kati

Kati is an urban commune and the largest town in Mali's Koulikoro Region. The town is situated 15 km northwest of Bamako, Mali's capital, on the Dakar-Niger Railway. In the 2009 census, the commune had a population of 114,983.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Miss JF 2023: Nani ni Mrembo zaidi kushinda wenzake hapa JF kati ya wanawake wafuatao?

    Kwema Wakuu! Zikiwa zimebaki siku tano mwaka 2023 ukatike. Bila kujali kuwa humu wengi hatujuani na hatuna mpango wa kujuana. Lakini kuna ile kitu inaitwa Schema Yaani kujenga taswira ya kitu, jambo au mtu kabla hujamuona/hujamuona mtu huyo. Je kwa Schema yako, unafikiri ni memba gani humu...
  2. JamiiForums Tanzania Uhusiano kati ya mwaka 7000BC na wewe unae soma Uzi huu

    Miaka elfu 7 iliyopita wewe hukuwepo lakini alikuwepo mtu mmoja ambae alikuwa anaishi juu ya ardhi ya uso wa dunia precisely Africa.. Mtu huyo si mwingine ila ni ancestor wako. Wewe ni mifupa katika mifupa yake. Wewe ni nyama katika nyama zake. Wewe ni damu yake. Taarifa za mtu huyo...
  3. JamiiForums Tanzania Vita kati ya Hamas na Israel ni kati ya dini na dini au ni kati ya Taifa na Taifa??

    Nikiangalia michango ya watu humu JF, nashindwa kuelewa kama hii Vita kati ya Hamas na Israel ni Vita ya kidini ama ni Vita kati ya Taifa na Taifa!!?? Nani hasa anayejua hii vita inahusu nini??? Hii vita inahusiana Vipi na vita kati ya Wafilisti na waisrael?? Uislam na Ukristo unahusikaje na...
  4. S

    JamiiForums Tanzania "Uchumi wa kati" hapa mjini. Akina dada ni wewe na akili yako tu

    Dada unatembea na kitega uchumi, halafu unalalamika maisha magumu ? Unakwama wapi? Ili kuyakabili maisha na kuwa na uchumi wa kati jirembe, jibebishe na uwe mtu wa kukaa maeneo ya mawindo. Anyway. Kuna mwenzenu siku kama ya leo ametengeneza 1M. Asubuhi aliitwa na mshefa wakutane sehemu...
  5. JamiiForums Tanzania UTABIRI: Katika michezo 4 ijayo ya Ligi, Simba SC itaambulia alama 5 au pungufu kati ya alama 12

    Habari wanajukwaa Nimeangalia michezo ijayo ya Simba katika michezo 4 jayo kwenye ligi. Aiseeee 😁😁 Niseme tu kwa hii Fixture Simba itapata ushindi mmoja na itasare michezo 2 na itapoteza mchezo moja. Sitaki kuwambia kwanini nimetabiri hivyo ila subirini. Na ikifanya mzaha huenda ikapata...
  6. JamiiForums Tanzania Jumuiya yenye hatma ya pamoja: Ushirikiano wa kilimo kati ya China na Afrika ni wa kunufaishana

    Afrika ina rasilimali kubwa za kilimo. Lakini kutokana na sababu mbalimbali, kiwango cha maendeleo ya kilimo barani humo kimebaki nyuma kwa muda mrefu, na hata nchi nyingi haziwezi kujitosheleza chakula. Kwa hivyo, nchi za Afrika zinachukulia maendeleo ya kilimo kama kazi kuu ya kujiendeleza...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Eti ninyi waoaji, mnapotaka kuoa huwa mnazingatia kigezo kipi kati ya Uzuri, akili na kipato cha mwanamke?

    Kuna maoni mseto katika kila kigezo. Uzuri unaweza kutoweka kwa magonjwa ama ajali. Akili inaweza isifanye kazi kutokana na mazingira na jiografia ya eneo anapoolewa. Kipato chake kinaweza kutoweka kwasabb zozote zile. Ikiwa kila kigezo kina shida zake, ni kipi basi mtu anapaswa kukizingatia...
  8. JamiiForums Tanzania Chimbo la mabati na pvc bei mchina bila mtu kati

    Kama Title inavyosomeka. Ninatafuta Lilipo chimbo la Mabati, Misumali, PVC na Chuma(square Pipe, metal sheets na round pipe) bei ya jumla(kiwandani). Mwenye Chimbo atakula 50k( kunipeleka/ kunielekeza na kudhibitika ni valid). Nitashukuru sana kama ombi langu litafanyiwa kazi, asanteni na...
  9. JamiiForums Tanzania Kati ya Musrael na Hamas nani anatumia haya maneno akimuuwa mtu..Allah akbaru..

    Hapo vip!! Bila shaka tunajua dini za Israel,kinachoshangaza kuna watu ambao ni wapumbavu,wanajaribu kuaminisha watu yakwamba waliomua kijana Joshua Mollel ni wasrael..wakati wauwaji wanasema Allah akbaru..Allah akibaru NB,Musrael ana IQ kubwa hawezi kumuuwa tu mtu ovyo ovyo.Amehalalishiwa...
  10. T

    JamiiForums Tanzania Kati ya Benki 10 Kubwa Afrika Mashariki, Benki 8 Zinatoka Kenya

    Wakuu habari za Jumatatu. Kuna jambo kidogo limenivutia kidogo kunitazama kwa umakini zaidi, wazungu husema lime 'attract my attention'. Jambo lenyewe ni kwamba, imetolewa orodha ya benki kubwa 10 Afrika Mashariki. Katika orodha hiyo benki 8 kati ya 10 zinatoka Kenya. Kwa mfano, mtaji wa...
  11. JamiiForums Tanzania Tabiri hapa matokeo ya mechi ya marudio kati ya Simba SC dhidi ya Wydad Casablanca

    Binafsi naamini Mnyama hatari wa mwituni Simba atapata ushindi mnono wa goli 2-1. Baleke na Kibu watatupia siku hiyo. Karibuni wadau kwa utabiri wenu.
  12. JamiiForums Tanzania Hiki ndicho kikosi changu cha kwanza cha mchezo wa maruduo kati ya wananchi Yanga dhidi ya Madeama

    Naomba nisiwachoshe. 1. Djugui Diarra 2. Kwasi Jeshi 3. Joyce Lomalisa/Farid Mussa Malick 4. Dickson Job 5. Bakary Mwamnyeto 6. Ibrahim Bacca 7. Khalid Aucho 8. Max Nzengeli 9. Stephen Aziz Kii 10. Hafiz Konkoni 11. Pacome Zouazoua. Subs: Abutwalib Mshery, Kibwana Shomary, Nickson Kibabage...
  13. JamiiForums Tanzania Kuna uhusiano gani kati ya ngono na akili?

    Salaaam!!! Hivi ni kweli kwa mtu anaefanya mapenzi sana na kwa mda mrefu anaweza kuwa na reasoning kuliko yule asiyependa kufanya mapenzi?? naombeni majibu uhusiano wa mapenzi na akili.
  14. JamiiForums Tanzania Tanzania ni kati ya nchi chache zenye usalama wa uhakika katika Aftica

    Sifa zote ni Kwa CCM. CCM ni chama imara. Tanzania ni Urusi ya Africa. Karibuni k vant kutoka leo mpaka 31 December.
  15. Z

    JamiiForums Tanzania Vita Kati ya Israel na Hamas ni matokeo ya makosa ya Umoja wa mataifa, Israel, Palestine na warabu

    Mwanadamu hajawahi taka kutumia akili ndiyo maana ya matatizo yanayoikumba Dunia . Vita Kati ya Israel na hamas (Palestina) ni Moja wapo ya matatizo ya kutotaka kutumia akili.nitatoa sababu za kwa nini akili inatakiwa itumike kumaliza vita hii. 1. Umoja wa mataifa ulifanya makosa 1948 wakati...
  16. JamiiForums Tanzania Nataka niandae mdahalo hapa JF kati ya Lucas Mwashambwa na Erythrocyte

    Nawasiliana na uongozi wa juu wa JF kuhusu kupata kibali cha kuandaa mdahalo hapa JF, TOPIC nitaitoa mapema kabisa kwa washiriki kujiandaa. Mdahalo utakuwa kati ya manguli wawili wa CCM na Chadema ndg Lucas mwashambwa na Erythrocyte . kwenye kona ya Lucas mwashambwa pia atakuwepo ndg The Sunk...
  17. JamiiForums Tanzania Ipi bora kati ya 'Kudeti' na Mwanamke Aliyezaa tayari au ambaye bado anajitafuta Kuzaa?

    Majibu yenu ndiyo yatanisaidia kuamua niwe na yupi kati ya hawa Wawili niliowaokota Mkeshani Kawe kwa Usiku wa kuamkia leo. Nijibuni upesi ili nifanye Maamuzi Ok?
  18. JamiiForums Tanzania Utofauti kati ya Kombora na Kipapai katika tasnia ya uchawi

    Dondoo kadhaa kuhusu nadharia ya KOMBORA na KIPAPAI kwa yale yanayotendeka katika ulimwengu mpana wa giza. Ni kazi kubwa kushindana na mchawi na ukashinda, mchawi na uchawi ni taasisi kubwa, ambayo huanzia ngazi ya kitongoji, mtaaa/Kijiji, kata, tarafa, wilaya, mkoa, kanda, kitaifa na...
  19. JamiiForums Tanzania Ushauri tafadhali: Nimchague yupo kati ya single mother na Bar maid?

    Wakuu Mimi ni kijana miaka 30 sasa, nimekuwa nikijihusisha na mahusiano ya kimapenzi na wanawake wa aina tofauti tofauti, lakini mwisho wa siku najiona kabisa nahitaji kuoa mapema hapo mwakani Changamoto yangu kubwa nashindwa kuamua kati ya kumuona baa maid ambaye hajawahi kuzaa I mean yupo...
  20. JamiiForums Tanzania Naomba kufahamu ubora wa vifaa vya HAVELLS

    Habari wana jamvi.. Hivi karibuni nategemea kufanya wiring kwenye mji wangu, lakini kuna mdau alinipa taarifa kuhusu vifaa vya tronics, kuwa kwa sasa tronic inazlishwa na mchina hivyo uhakika wa ubora ni mdogo. Akawa amenigusia kuhusu Havells akidai kuwa kwasasa bado inazalishwa na mhindi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…