katiba mpya

  1. J

    JamiiForums Tanzania Baada ya kumsikiliza Profesa Mukandala, nakubaliana na CHADEMA kwamba wadai Katiba Mpya "kivyao"

    Kile kikosi kazi cha demokrasia ni tofauti kabisa na ile Tume ya Warioba ya akina Polepole. Zitto Kabwe na Mkandala hawawezi kushughulikia katiba mpya bali watakuwa wanapiga danadana na vikao vyao huku wakilipwa posho na Serikali. Wanawafanyia watanzania dhambi kubwa sana. CHADEMA endeleeni...
  2. Replica

    JamiiForums Tanzania Kikosi Kazi: Tanzania ianze mchakato wa kupata Katiba Mpya baada ya Uchaguzi Mkuu 2025

    Kikosi kazi cha kuratibu maoni ya wadau wa demokrasia ya vyama vingi vya siasa kilichoundwa na Rais Samia Suluhu leo kinawasilisha taarifa ya yake na mapendezo kwa Rais Ikulu, Dar es Salaam. Kikosi kazi chini ya mwenyekiti wake, Rewakaza Mkandala kimependekeza Tanzania ianze mchakato wa kupata...
  3. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania ACT Wazalendo wanapodai Tumehuru kabla ya Katiba mpya nia yao ni kumsaidia swahiba wao

  4. Q

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe: Anayefikiri Tanzania itapata Katiba Mpya bila kwanza kuwa na Tume Huru ya Uchaguzi hana ubongo

    " Yeyote yule anayefikiri kuwa Tanzania itapata katiba mpya bila kwanza kuwa na Tumehuru ya uchaguzi hana ubongo" Zitto
  5. Q

    JamiiForums Tanzania Prof. Kitila Mkumbo: Tangu 2014 tulishakubaliana kuwa na Katiba Mpya, kilichobaki ni utekelezaji

    "Tulishakubaliana kama nchi kuwa tunataka Katiba Mpya tangu mwaka 2014 ndiyo maana tukaanzisha mchakato wa Katiba na kupata Katiba inayopendekezwa, tunachopaswa kuzungumza kwa sasa ni nili tunaendelea na mchakato na siyo kurudisha mambo nyuma" Mbunge wa Ubungo Prof. @kitilam.
  6. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania Katiba mpya kwa sasa hatuhitaji, chaguzi hatushiriki. Sisi tupotupo na haijulikani tunataka nini. Au tunataka michango tu ya wananchi?

    Kama chama kikuu cha upinzani sisi tunahitaji nini kwa sasa? Katiba mpya ingetupatia tume huru na tungeshinda chaguzi kihalali. Chaguzi zikifanyika hatushiriki hii ni kwa sababu tulishasema hatutashiliki chafuzi za wezi wa kura Sasa chama chetu cha Chadema kipokipo tu na hakina muelekeo zaidi...
  7. Nyani Ngabu

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kweli suala la Katiba Mpya ni suala la Rais kulikubali au kulikataa?

    Kwenye video hii, Tundu Lissu anazungumzia suala la katiba mpya na kudai kwamba Rais [kwa sasa ni Samia Suluhu Hassan] ndiye mwenye uwezo wa kuamua tupate katiba mpya au la! Anzia dakika ya 6:00 - 6:16 hivi. Hivi ni kweli kabisa Rais ndiye mwenye uwezo huo? Tukiachana na mazoea ya kijinga...
  8. Suzy Elias

    JamiiForums Tanzania Wakati CHADEMA wakidai Katiba Mpya ACT Wazalendo wanataka Tume Huru. Je, Zitto ni laghai wa kisiasa?

    Hivi ninyi watu mnaojiita wapinzani ni nani aliyewaroga?! Kwanini hamuwezi kwenda na agenda moja yenye maslahi mapana kwa wananchi? Agenda ya katiba mpya ni kilio cha muda mrefu kutoka Chadema na hakika wameendelea kupambana,kuitetea na kuisimamia kwa gharama kubwa! Sasa ajabu la mwaka ni...
  9. G

    JamiiForums Tanzania Katiba Mpya ni hitaji la Wananchi, vyama vya siasa ama?

    Habari zenu wana jukwaa letu pendwa JF. Nimejiuliza swali hili bila kupata jibu la kuridhisha fikra zangu na hivyo ninadhani ni busara kushirikisha wana jukwaa. Madai ya Katiba Mpya ni nani hasa mhusika wake?Je,ni wananchi,vyama vya siasa au? Nauliza kwa kuwa sasa ni dhahiri kuwa...
  10. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania Makamanda tusitegemee Mbowe kudai Katiba Mpya. Tayari ameshaingia kwenye 18 za CCM

    Kauli zake zinatia mashaka makubwa. Tayari ameshatishika na anajipendekeza kwa Rais Samia. Mimi ndiyo maana kwa machungu niliyonayo huwa naamua kusema ukweli. Mbowe tayari amenyoosha mikono juu.
  11. Leak

    JamiiForums Tanzania Mbowe: Niruhusuni kunyamaza

    Mh Mbowe amesema anaomba watu wamruhusu kunyamaza kwanza kwa kipindi hiki atakapo kuwa tayari atazungumza na taifa na watanzania kwa ujumla! My opinion Mbowe hawatendei haki wafuasi wake na watanzania ambao walimuombea usiku na mchana leo hii anawataka wampe muda wa kunyamaza? Mbowe alitakiwa...
  12. Khadija Mtalame

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu kufutiwa mashtaka yote na Serikali, Katiba Mpya inahitajika

    Habari wanabodi, Nimekuwa nikifatilia siasa za ndani na nje ya Tanzania yetu hii.kiukweli juzi kitedo cha Mama kufuta mashtaka yote ya TAL ni ishara kwmba tuna katiba mbaya kuwahi kutokea ,amemruhusu aje Tz kama kaweza kufuta mashtaka thats means anaweza mpa yoyote yule mashtaka. Tubadili...
  13. Nyendo

    JamiiForums Tanzania Mbowe na Wenzake 3 wakutwa na kesi ya kujibu. Kesi imeahirishwa hadi Machi 04, 2022 watuhumiwa kuanza kujitetea

    Mahakama Kuu Divisheni ya Rushwa na Uhujumu Uchumi leo Februari 18, 2022 inatarajiwa kutoa uamuzi kama Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe pamoja na Washtakiwa wengine watatu wana Kesi ya Kujibu au Hapana. Ile siku iliyosubiriwa ya kutolewa maamuzi kesi Mbowe na wenzake 3 kama wana kesi ya...
  14. B

    JamiiForums Tanzania Rais Samia umenifurahisha sana kwa maamuzi makubwa uliyofanya kwa maslahi mapana ya Taifa

    1.Mhe Rais naomba kuchukua Nafasi hii binafsi kukushukuru Kwa maamuzi makubwa uliyofanya Kwa maslahi mapana ya Taifa. Mimi ni mwana Chadema na siku zote msimamo wangu utabaki kuungana na wanaotenda haki na wanaostawisha Taifa na Dunia. 2. Mhe. Rais nina watoto na wajukuu, naamini wewe pia una...
  15. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Rukwa: Polisi Wazuia Kongamano la Katiba Mpya, Askofu Mwamakula aahidi Kupatikana kwa Katiba mpya hivi karibuni

    Hivi ndivyo ilivyokuwa baada ya Polisi wenye mitutu kufika kwenye ofisi za Chadema Mkoani humo na kuzuia Kongamano kubwa la Katiba mpya lililokuwa na wazungumzaji kadhaa, akiwemo Baba Askofu Mwamakula. Hata hivyo Baba Askofu Mwamakula amewaahidi Wananchi mkoani humo kwamba Katiba Mpya...
  16. mtimawachi

    JamiiForums Tanzania Rais asibughudhiwe pindi amalizapo wakati wake, aachwe apumzike

    Habari wanajamvi! Nazungumzia Rais kushitakiwa amalizapo muda wake (kama alifanya makosa akiwa madarakani). Asili ya sisi Waafrika (watu weusi) ni kupenda kukomoana, majungu na visasi. Inawezekana kabisa ukiwa madarakani ukafanya/ukasimamia jambo kwa mujibu wa taratibu lakini kwa kufanya...
  17. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Picha: Kama kawaida vijana wa Bavicha wakigongea Kahawa mitaani Bukoba Kwa kisingizio Cha Katiba mpya. Kwa Sasa wanahali ngumu sana kiuchumi

    Kila mtu anajua fila kuwa Chadema inawakati mgumu sana, sasa imefikia kiasi Cha kupiga mizinga vijiweni
  18. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Katavi: BAVICHA yasambaza moto wa Katiba Mpya kwenye vijiwe vyote vya Kahawa na Tangawizi

    Huu ndio Mtiti ambao hawa vijana wameamua kwenda nao kwa sasa, huku taarifa zikionyesha kwamba kila wanapoingia wanashangiliwa mno. Katavi yote inawaka moto wa Katiba Mpya. Kwa hali ilipofikia si rahisi tena kuzuia Katiba Mpya. Mungu ibariki Bavicha.
  19. NostradamusEstrademe

    JamiiForums Tanzania Mjadala wa katiba mpya

    Japo mchakato wa katiba haujaanza lakini sio vibaya kuanza kujadili kwenye mitandao ya kijamii. Kwa upande wangu ningeambiwa nitaje vitu ambavyo vingewekwa kwenye katiba mpya mimi ningesema hivi:- 1.Mkuu wa jeshi la polisi asiteuliwe na raisi pafanyike usaili 2.Kuwa waziri sio lazima uwe mbunge...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Rais Samia usikubali. CCM walikataa Katiba leo wanataka Katiba Mpya, walidhani Katiba ni ya CHADEMA tu

    Leo maji yamewafika shingoni wanakosa jinsi ya kukutoa madarakani wanaanza kujipitisha huku wakisema katiba mpya inahitajika, walidhani mfumo dume utadumu milele hawakujua mungu ndiye apangae. Sasa hivi wa CCM wanaumizwa na katiba kuliko wana Chadema.
Back
Top Bottom