HESLB; Uzinduzi wa Maombi ya Mkopo kwa Vyuo vya kati (Certificate & Diploma)

WeedLiquorz

JF-Expert Member
May 30, 2022
3,287
5,466
Habarini Wakuu, Hatimaye Mama kaupiga mwingi tena.

Kwa Maelezo zaidi pitia pdf mimi nitagusia Vipaumbele tu.

6.0 MAENEO NA PROGRAMU ZA KIPAUMBELE KATIKA UTOAJI WA MIKOPO
6.1 Maeneo ya Kipaumbele
Mkopo utatolewa katika maeneo makuu sita yakiakisi vipaumbele vya Taifa
kama ilivyoainishwa katika tangazo la Serikali Namba 715 la tarehe 29
Septemba 2023. Maeneo hayo ni kama ifuatavyo:-
(i)
Afya na Sayansi Shirikishi (‘Health & Allied Sciences’);
(ii)
Elimu ya Ualimu (‘Education and Teaching’);
(iii)
Usafiri na Usafirishaji (‘Transport & Logistics’);
(iv)
Uhandisi wa nishati (‘Energy Engineering’);
(v)
Madini na Sayansi ya ardhi (‘Mining & Earth Science’) na
(vi)
Kilimo na Mifugo (‘Agriculture & livestock’)
6.2 Programu za kipaumbele
Katika mwaka wa masomo 2023/2024 mikopo itatolewa kwa wanafunzi
waliodahiliwa katika Program/Stashahada zinazoangukia/zilizomo katika maeneo
sita ya kipaumbele yaliyoidhinishwa – rejea kipengele 6.

6.2.1 Afya na Sayansi Shirikishi (Health & Allied Sciences)
Programu katika kundi hili ni kama zifuatazo:-
(i)
‘Clinical Dentistry’;
(ii)
‘Diagnostic Radiotherapy’;
(iii)
‘Occupational Therapy’;
(iv)
‘Physiotherapy’;
(v)
‘Clinical optometry’;
(vi)
‘Dental Laboratory technology’;
(vii) ‘Orthotics & Prosthetics’;
(viii) ‘Health record & information’;na
(ix)
‘Electrical and Biomedical Engineering’

IMG-20231004-WA0015.jpg
IMG-20231004-WA0017.jpg
IMG-20231004-WA0014.jpg
IMG-20231004-WA0018.jpg
 

Attachments

  • Mikopo Diploma CHUO.pdf
    365 KB · Views: 28
Back
Top Bottom