokea na ni lini watafahamu?
  18. Mmawia

    JamiiForums Tanzania Mtazamo wa Kipanya juu ya mapambano ya kupata Katiba Mpya

    Msanii Kipanya ameamua kujikita kwenye kuwapigania kimawazo Watanzania. Leo hii ameibuka na mustakabali wa mapambano ya kuhitaji katiba mpya baada ya kiongozi wa mpambano huo kufunguliwa mashitaka mahakamani. Tazameni hiyo picha hapa chini ili kwa wenye uelewa zaidi wa habari picha mtupashe zaidi.
  19. Dejane

    JamiiForums Tanzania New song: Rais wa kitaa wa Ney wa mitego

    Ney wa mitego kajitahidi sana hii nyimbo ina ujumbe mzuri kaongelea habari za tozo,wabunge 19,katiba mpya ,hizi ndio nyimbo sasa sio kila saa mapenzi tu wakati nchi ina matatizo kibao. Nimeipenda sana twendeni youtube sasa.
  20. S

    JamiiForums Tanzania Umuhimu wa Tume huru ya uchaguzi na Katiba mpya.

    haya ya Hamza ,Denmark na tozo na miamala ni katika harakati za CCM kutaka kutawala maisha nchi hii,hivyo nyumbu hawa CCM wanajaribu kupanga kila mipango ili wavuruge na kuzihamisha akili za watanzania wanaoanza kushika kasi katika kutaka uchaguzi wa nchi hizi mbili Tanganyika na Zanzibar...
Back
Top Bottom