Kati is an urban commune and the largest town in Mali's Koulikoro Region. The town is situated 15 km northwest of Bamako, Mali's capital, on the Dakar-Niger Railway. In the 2009 census, the commune had a population of 114,983.
https://youtu.be/0niFxKMdOSI?si=AQnb1lDVaELvbk05
ANASEMA:
Nchi hii si mara ya kwanza kushuhudia ukatili na mauaji ya watu (raia) wasio na hatia uliofanywa na vyombo vya ulinzi na usalama chini ya usimamizi wa viongozi wa kiraia ma RCs, DCs au Mawaziri
Tofauti na wakati ule, katika matukio ya...
Mechi kati ya timu za mpira kwenye ligi kuu India Mohammedan SC vs Mumbai city FC.
Ni mechi kali kwenye ligi kuu India inayowakutanisha Kobaz (Mohammedan SC) na wahindu (Mumbai City)
Unaambiwa kobaz wa mohammedan SC wabishi wanacheza rafu za hatarii nakupiga ngwara balaa.
Waamuzi watakuwa na...
Mzuka wana jamvi ?
Nimewaza tu kwani sasa Dunia nzima inasikitika kisa kaeneo kidogo masgariki ya kati kutokea mgogoro na flow ya energy kuwa disturbed .
Sasa imagine mafuta yaishe kabisa huko au Waarabu wagome kuyaauza si tutarudi stone age ?
Ina Waarabu na makobaz ndio wanaamua dunia tulie...
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbeya, Bi. Erica E. Yegella amemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, kwa kutoa fursa ya ajira mpya takribani 259 katika kipindi cha mwezi Januari na Mei 2026.
Katika kipindi cha mwezi Januari, Halmashauri ya Wilaya ya...
WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba akisalimiana na Rais wa Kenya Dkt. William Ruto wakati wa hafla ya ufunguzi wa Mkutano wa Ushirikiano kati ya Afrika na Ufaransa (Africa Forward Summit: Africa-France Perternship for Innovation and Growth) unaofanyika jijini Nairobi Kenya, leo Mei 12...
afrika
dkt. mwigulu
dkt. mwigulu nchemba
hafla
kati
kenya
mkutano
mkuu
mwigulu
mwigulu nchemba
na rais
rais
rais wa kenya
ruto
ufunguzi
ushirikiano
wakati
waziri
waziri mkuu
william
william ruto
Wataalamu wa mahusiano na saikolojia wamekuwa wakieleza kwamba mwanamke hupata mafanikio ya mapema kuliko mwanaume, na kwamba dunia huwa rahisi zaidi kwa wanawake kuliko wanaume. Je, uhalisia wa hoja hizi ukoje ikiwa kati ya watu 10 maskini, 7 ni wanawake?
Kwanza nawasalimia wakubwa kwa wadogo. Sasa ni almost two weeks nimeacha pombe, hapo mwanzo nakili kuwa nilikuwa mnywaji mzuri tu (moderately drunken) yaani ni ile hali ya kunywa hata siku tatu mpaka nne mfululizo in a week kwa hali ya kawaida. Na hii iliwezekana kwasababu kazi ninayofanya...
Tumalize huu ubishi ulioenea kuwa kati ya Mwenyekiti wa ngome ya vijana ACT, Kijana machachari Abdul Nondo na Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu kuwa kisiasa nani zaidi?... Mimi sina upande wowote. Tupige kura.
Tuseme dereva A anaendesha coaster transmission manual ambayo ni daladala route ni Mbezi to Mnazi Mmoja dereva B anaendesha Special hire gari ni Ile Ile kakodiwa kuwapeleka abiria Arusha kwenye Send off.
Nani ana kibarua kizito.
Kuna tofauti kubwa kati ya mganga wa kienyeji na mchawi ila jamii imepotoshwa na sasa haina uwezo wa kuwatofautisha tena na sasa inaishia kuwaweka kaput moja!!
1. Mganga wa kienyeji ni daktari wa asili ambae ametumika kuitibu na kuikinga jamii dhidi ya mabalaa mbalimbali kwa maelfu ya miaka...
Kuna gepu la kutoelewana kati ya watanzania waliopata elimu ya juu na mahitaji yanaayohitajika kutatua changamoto za makampuni/Soko huria. Nimefatilia mahojihano mbali mbali ya watu wakilahumu vijana wamemaliza vyuo ila hakuna kazi. Nimefatilia mahojihano ya CEO wa NMB na chombo kimoja cha...
1/ Kutoka Uyole hadi Mbalizi, wananchi wanakumbana na vumbi lisilomithirika kila siku. Hali hii si tu kero, bali ni tishio kubwa kwa afya za wakazi wa jiji la Mbeya hasa wafanyabiashara. Magari yanatimua vumbi zito sana pale katikakati ya jiji kwa sasa.
2/ Vumbi hili linaongeza hatari ya...
Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amefanya mazungumzo na Rais wa Rwanda, Paul Kagame leo Mei 3, 2026 ambapo amebainisha kuwa mazungumzo yalifanyika yaliyohusisha pia mawaziri na viongozi wengine wa serikali.
Pia alieleza Biashara kati ya nchi hizi mbili imekua kwa...
Habari mbaya sana kwa watetezi wa Magaidi wa Iran
Kwa mara ya kwanza, Amri Kuu Central-Command ya Marekani inaomba kupeleka Mifumo ya kombora jipya la hypersonic la Marekani, Dark Eagle katika Mashariki ya Kati, kwa ajili ya matumizi katika eneo la Iran hasa kwenye vituo vya ki Nuclear na miji...
Wakuu ipo hivi 3 plain wanauza 250k used from Dubai hapo protector na cover free.
Lakini kuna pixel 3axl hii ni used Tanzania na jamaa ambae anauza alinunua kwa mtu ambae alikuwa anafanya top up
Kwa wale wa taalamu wa pixel be nichukue maamuzi Gani?
1.Unafungiwa kwenye chumba chako kizuri hotelini ila hutakiwi kuongea na mtu yoyote kwa miezi 6,uko tu mwenyewe na muziki na video za ngono na unaletewa chakula unachotaka wewe chochote kile kwa muda wowote ule ila hutoki nje hata kunyosha miguu kazi yako ni kila siku kupiga nyeto bao zaidi ya 2...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.