Kampuni ya simu za mkononi TECNO imezindua duka kubwa la simu, maarufu ‘Smarthub’ Mtaa wa Mwenge jijini Arush, duka ambalo linatoa huduma mbalimbali ikiwa ni hatua muhimu katika kusogeza huduma kwawananchi.
Akizungumza wakati wa uzinduzi wa duka hilo mwishoni mwa wiki, Afisa Utamaduni Jiji la...