Nchi za Ulaya na Marekani waliwaonea huruma kwa walivyokuwa wakijilizaliza kuwa wanaonewa kwenye nchi zao!!Wazungu ndio wenye makosa kuwapokea watu wa sampuli hiyo wakati tabia zao zinajulikana vizuri kote duniani na ndio maana mataifa kama Russia na China hawawezi kukubali huo upumbavu.