kati

Kati is an urban commune and the largest town in Mali's Koulikoro Region. The town is situated 15 km northwest of Bamako, Mali's capital, on the Dakar-Niger Railway. In the 2009 census, the commune had a population of 114,983.

View More On Wikipedia.org
  1. Prakatatumba abaabaabaa

    JamiiForums Tanzania Kati ya fundi umeme wa magari au bajaj repair ipi ni choice nzuri.

    Vyote ni katika kujenga career yenye turn over ya 2M -5M per month kwa mtaji wa million 10. 1.auto electrical repair Kuwa na ujuzi wa umeme wa magari, then kuuza spare au accessories za magari kwanza ni kuwa na ujuzi ndio pesa iwekwe kwenye biashara. 2. Bajaj repair Kutokana na ongezeko za...
  2. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Ukiwauliza wana JF kumi kama uchawi upo, 8 kati 10 watakuambia upo ila ukiwauliza hao 8 kama wana uthibitisho 95% ya maelezo utagundua hawana uhakika

    Mshana Jr usiniroge bro ni maoni yangu tu na data za kutunga tunga😁
  3. jamaikatz

    JamiiForums Tanzania Hivi kati ya kuwa msomi na mfanyabiashara ni yupi ana advantage kubwa katika maisha ??!

    Hivi kati ya kuwa msomi(muajiriwa )na mfanyabiashara ni yupi ana advantage kubwa katika maisha ??
  4. Baba wa mbingu

    JamiiForums Tanzania Kibiashara kati ya YANGA na FABRIZO nani kapigwa hapa.

    Kwenye hii biashara kati ya yanga na Fabrizio nani kanufaika zaidi na yupi kapigwa? maana yanga wao ndo wakwanza kumpost jamaa kuwa ametangaza jezi zao, na hivyo kutufanya kujua hilo huku lengo lao ni dunia ijue kuhusu jezi zao, wakati kwa upande mwingine fabrizo yeye hajaposti kwenye jukwaa...
  5. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Wataalamu wa MacBook, niende na ipi kati ya MacBook Neo (Brand New), Air M2 (8GB/256GB) au Pro (2019, 16GB/512GB)!

    Matumizi makuu ni video editing, zote Bei kwenye 1.8 Mil hadi 2.3 Mil.
  6. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Kati ya daraja A, B na C, ni lipi linaonekana kuwa imara zaidi?

    Mdau, ni daraja unadhani linaweza kuwa imara zaidi na kwanini?
  7. Soul21

    JamiiForums Tanzania Bora Veta au Vyuo vya kati kwa form 4?

    Wanafunzi wanaokosa kwenda kidato cha tano na sita huwa wanapangiwa vyuo. Picha: Daily News Ila nilichogundua mkakati huu unalundika wanafunzi wengi kusoma koz nyingi ambazo hazina athari ya moja kwa moja kwenye maisha yao zaidi baada ya kuhitimu wanakuja kuwa na mawazo ya ajira. Mfano...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Mtazamo wa maridhiano unaonesha kuwa ni kati ya watawala ambao ni serlikali na vyombo vya dola na watawaliwa ambao ni wananchi wakiongozwa na CHADEMA

    Hilo kwasasa halipingiki kuwa, unapozungumzia maridhiano pande zinazohusika ni:- kundi la kwanza linaundwa na watawala, serikali na vyombo vya dola na wafanyabishara wakubwa ambao wamehozi CCM na wanaushawishi juu ya serikali. Kwenye kundi hili pia zipo baadhi ya Taasisi za dini kikristo...
  9. TAJIRI MKUU WA MATAJIRI

    JamiiForums Tanzania TUJIKUMBUSHE: Vita kali kati ya Haji Manara na Jerry Muro

    https://www.facebook.com/share/v/1871ZFr4qW/
  10. Boeing787-8

    JamiiForums Tanzania Utaenda na nani kati ya Hawa?

    Kuna two candidates Candidate A Ana elimu ya chuo Ameajiliwa na serikali Sio mchangamfu Shape kawaida Mfupi na mweusi Kipato kizuri Unamkubali 50% Candidate B Elimu kidato Cha 4 Mdogo kiumri kuliko candidate A Anafanya bihashara ndogondogo Mchangamfu Mweupe Mrefu ana shape Kipato kidogo sana...
  11. Orketeemi

    JamiiForums Tanzania KATI YA SAMIA NA NCHIMBI UTAMCHAGUA NANI?

    Wanajamvi. Kuachana na mambo ya CCM ,,, ikawa uchaguzi wa Rais wagombea ni huru. Kati ya Samia na NCHIMBI UTAMCHAGUA nani? Au ninyi wana CCM ukiwekwa Uchaguzi huru ndani ya chama nani atashinda kati ya hawa wawili?
  12. BigTall

    JamiiForums Tanzania Inasemekana mfanyabiashara 'Mariam Uswazi' anashikiliwa na Jeshi la Polisi Kituo cha Kati

    Habari zilizonifikia , zinasema mwana mitandao na mfanyabiashara Mariam Uswazi anashikiliwa na Jeshi la Polisi Kituo cha Kati (Central), huku wadeni wake wakifika kituoni hapo kufuatilia hatma ya pesa zao. Pia soma: ~ Wanawake wa Tanzania msipoachana na upatu mtaendelea kumlaumu Mariam Uswazi...
  13. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Dkt. Evaline Munisi: Ughaibuni Loan ni hatua ya kujenga imani mpya kati ya Serikali na vijana wa Kitanzania

    Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu- Kazi, Ajira na Mahusiano, Dkt. Evaline Wilbard Munisi amesema uzinduzi wa Ughaibuni Loan si uzinduzi wa mkopo pekee, bali ni hatua ya kujenga imani mpya kati ya Serikali na vijana wa Kitanzania, hasa vijana wenye ujuzi wanaotamani kutumia fursa za...
  14. F

    JamiiForums Tanzania Ni dhahiri sasa vita vya chinichini ni kati ya Mwigulu, Makonda na Ndejembi

    Itakumbukwa waziwazi kuwa Mwigulu na Makonda Walikuwa wakimfitini Nchimbi. Halikadhalika Makonda hampendi Mwigulu na anatamani naye aanguke puuuhhh. Wasichokijua ni kuwa aliyeletwa yaani Ndejembi aye kama binadamu baada ya muda ataanza kuiwaza 2030. Hivyo ataingia ktk mawindo Siasa ni hovyo...
  15. C-C Digital Pro

    JamiiForums Tanzania Utofauti wa maneno kati ya "Warmly welcome & Most welcome" na Celebrate & Enjoy" kwenye wimbo "Home boy wa Civilian-Coin"

    https://youtu.be/YnbAqvz_8h0?si=O5Lb8BTks6Wrp8QD
  16. O

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Sasa tunajua nani ni malaya kati yangu na Omanga asema Karen nyamu

    The image circulating online is a fabricated graphic designed to mimic a legitimate news card, and the vulgar quote attributed to nominated Senator Karen Nyamu is completely fake.
  17. kilio

    JamiiForums Tanzania Tofauti kati ya "Special Lupsum" na Unemployment 33.3% Katika UNEMPLOYMENT BENEFIT za NSSF nini?

    Nimeshakaa zaidi ya miezi mitatu bila kupata kazi nyingine. Nilikuwa nafanyakazi private sector. Niko katika mchakato wa kujaza CLaims fomu za UNEMPLOYMENT BENEFIT katika NSSF portal. Niko kwenye kipengele cha category SPECIAL LAPSUM na UNEMPLOYMENT 33.3% , nipate Unemployment benefit...
  18. Kazanazo

    JamiiForums Tanzania Hawa wadada ambao ukiwatongoza tu wanakubali hapo hapo wanakuwa na sababu gani kati ya hizi?

    1. Wanakuwa na ugwadu wakati unawatongoza 2. Hawajatongozwa muda mrefu 3. Wanadaiwa kausha damu wanataka baada ya sex waombe hela 5. Wanaogopa kukupoteza Unaombwa mawazo yako huru ndugu mdau
  19. Sister Abigail

    JamiiForums Tanzania Utafiti wangu: Watoto wa kati kati katika uzao wamejaa matukio sana

    Yani ni aidha wa pili au wa Tau au wa nne.namba hizo tajwa Hata ikiangukia mwishoni. Yani ikiwa umezaa watoto watano basi ni yule wa tatu au wa nne. Ikiwa umezaa wanne basi ni yule wa tatu. Ikiwa umezaa watatu basi ni yule wa pili Hata ukizaa kumi lazima wawepo wawili au watatu wale wa...
  20. ngara23

    JamiiForums Tanzania Cross - examination kati ya Lissu na Samuya itakuwa hivi

    Lissu : Tafadhali shahidi jitambuloshe mbele majaji na mahakama Samuya : Naitwa Samuya SH Lissu : Elimu yako ya juu ukipata katika chuo Gani? Samuya: mie nilisoma sokoine University ( mfano) Lissu: Kwa Sasa unashikilia nafasi Gani. Samuya : Ni Rais wa Tz Lissu: hebu eleza mahakama...
Back
Top Bottom