Miaka 20 ijayo Bila hatua stahiki tunaenda kuwa na taifa la watu kati

Kingsharon92

JF-Expert Member
Aug 10, 2015
7,556
9,531
Naandika kwa masikitiko sana
Nikiangalia vijana wanavyoteketea kwa pombe, ugoro, bangi, sigara
Mpaka napata kichefuchefu
Unakutana na kijana miaka 19 mpaka 30 hawajulikani
Ni vijana au wazee nadiriki kuwaita ni watu kati si wazee si vijana yaani wapo wapo tu sura zimepauka nguvu walizobakiza ni za kusukumia mavi tu chooni
Serikali hebu angalieni huu utitiri wa viwanda vya pombe vijana wanaisha
 
Naandika kwa masikitiko sana
Nikiangalia vijana wanavyoteketea kwa pombe ugoro bangi sigara
Mpka napata kichefuchefu

wewe naona huijui serikali...hujui kama serikali inaona raha ikiona kijana anaferi au ameharibikiwa😎 refer kipindi cha utawala wa magufuri
 
Tatizo linaanza upande wa familia, malezi hakuna hapo huwezi tegemea matokeo mazuri
Tushughurikie kwanza mimba za utotoni , kukimbia ujauzito binti anabaki kumpa mtoto malezi ambayo yapo nje yauwezo wake...
 
Naandika kwa masikitiko sana
Nikiangalia vijana wanavyoteketea kwa pombe ugoro bangi sigara
Mpka napata kichefuchefu
Unakutana na kijana miaka 19 mpaka 30 hawajulikani
Ni vijana au wazee nadiriki kuwaita ni watu kati si wazee si vijana yaani wapo wapo tu sura zimepauka nguvu walizobakiza ni za kusukumia mavi tu chooni
Serikali hebu angalieni huu utitiri wa viwanda vya pombe vijana wanaisha
Population control
 
Umeongea kweli kabisa.

Kuna tatizo jingine linatukabili, nalo ni kuchukulia wepesi mambo mazito. Hebu rejea post #2
 
Ume
Tatizo linaanza upande wa familia, malezi hakuna hapo huwezi tegemea matokeo mazuri
Tushughurikie kwanza mimba za utotoni , kukimbia ujauzito binti anabaki kumpa mtoto malezi ambayo yapo nje yauwezo wake...
Umeongea kitu cha maana sana
Ila swali langu ni kwanini miaka hii ndiyo imeshika hatamu kwa ulevi tofauti na enzi zetu
 
Naandika kwa masikitiko sana
Nikiangalia vijana wanavyoteketea kwa pombe, ugoro, bangi, sigara
Mpaka napata kichefuchefu
Unakutana na kijana miaka 19 mpaka 30 hawajulikani
Ni vijana au wazee nadiriki kuwaita ni watu kati si wazee si vijana yaani wapo wapo tu sura zimepauka nguvu walizobakiza ni za kusukumia mavi tu chooni
Serikali hebu angalieni huu utitiri wa viwanda vya pombe vijana wanaisha
Huyu mtu sio wa kutukanana nae aisee anamatusi adimu sanaa eti nguvu za kusukumia mavi chooni tu
 
Nimesema hivyo juzi nimebeba vijana wanne wakanisaidie kupandisha
Tairi za gari ziende gereji
Amini ninachokwambia vijana wanne tairi za scania ziliwashinda kuzipandisha mpaka nikatafuta wengine tena watatu na penyewe kwa mbinde
Vijana nguvu empty
 
Naandika kwa masikitiko sana
Nikiangalia vijana wanavyoteketea kwa pombe, ugoro, bangi, sigara
Mpaka napata kichefuchefu
Unakutana na kijana miaka 19 mpaka 30 hawajulikani
Ni vijana au wazee nadiriki kuwaita ni watu kati si wazee si vijana yaani wapo wapo tu sura zimepauka nguvu walizobakiza ni za kusukumia mavi tu chooni
Serikali hebu angalieni huu utitiri wa viwanda vya pombe vijana wanaisha
Vitu vyote vinasababishwa na serikali kutelekeza sera za ustawi wa familia.
 
Hakuna vitu vinavyowainspire vijana wajitume kwenye kazi au masomo

Wanasoma wanahitimu wanakosa shughuli za kufanya

Haya wakisema waendeleze vipaji bongo ujinga mtupu kuna kundi lipo linamini bila wao kipaji chako hacienda popote wamejimilikisha wao
So vijana wapo confused kila eneo

Acha walewe wasahau shida zao
 
Back
Top Bottom