Malecela: Hili la maridhiano sijalielewa

Elias Msuya

Platinum Member
Joined
Dec 23, 2011
Posts
197
Reaction score
795
Waziri Mkuu mstaafu, John Samuel Malecela amesema kwa muktadha wa kisiasa hajaelewa falsafa ya maridhiano ina maana gani na kwa hali ya sasa inapaswa kuwa kati ya pande zipi.
Ameyasema hayo Juni 1, 2026 katika kipindi cha Dakika 45 kinachorushwa na kituo cha televisheni cha ITV.
 
Yupo sahihi!!

Maridhiano ni kitendo au mchakato wa kusuluhisha migogoro au tofauti kati ya pande mbili au zaidi, na kuwarejeshea hali ya kuelewana, amani, na mshikamano. Lengo lake kuu ni kuondoa chuki, kusameheana, na kukubaliana kufanya kazi au kuishi pamoja licha ya kutofautiana hapo awali. [1]
Dhana hii inajumuisha vipengele vikuu vifuatavyo:
  • Kusameheana: Kukubali kuacha nyuma makosa ya nyuma na kuondoa kinyongo.
  • Kuvumiliana: Kuheshimu mawazo, mitazamo, au imani za mwenzako hata kama hukubaliani nazo.
  • Kutafuta Suluhu: Kukaa meza moja ili kujadili chanzo cha mgogoro na kupata maelewano yanayonufaisha pande zote.

Katika muktadha mpana kama wa kitaifa (kama siasa au jamii), maridhiano hutumika kuponya majeraha ya vurugu, kuleta umoja, na kujenga misingi thabiti ya maendeleo. Mara nyingi huhusisha misingi kama ukweli, haki, na uwazi ili kujenga upya hali ya kuaminiana.
 
sasa kinachochelewa maridhiana ya CCM na CHAUMA ni nini? si wafanye tu
 
Waziri Mkuu mstaafu, John Samuel Malecela amesema kwa muktadha wa kisiasa hajaelewa falsafa ya maridhiano ina maana gani na kwa hali ya sasa inapaswa kuwa kati ya pande zipi.
Ameyasema hayo Juni 1, 2026 katika kipindi cha Dakika 45 kinachorushwa na kituo cha televisheni cha ITV.
View attachment 3599990
Screenshot_20260105-085755~2.png
 
Waziri Mkuu mstaafu, John Samuel Malecela amesema kwa muktadha wa kisiasa hajaelewa falsafa ya maridhiano ina maana gani na kwa hali ya sasa inapaswa kuwa kati ya pande zipi.
Ameyasema hayo Juni 1, 2026 katika kipindi cha Dakika 45 kinachorushwa na kituo cha televisheni cha ITV.
View attachment 3599990
Mzee wa umri huu anapokuwa na tabia za unafiki na uongo maana yake unajiuliza alipi kuwa kijana alikuwa ana tabia gani na hali gani, nchi hii itatengenezwa nanvijana hawa wazee ni matako yao
 
Wazee wameitafuna nchii wee, wameona jua la jioooni wanaanza confession.......

Fisi ni Fisi tu hata umvishe ngozi ya kondoo
Ni kama member ndege JOHN anajifanyaga neutral ama sometimes upinzani lakini anashindwa kuficha hisia zake za uchawa. Kumbe hajui tunamfaham toka 2013 waanzilishi wa Lumumba buku saba chini ya lizaboni na kina simiyu yetu na Mussa Allan.
 
Waziri Mkuu mstaafu, John Samuel Malecela amesema kwa muktadha wa kisiasa hajaelewa falsafa ya maridhiano ina maana gani na kwa hali ya sasa inapaswa kuwa kati ya pande zipi.
Ameyasema hayo Juni 1, 2026 katika kipindi cha Dakika 45 kinachorushwa na kituo cha televisheni cha ITV.
shida ni kuwa hata anayeimba maridhiano naye haelewi amekremishwa na machawa wake akina mwigulu na makonda
 
Back
Top Bottom