Ningekuwa na karama ya kulaani ningelilaani Italia (Roma) kwa kusababisha usumbufu kati ya Myahudi na Muislam

ZALEMDA

JF-Expert Member
Aug 15, 2017
1,647
1,885
The siege of Jerusalem of 70 CE was the decisive event of the First Jewish–Roman War (66–73 CE), in which the Roman army led by future emperor Titus besieged Jerusalem, the center of Jewish rebel resistance in the Roman province of Judaea. Following a five-month siege, the Romans destroyed the city and the Second Jewish Temple.[1][2][

=========

Upumbafu wa huyu mtawala wa Rumi ndiyo chanzo Cha kujengea misikiti wa Al aqsa sehemu takatifu Katika nchi takatifu la Israel.

Saaa ni ugomvi usiyoisha Kati ya mwislam wa Palestina na ukimwengu wa kislam na myahudi.

Ugomvi huu utaishaje sasa? Lazima damu itamwagika sana kama watawala wa ulimwengu hawatatumia akili!

Atakayemaliza vita hii ni Issa bin Mariam ( Yesu Kristo)
 
Uislamu ni zao la Ukatoliki, uliomgeuka mzazi wake.

Mauaji yote ambayo Uislamu umefanya katika historia kwa mgongo wa dini, ni halali kabisa kuyashutumia kwa mama yake mzazi & mlezi mpenda-damu.
 
Saaa ni ugomvi usiyoisha Kati ya mwislam wa Palestina na ukimwengu wa kislam na myahudi .
Ugomvi huu utaishaje sasa ?? Lazima damu itamwagika sana kama watawala wa ulimwengu hawatatumia akili!!

Atakayemaliza vita hii ni Issa bin Mariam ( Yesu Kristo)
Mkuu hicho kiingilishi ulichoki quote hapo juu hakishabihiani na maelezo yako...... Sijaona mahali ambapo Warumi walijenga msikiti Jerusalemu

Warumi walifanya walichofanya mahali popote walipo vamia na kutawala
Warumi hawakuwa waislam

Nipe darasa
 
The siege of Jerusalem of 70 CE was the decisive event of the First Jewish–Roman War (66–73 CE), in which the Roman army led by future emperor Titus besieged Jerusalem, the center of Jewish rebel resistance in the Roman province of Judaea. Following a five-month siege, the Romans destroyed the city and the Second Jewish Temple.[1][2][

=========

Upumbafu wa huyu mtawala wa Rumi ndiyo chanzo Cha kujengea misikiti wa Al aqsa sehemu takatifu Katika nchi takatifu la Israel.

Saaa ni ugomvi usiyoisha Kati ya mwislam wa Palestina na ukimwengu wa kislam na myahudi.

Ugomvi huu utaishaje sasa? Lazima damu itamwagika sana kama watawala wa ulimwengu hawatatumia akili!

Atakayemaliza vita hii ni Issa bin Mariam ( Yesu Kristo)
Mashambulizi na mapigo juu ya Yerusalemu na Uyahudi AD 67-73 yalikuwa tu ni mapatilizo (soma hapa chini Luka 21:21-22, angalia maneno kama "hasira juu ya taifa hili") ya kutimiza maneno ya Kristo baada wayahudi na waisraeli wengine kumkataa masihi mfalme wa amani. Warumi walitumiwa tu na Bwana kama "Instruments of Judgement" kama alivyotumiwa Nebukadneza na baadae Hitler (1939-45, vifo zaidi ya milioni 6 vya wayahudi) na huko mbeleni atakavyotumiwa Mpinga Kristo (Ufunuo 11:1-3) kuingamiza Yerusalemu hii hii unayoiona inajiinua mpaka mawinguni. History is cyclical.

Luka 21:
20 Lakini, hapo mtakapoona mji wa Yerusalemu umezungukwa na majeshi, ndipo jueni ya kwamba uharibifu wake umekaribia.
21 Ndipo walio katika Uyahudi na wakimbilie milimani, na walio katikati yake wakimbilie nje, na walio katika mashamba wasiuingie.
22 Kwa kuwa siku hizo ndizo za mapatilizo, ili yatimizwe yote yaliyoandikwa.
23 Ole wao wenye mimba na wanaonyonyesha katika siku hizo! Kwa kuwa kutakuwa na shida nyingi katika nchi, na hasira juu ya taifa hili.
 
Uislamu ni zao la Ukatoliki, uliomgeuka mzazi wake.

Mauaji yote ambayo Uislamu umefanya katika historia kwa mgongo wa dini, ni halali kabisa kuyashutumia kwa mama yake mzazi & mlezi mpenda-damu.
huna akili we , uislamu na ukatoliki wapi na hauna ata kiakili japo kidogo cha kuchunguza misingi ya hizi dini mbili!! ibada ya SANAMU na uislamu wapi na wapi wakati ukatoliki ukiingia tu unakutana na SANAMU ya bikira Maria, ukatoliki umeanzishwa roma ulaya uislamu middle East na katika history ya manabii hakuna nabii mzungu wala alietoka ulaya vipi wazungu wawe na dini ya kwao ikiwa mwenyezimungu hajawahi kuwapelekewa nabii na Kama yupo wewe unamjua mtaje ,wakatoliki wanaamini yesu mwana wa mungu uislamu mungu hana mwana na ni dhambi kubwa kusema hivyo yesu ni nabii Kama mussa .wakatoliki wanaamini Maria mama wa mungu kwenye uislamu hiyo ni dhambi ya daraja la juu kabisa kusema mwenyezimungu ana mama , mwenyezimungu hakuzaa wala hakuzalia na hakuna aliewahi kumuona kwa waislam wanaamini hivyo. Sasa Kama vitu huvijui ni bora kukaa kimya kuliko kupotosha watu kwa kutumia akili yako ndogo isioweza hata kufikir eti uislamu ni zao la katoliki unatumia ushaidi upi wa kuaminisha watu hayo unayoyasema ikiwa uislamu na ukatoliki haufanani kabisa ni mbingu na ardhi.
 
Mkuu hicho kiingilishi ulichoki quote hapo juu hakishabihiani na maelezo yako...... Sijaona mahali ambapo Warumi walijenga msikiti Jerusalemu

Warumi walifanya walichofanya mahali popote walipo vamia na kutawala
Warumi hawakuwa waislam

Nipe darasa
Warumi hawakujenga msikiti lakini walisababisha wayahudi kuondolewa kwenye taifa lao and later on wakaja waarabu na kujenga msikiti wa Al Aqsa.

Leo wayahudi wanaambia israel Israel Siyo taifa lao , Yerusalemu eti siyo maji wao.sasa hii unanipa hasira juu ya warumi.wale ni mapagani kabisa
 
Uislamu ni zao la Ukatoliki, uliomgeuka mzazi wake.

Mauaji yote ambayo Uislamu umefanya katika historia kwa mgongo wa dini, ni halali kabisa kuyashutumia kwa mama yake mzazi & mlezi mpenda-damu.
Hapa umewachanganya watu kwa msamiati uliyotumia
 
Uislamu ni zao la Ukatoliki, uliomgeuka mzazi wake.

Mauaji yote ambayo Uislamu umefanya katika historia kwa mgongo wa dini, ni halali kabisa kuyashutumia kwa mama yake mzazi & mlezi mpenda-damu.
Hawatakuelewa ishu kubwa ni kuangalia historia ya muasisi wa hio dini na mwaka ilipoanzishwa
 
The siege of Jerusalem of 70 CE was the decisive event of the First Jewish–Roman War (66–73 CE), in which the Roman army led by future emperor Titus besieged Jerusalem, the center of Jewish rebel resistance in the Roman province of Judaea. Following a five-month siege, the Romans destroyed the city and the Second Jewish Temple.[1][2][

=========

Upumbafu wa huyu mtawala wa Rumi ndiyo chanzo Cha kujengea misikiti wa Al aqsa sehemu takatifu Katika nchi takatifu la Israel.

Saaa ni ugomvi usiyoisha Kati ya mwislam wa Palestina na ukimwengu wa kislam na myahudi.

Ugomvi huu utaishaje sasa? Lazima damu itamwagika sana kama watawala wa ulimwengu hawatatumia akili!

Atakayemaliza vita hii ni Issa bin Mariam ( Yesu Kristo)
Kwa mujibu wa utabiri wa maandiko, unakuja wakati huo msikiti utabomolewa na damu itamwagika hakuna mfano wake.

Itakuwa ni vita kali na hatari sana
 
Vita vya Warumi unavyovitaja vilitokea takriban miaka 500 kabla ya kuzaliwa Mohamedi. Vivyo hivyo na ujenzi wa msikiti wa Al Aqsa. Sasa vipi uunganishe hivyo vitu viwili na kuwalaumu Warumi?
 
Je kuna mahali nimemtaja Mrumi au Muislam?
 
Huyu jamaaa anashindwa kutofautisha kati ya Roma empire na Ottoman Empire Roma empire ilitawala Jerusalem na baadae kuja pinduliwa na Ottoman empire ambayo ndo walisababisha uwo msikiti wa Al aqsa kujengwa ebu uwe unafanya tafiti sio Mrumi ndo alusababisha Al aqsa kujengwa uwe unapambanua vitu...

Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
 
Warumi hawakujenga msikiti lakini walisababisha wayahudi kuondolewa kwenye taifa lao and later on wakaja waarabu na kujenga msikiti wa Al Aqsa.

Leo wayahudi wanaambia israel Israel Siyo taifa lao , Yerusalemu eti siyo maji wao.sasa hii unanipa hasira juu ya warumi.wale ni mapagani kabisa
Mkuu huo ndio muundo wa dunia kijamii, watu wanahama hama kwa sababu tofauti na mataifa/mipaka rasmi tunayo jua leo yalipoanza kuundwa na wakazi wa maeneo hayo kwa wakati huo ndio wakawa wananchi wa taifa hilo

Afrika ki historia haikuwa na watu weupe lakini waarabu walihamia na sasa tuna wamisri moroko Algeria Tunisia ambao ni waarabu, na hatuwezi kuwafukuza pale ndio kwao

USA unayoijua leo ilikuwa 99% ni watu kutoka ulaya baada ya kuwaua karibu wahindi wekundu wote
Leo hii wahindi wekundi hawawezi kutaka wazungu wote waondoke kwao

Waisrael waliposhindwa vita wakaanzisha uasi kupinga uliopelekea kuuwawa sana kama usipo fuata sheria za wa Rumi..... wakakimbia nchi
Waarabu waliosambaa kuanzia Afrika hadi ulaya wakafika pia na Israel..... ila ni Waarabu wa Israel tu ndio wanaonekana pale sio kwao
 
Back
Top Bottom