Chonde Chonde kwa aliye karibu na uongozi wa Simba Sports Club au msemaji wao Manara aifikishe kwao taarifa hii muhimu sana

Mzukulu

JF-Expert Member
Feb 14, 2020
1,401
2,631
Nimetonywa na watu wa ndani kabisa kutoka katika klabu ambayo Simba Sports Club inaenda kucheza nayo tarehe 8 March 2020 ambayo hadi hivi sasa Mzukulu naona kuna Goli Mbili (2) ambazo zote zitafungwa katika kila kipindi kwa hiyo Klabu kuwa kuna hujuma kubwa (umafia) ambao wanapanga Kufanya hasa katika mechi ya Simba SC na Azam FC tarehe 4 March 2020 ili kuidhoofisha Simba SC.

Moja wapo ya hizo hujuma ambazo hiyo Klabu inayoenda kufungwa hizo goli mbili (2) siku ya Jumapili ya tarehe 8 March 2020 ni kuongea na wachezaji wa Azam FC ambao wana unazi usiojificha na hiyo klabu hasa hasa beki Agrey Morris na Kiungo Ababukary Salum na Mshambuliaji wao Obrey Chirwa kuwa wawaumize wachezaji tegemeo wa Simba SC hasa Mkude, Chama, Kahata, Maquissone, Wawa, Tshabalala, Kapombe na Nahodha John Boko.

Hivyo basi kwa mapenzi mema niliyonayo kwa klabu yangu ya Simba naomba TAHADHARI ichukuliwe mapema sana ambapo naomba kikosi nitakachokipanga hapa ndiyo kicheze Mechi yetu na Azam FC kesho tarehe 4 March 2020 kwani hata kama tukitoka sare na Azam FC bado hatutokuwa pabaya kivile ila tuje kupata furaha na njia nyeupe ya ushindi na kuwa bingwa tena Jumapili ya tarehe 8 March 2020.

Kikosi dhidi ya Azam FC kiwe hivi kesho.

1. Beno Kakolanya
2. Haruna Shamte
3. Gadiel Michael
4. Kennedy Wilson
5. Yusuph Mlipili
6. Gerson Fraga
7. Miraji Athuman
8. Said Ndemla
9. Meddie Kagere
10. Ibrahim Ajib
11. Shizya Kichuiya

Na kwa Uthibitisho ambao nimeupata kutoka mahala pangu ambako huwa 95% huwa ni sahihi kwa kile wanachonitaarifu na hizo 5% zilizobakia na Majaliwa yake Mwenyezi Mungu ni kwamba kwa Kikosi ambacho naenda kukitaja hapa hao wapinzani wa Simba SC hiyo tarehe 8 March 2020 hata Waroge vipi, Wakeshe Uwanjani na Wafanye kila aina ya Umafia wao kuelekea hiyo Mechi bado wanaenda Kufungwa na Simba SC Goli Mbili ( 2 ) ambapo kila Goli litafungwa katika vipindi viwili tofauti.

Kikosi chenyewe cha Maangamizi kiwe hivi tafadhali na Makocha Vandebroeck na Matola wasikibadili.....

1. Aishi Manula
2. Shomary Kapombe
3. Mohammed Hussein Tshabalal
4. Pascal Wawa
5. Erasto Nyoni
6. Jonas Mkude
7. Hassan Dilunga
8. Clatous Chama
9. Luis Maquissone
10. John Boko
11. Francis Kahata

Sub iwe hivi tafadhali....

1. Beno Kakolanya
2. Haruna Shamte
3. Gadiel Michael
4. Yusuph Mlipili
5. Meddie Kagere
6. Deogratius Kanda
7. Ibrahim Ajib

Mzukulu nawatakieni Maandalizi mema wana Simba SC wote katika Mechi ngumu ya Kesho Jumatano tarehe 4 March 2020 dhidi ya Azam FC na katika Mechi yetu rahisi na nyepesi mno dhidi ya Wapinzani wetu tunaocheza nao Siku ya Jumapili tarehe 8 March 2020 Uwanja mkubwa wa Taifa (Kwa Mchina)

Simba SC itashinda Goli Mbili (2) kwa 0 na Goli zote zitafungwa katika kila Kipindi na Wachezaji wao wa kutokea Nje ya nchi.
 
1. Aishi Manula
2. Shomary Kapombe
3. Mohammed Hussein Tshabalal
4. Pascal Wawa
5. Erasto Nyoni
6. Jonas Mkude
7. Deo Kanda
8. Clatous Chama
9. Luis Maquissone
10. John Boko
11. Francis Kahata

Kikosi hiki mikia anakufa, huwezi kucheza na Yanga ukiwa na viungo asilia watatu, mapema unakufaa
 
Haumii mtu hapa wataimia wao na mbao.
Kosi la kuia Yanga hili hapa chini kabisa.

1. Manula
2. Kapombe
3. Hussein
4. Nyoni
5. Wawa
6. Kapombe
7. Luiz
8. Chama
9. Kagere
10. Kanda
11. Kahata.

Kanda yuko vizuri kuliko Boko atanza kusimama mbele na Kagere. Kulia atokee Luiz Kushoto atokee Kahata, hawa watakuwa wanaingia kushambulia na kutoka kubadilishana namba. Hapo nyuma yaani No 8 asimame Chama ili apenyeze pasi Kwa washambuliaji.

Katika abaki mkude akirudi kuchukua mipira na kuisambaza uwanja mzima. Nyuma ibaki mihimili mikuu Minne yaani Wawa, Nyoni, Kapombe na Hussein. Hapo hao Yanga hawatoki Ng'o

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haumii mtu hapa wataimia wao na mbao.
Kosi la kuia Yanga hili hapa chini kabisa.

1. Manula
2. Kapombe
3. Hussein
4. Nyoni
5. Wawa
6. Kapombe
7. Luiz
8. Chama
9. Kagere
10. Kanda
11. Kahata.

Kanda yuko vizuri kuliko Boko atanza kusimama mbele na Kagere.
Kulia atokee Luiz Kushoto atokee Kahata, hawa watakuwa wanaingia kushambulia na kutoka kubadilishana namba.
Hapo nyuma yaani No 8 asimame Chama ili apenyeze pasi Kwa washambuliaji.
Katika abaki mkude akirudi kuchukua mipira na kuisambaza uwanja mzima.
Nyuma ibaki mihimili mikuu Minne yaani Wawa, Nyoni, Kapombe na Hussein.
Hapo hao Yanga hawatoki Ng'o

Sent using Jamii Forums mobile app
Kapombe Mara 2
 
Hakuna namna yeyote Yanga anaweza Fanya Asifungwe hiyo Tarehe 8. Kipigo kipo pale pale.
 
Ukipigwa hiyo Game ya Azam alafu Kwa bahati mbaya ukapigwa na Game ya Ndala, yaani urisk Kupoteza point 6 kwa Maneno ya kufikirika
 
Back
Top Bottom