Kati ya tulipotoka na tunapoelekea ni kizazi kipi kimetenda au kitatenda maovu zaidi?

LA7

JF-Expert Member
Aug 26, 2019
457
1,746
Najaribu tu kufikiria kidogo je? Ni kizazi kipi hakikumjua au hakimjui Mungu?

Kwa mtazamo wangu naweza sema hiki kizazi cha Sasa na kinachoenda kinaweza kuwa ndo kinachomjua mungu zaidi.

Kwasababu hata tukisoma tu historia kidogo kizazi kilichopiata kuna watu walikuwa maarufu zaidi kwa uovu kuliko kizazi cha sasa pia yawezekana kizazi cha zamani kilikuwa kikatili zaidi ni vile tu ilikuwa ni ngumu taarifa kusambaa.

Naomba kuuliza kuanzia mwaka 2000 kuja huku juu ni mtu gani amekuwa maarufu kushinda kizazi kilichopita mfano wa akina Adolf Hitler,

Zaidi aliyeko sasa ambaye ni maarufu ni Putin ambaye ameweka wazi kwamba yeye kazi yake ni kuwapeleka watu kwa mungu.
 
Najaribu tu kufikiria kidogo je? Ni kizazi kipi hakikumjua au hakimjui mungu?

Kwa mtazamo wangu naweza sema hiki kizazi cha Sasa na kinachoenda kinaweza kuwa ndo kinachomjua mungu zaidi,

Kwasababu hata tukisoma tu historia kidogo kizazi kilichopiata kuna watu walikuwa maarufu zaidi kwa uovu kuliko kizazi cha sasa pia yawezekana kizazi cha zamani kilikuwa kikatili zaidi ni vile tu ilikuwa ni ngumu taarifa kusambaa,

acha kujichosha hakuna jipya duniani mkuu
 
Kwa sasa wa tenda maovu ni wengi
Uovu umekuwa kitu cha kawaida na sio cha kushtusha tena kama ulivyokuwa zamani.
 
Najaribu tu kufikiria kidogo je? Ni kizazi kipi hakikumjua au hakimjui mungu?

Kwa mtazamo wangu naweza sema hiki kizazi cha Sasa na kinachoenda kinaweza kuwa ndo kinachomjua mungu zaidi,

Kwasababu hata tukisoma tu historia kidogo kizazi kilichopiata kuna watu walikuwa maarufu zaidi kwa uovu kuliko kizazi cha sasa pia yawezekana kizazi cha zamani kilikuwa kikatili zaidi ni vile tu ilikuwa ni ngumu taarifa kusambaa,

Naomba kuuliza kuanzia mwaka 2000 kuja huku juu ni mtu gani amekuwa maarufu kushinda kizazi kilichopita mfano wa akina Adolf Hitler,

Zaidi aliyeko sasa ambaye ni maarufu ni Putin ambaye ameweka wazi kwamba yeye kazi yake ni kuwapeleka watu kwa mungu.
kuna mwamba anaitwa Daudi alimwaga damu, hadi Mungu akakataa asmjengee hekalu
 
Sasa unavyotaja taja watu hovyo unaharibu Mada yako, BBC wamekuharibu akili mpka unakili Putin ni mtenda dhambi maarufu.

Weka mada yako general bila kuwa specific kwa watu furani. Haya jiandae kubishana na warussia wa hapa nkuhungu
 
MAANA MTU AKIWA NA KRISTO HANA UOVU TENA BALI ASIE NAE YU NA UOVU NDANI YAKE OKOKA MPOKEE YESU KRISTO LEO
 
Kuna kizazi kilitaka kubaka malaika

Malaika walikua wanaume

Mwenyeji akasema chukueni mabinti zangu

Wanakijiji wakasema shida yetu ni wageni wako binti zako kaa nao mwenyewe kama unawaona mali.

Hicho kizazi ndiyo kaka mtu akamlala shemeji ili ampe mimba ila akakunbuka watoto watakua siyo wake akachomoa akamwaga nje.

Mungu akamind. Akamuua jamaa
 
Back
Top Bottom