karibu

PachiPara DL (DownLoad) Hyper Sea Story In Karibu (パチパラ DL(ダウンロード)ハイパー海INカリブ) is a downloadable game released on the Japanese PlayStation Store on July 2, 2008.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Toyota Raum Review: Karibu tupeane uzoefu kuhusu gari hili

    Toyota Raum ni gari dogo lililotengenezwa na kampuni ya Toyota na kuuzwa kwenye soko la ndani la Japan (JDM) kuanzia mwaka 1997 mpaka mwaka 2011 ambapo uzalishaji wake ulisitishwa rasmi. Gari hili liko kwenye kundi la magari madogo kwa ajili ya matumizi mbali mbali yajulikanayo kitaalamu kama...
  2. JamiiForums Tanzania Chonde Chonde kwa aliye karibu na uongozi wa Simba Sports Club au msemaji wao Manara aifikishe kwao taarifa hii muhimu sana

    Nimetonywa na watu wa ndani kabisa kutoka katika klabu ambayo Simba Sports Club inaenda kucheza nayo tarehe 8 March 2020 ambayo hadi hivi sasa Mzukulu naona kuna Goli Mbili (2) ambazo zote zitafungwa katika kila kipindi kwa hiyo Klabu kuwa kuna hujuma kubwa (umafia) ambao wanapanga Kufanya hasa...
  3. JamiiForums Tanzania TECNO yadhamiria kusogeza huduma zake karibu na wananchi

    Kampuni ya simu za mkononi TECNO imezindua duka kubwa la simu, maarufu ‘Smarthub’ Mtaa wa Mwenge jijini Arush, duka ambalo linatoa huduma mbalimbali ikiwa ni hatua muhimu katika kusogeza huduma kwawananchi. Akizungumza wakati wa uzinduzi wa duka hilo mwishoni mwa wiki, Afisa Utamaduni Jiji la...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Karibu 'Home of Excellence Driving School' kwa mafunzo ya udereva

    Baadhi ya huduma zetu ni darasa lakufuatwa na kufundishiwa ulipo, mafunzo ya mtu mmoja mmoja kwenye gari na mwalimu wake, mafunzo ya jumamosi na jumapili kwa wasio na mda siku za kazi Tupo wazi kuanzia saa 12:30 asubuhi mpaka saa 12:00 jioni kila siku Waweza wasiliana nasi kwa 0757930779 Au...
  5. JamiiForums Tanzania Barick kazini, hili la kuwawekea watu wa karibu na Rais wasisafiri kwenda Marekani ni kuficha ukweli wa biashara zao Makinikia yatakuwa undervalued

    Baada ya kutiliana mkataba wa Barick vs Serikalikali haya yote yameanza kuibuka hawa watu wamekasirika inabidi mheshimiwa asirudi nyuma.
  6. JamiiForums Tanzania Q-Net na Forever Living zimenipotezea marafiki zangu wa karibu

    Mara ya kwanza nasikia kuhusu Forever Living ilikuwa mwaka 2005 kipindi hicho imepamba moto sana. Kulikuwa na mtoto mmoja mkali sana chuo nlikuwa namfukuzia. Naye akaona atumie nafasi hiyo kuniunganisha Forever Living nikamkubalia ili kwanza nimle halafu tutajuana mbele kwa mbele, kweli...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…