Mfanano wa kitabia kati ya Wasukuma na Wapemba

mdukuzi

JF-Expert Member
Jan 4, 2014
16,093
36,032
Nimeishi Pemba na nimeishi Simiyu hiki ndio nilikigundua,hawa watu kuna vitu vingi wanashare,hataukienda Zanzibar kuna wasukuma na wanyamwezi wengi japo usukumani wapemba ni wachache,Zamani pale mwanza kulikuwa na mgahawa maarufu kama Chakechake,wananzengo mnaukumbuka?

Twende sasa

1. Kuoa na kuolewa mapema
Kukuta binti wa miaka 15 kaolewa na kijana wa miaka 20 kaoa ni kawaida, kwa jamii zingine hicho kitu hakipo.

2. Mimba za utotoni
Uchagani ukimjaza mwanafunzi mimba au binti chini yamiska 18 awe anasoma au hasomi kimbia haraka miaka 30 inakusubiri, hali ni tofauti usukumani na upembani. Clinic kuna mabinti wanaenda kujifungua na miaka 14 na hakuna shida.

3. Kuoa wake wengi

Kwa pemba dini inaruhusu ila usukumani uwekafiri muislam au mkristo wake wengi ni jadi yao.

4. Kuzaa watoto wengi
Hizo pande bado watu wanazaa watoto 12 kama wana wa israel.

5. Ulozi
Watu wanaroga sana pande hizo Mpemba na majini msukuma kuruka na ungo, ila kwa ndumba msukuma yuko juu kidogo kwa mpemba.

Cha kushangaza Kanda ya Ziwa ina single mamas maarufu kama wasimbe wengi kuliko kuliko pemba, kukuta nyumba ina wasimbe wawili au watatu ni kawaida sana. Pemba ukiacha mke leo ikipita eda anaolewa fasta, usukumani ukiachwa kuolewa tena ngumu sana.

Itaendelra......
 
Nimeishi Pemba na nimeishi Simiyu hiki ndio nilikigundua,hawa watu kuna vitu vingi wanashare,hataukienda Zanzibar kuna wasukuma na wanyamwezi wengi japo usukumani wapemba ni wachache,Zamani pale mwanza kulikuwa na mgahawa maarufu kama Chakechake,wananzengo mnaukumbuka?

Twende sasa.
1,kuoa na kuolewa mapema

Kukuta binti wa miaka 15 kaolewa na kijana wa miaka 20 kaoa ni kawaida,kwa jamii zingine hicho kitu hakipo.

2.Mimba za utotoni
Uchagani ukimjaza mwanafunzi mimba au binti chini yamiska 18 awe anasoma auhasomi kimbia haraka miaka 30 inakusubiri,hali ni tofauti usukumani na upembani.clinic kunamabintiwanaenfa kujifungua na miaka 14 na hakuna shida

3.kuoa wake wengi
Kwa pemba dini inaruhusu ila usukumani uwekafiri muislam au mkristo wake wengi nij adi yao
4.kuzaa watoto wengi.
Hizo pande bado watu wanazaa watoto 12 kama wana wa israel.

5 Ulozi.
Watu wanaroga sana pande hizo.mpemba na majini msukuma kuruka na ungo,ila kwa ndumba msukuma yuko juu kidogo kwa mpemba,.

Itaendelra......
Sifa ya kuwahi kuzaa ktk umri mdogo iko Karatu na Mbulu, inaonyesha hutembei na ukitembea unafika tu mahala unalala guest house na asbh unaondoka kurudi ulikotoka

Namba5 la ulozi limeenea karibu Africa yote na siyo nchi hii tu, achana na usukumani ulipo palenga, ni Africa yote.. wewe utakua ni mtoto mtoto hujaona mengi
 
Nimeishi Pemba na nimeishi Simiyu hiki ndio nilikigundua,hawa watu kuna vitu vingi wanashare,hataukienda Zanzibar kuna wasukuma na wanyamwezi wengi japo usukumani wapemba ni wachache,Zamani pale mwanza kulikuwa na mgahawa maarufu kama Chakechake,wananzengo mnaukumbuka?

Twende sasa.
1,kuoa na kuolewa mapema

Kukuta binti wa miaka 15 kaolewa na kijana wa miaka 20 kaoa ni kawaida,kwa jamii zingine hicho kitu hakipo.

2.Mimba za utotoni
Uchagani ukimjaza mwanafunzi mimba au binti chini yamiska 18 awe anasoma auhasomi kimbia haraka miaka 30 inakusubiri,hali ni tofauti usukumani na upembani.clinic kunamabintiwanaenfa kujifungua na miaka 14 na hakuna shida

3.kuoa wake wengi
Kwa pemba dini inaruhusu ila usukumani uwekafiri muislam au mkristo wake wengi nij adi yao
4.kuzaa watoto wengi.
Hizo pande bado watu wanazaa watoto 12 kama wana wa israel.

5 Ulozi.
Watu wanaroga sana pande hizo.mpemba na majini msukuma kuruka na ungo,ila kwa ndumba msukuma yuko juu kidogo kwa mpemba,.

Itaendelra......
ndio wamesababisha tuwe na population Advantage
 
Kampebmimba mwanafunzi au bint mdgo tanga milimani. Utaona kitakachokukuta.

Nina classmate alipangiwa Lukozi akakapa mimba katoto ka 17 aliona si hakaendi shule? Akakaweka ndani. Mbona alikimbia kazi. Nilitokea kumpenda sana yule kaka kumbe anapenda vitoto

Mwingine alipotea katika hali isiyoelewwka baada ya kumimba mwanafunzi
Tanga,Kilimanjaro na Arusha wanafunzi au underage ni msala,dogo alimpa mimba underage huko Arusha akakimbilia Kenya kwa miaka miwili,miaka 30 ilikuwa inamsubiri
 
Nimeishi Pemba na nimeishi Simiyu hiki ndio nilikigundua,hawa watu kuna vitu vingi wanashare,hataukienda Zanzibar kuna wasukuma na wanyamwezi wengi japo usukumani wapemba ni wachache,Zamani pale mwanza kulikuwa na mgahawa maarufu kama Chakechake,wananzengo mnaukumbuka?

Twende sasa.
1,kuoa na kuolewa mapema

Kukuta binti wa miaka 15 kaolewa na kijana wa miaka 20 kaoa ni kawaida,kwa jamii zingine hicho kitu hakipo.

2.Mimba za utotoni
Uchagani ukimjaza mwanafunzi mimba au binti chini yamiska 18 awe anasoma auhasomi kimbia haraka miaka 30 inakusubiri,hali ni tofauti usukumani na upembani.clinic kunamabintiwanaenfa kujifungua na miaka 14 na hakuna shida

3.kuoa wake wengi
Kwa pemba dini inaruhusu ila usukumani uwekafiri muislam au mkristo wake wengi nij adi yao
4.kuzaa watoto wengi.
Hizo pande bado watu wanazaa watoto 12 kama wana wa israel.

5 Ulozi.
Watu wanaroga sana pande hizo.mpemba na majini msukuma kuruka na ungo,ila kwa ndumba msukuma yuko juu kidogo kwa mpemba,.

Itaendelra......
Mkuu nipo mkoa wa songwe huku wasukuma bado wana tabia ya chagulaga,ni meona binti ana kimbizwa na wavulana kama 12.

Hii tabia ya chagulaga sio nzuri serikali ikataze haya mambo,kama ilivyo kataza ukeketaji maana naona kabisa ni kumu dhalilisha mtoto wa kike.
 
Back
Top Bottom