Hipi ni laptop bora Kati ya hizi

Hipi ni laptop bora Kati ya hizi

BWANA WANGU

JF-Expert Member
Joined
Jul 10, 2018
Posts
365
Reaction score
850
Mambo vp wadau,

Nilikuwa natafuta laptop kwa ajili ya kazi ngumu. Kati ya hizi laptop mbili hipi ni bora zaidi.

(a) Lenovo think pad X1 Carbon, yenye 32 GB, generation ya 11.

(b) Hp z book, yenye 32 GB, generation ya 11.

Regardless all the conditions are the same, like pricing etc

Thanks. And have a good night!
 
Zbook zimetengenezwa kwa ajili ya kazi ngumu. Pia Zbook unaweza kufanya upgrade za RAM na SSD.

Zbook mobile workstation haswa, imetengenezwa kwa ajili ya kazi ngumu ina durability ya hali ya juu na hata cooling system yake ipo vizuri endapo PC ikawa under heavy duty.

Lenovo Carbon X1 RAM ni soldered, huwezi ibadilisha na ikizingua inabidi utafute mashine nyingine. Ni slim laptop, so hata fans zake yaani cooling system sio nzuri kama Zbook.

Ikiwa unataka fasion, laptop prenium, laptop hata ukiitoa nje watu waione ni nzuri, basi ni Lenovo Carbon x1. Ni premium business laptop, hp wanazo zinaitwa Dragon fly series.

Unataka mobile workstation, PC jiwe, PC ya kazi maalumu, professinal works basi usisite kuichukua Zbook, imetengenezwa kwa ajili hiyo.
 
Upo vizuri mkuu
 
watu waelewa jf kumbe bado wapo. Kwa hili elezo hapa we pro.
 
hapa hata mimi umenisaidia jambo mkuu be blessed.
 
Back
Top Bottom