Kuna makampuni matatu ambayo kiukweli usijaribu kuweka dau refu au usiwategemee sana pindi unapobashiri michezo mbalilili.
1.Gal spot Betting; hawa jamaa siku wakiliwa sana wanazima mtandao,au wakiona kuna mechi zimekaa mkao wanahofu watapigwa lazma wazime mtandao.Ukiweka dau kubwa kuanzia...
Naamin huu uzi unaweza usiwe wa kwanza kwako juu ya ujuzi wa kufungua
Kampuni na umekua ukipata ujuzi kutoka kwa watu mbalimbali
Lakin ngoja nikuulize swali “unahisi bado kuna kipande cha ujuzi ndani yako kinakosekana?
Bhas huu uzi ndio kipande cha ujuzi kilichobaki ambacho kilikua kinakosekana...
Kwa muda mrefu sasa, kampuni za kibiashara zimekuwa zikichangia katika miradi ya kijamii. Uchangiaji huu umechagizwa kwa kiasi kikubwa na hoja ya kwamba "Jamii yenye afya na ustawi mzuri (healthier community), huchochea ukuaji wa biashara". Mwaka 1936 nchini Marekani kiasi cha Shilingi Biliono...
Rapa na mfanyabiashara huyo ameiandikiwa barua kampuni ya GAP na kuijulisha rasmi kwamba atasitisha ushirikiano wake na kampuni hiyo ya mavazi,
Ushirikiano huo uliokuwa kwenye misukosuko ulianza mwaka 2020, umesababisha West kutoa malalamiko mengi kwenye mitandao ya kijamii katika wiki za hivi...
Mahitaji kwa ajili ya kampuni
1. Namba za Nida (kila mtu yake)
2. TIN numbers (Kila mtu yake,TIN yoyote aliyonayo kwa jina lake)
3. Phone, email, (kila mtu yake)
4. P. O. Box zenu.
5. Mahali mnapokaa kila mtu
6. Memorandum & Articles of Associtaion iliyopigwa mhuri wa mwanasheria
7. Pesa ya...
Wadau kwemaa ?
Naomabmsaada kujua kampuni za mabasi zinazo kwenda Shinyanga kutokea Dsm.
Basi quality na Mwendo Mwendo mzuri, naomba msaada wadau mnijuze.
DAR ES SALAAM, TANZANIA, 13 Septemba, 2022 – Leo Ubalozi wa Marekani jijini Dar es Salaam na Idara ya Huduma za Biashara ya Marekani umetangaza washiriki wa ziara ya siku mbili ya ujumbe wa Wafanyabiashara wa Kimarekani kutembelea Tanzania Bara na Zanzibar. Ziara hiyo itafanyika kutoka tarehe 27...
Wadau naomba tujuzane mbinu za kupata bati za kampuni bora kabisa ili tuokoane kwa hasara tunazozipata mara kwa mara.
Maana kuna utitiri wa viwanda vya mabati jambo ambalo limepelekea tunapaua nyumba zetu kwa kununua bati kichwa kichwa,bati zenyewe zikipigwa na jua miezi 6 tu zinapauka balaa...
Hatimaye Putin ameshinda Vita ya kiuchumi kati yake na Ulaya.C.E.O wa kampuni kubwa kabisa ya mambo ya uchumi Ulaya asema,"Ulaya hatimaye inaelekea katika mgogoro wa kibenki, kuanguka kwa viwanda, kaya na uchumi.Hii ni katika "wiki chache tu zijazo" amesema.
07 SEPTEMBA 2022 
Tuomas Malinen...
Kampuni hiyo ya Mawasiliano ilipanga kukusanya Tsh. Trilioni 1.06 katika mwaka ulioisha March 2022 lakini kutokana na athari za Tozo imepoteza 9.8% ya mapato na kukusanya Tsh. Bilioni 956 ambayo ni pungufu ya matarajio.
Mwenyekiti wa Bodi ya Vodacom Jaji Mstaafu Thomas Mihayo amesema tozo hizo...
Wale wazee wa kubet, msitumie tena kampuni hii, ipo hivi;
Unaweka mkeka pesa inakubali. Ukila mkeka pesa haitoki. Wanakupa jibu wapo kwenye matengenezo. Ila kuweka pesa na kubeti wanapokea.
#Ukitaka kutoa wanakujibu huwezi kutoa, labda uende Dar kwenye ofisi ya michongo ambazo hazipo.
Wale...
Wakuu naomba kuuliza.
Ni kampuni ipi ina majiko imara ya umeme/gas?
Jiko linalohitajika la umeme, liwe na plate 2 za umeme na 2 za gas.
Natanguliza shukurani.
Nimemsikia mangi wa iramba , anasema Hana hata kampuni ya bajaji ....kuwa na biashara au kampuni sio kosa ikiwa ni halali...wabunge wengi tu Wana makampuni ya magari na viwanda halali na wanalipa Kodi ..sio kosa ila unapokataa kisiasa unatutia mashaka uko tayari endapo watu wakamwaga vielelezo...
1. Nyimbo zinazosikilizwa zaidi ulimwenguni
Nokia Tune. Nyimbo ya Nokia ilitungwa na mtunzi Gran Vals, na mtunzi wa Kihispania Francisco Tárrega. Anssi Vanjoki, pamoja na Lauri Kivinen, walichagua kipande hicho maarufu kilichowekwa kwenye simu za Nokia mwaka 1993. Mlio huo maarufu wa kuita...
Wadau naomba kufahamishwa kuhusu smart kitochi ya kampuni gani ambayo nikiinunua itakuwa rahisi kutoa lock na kuweza kuweka laini ya mtandao mwingine wowote tofauti.
Naanza na kampuni ya Superfeo ya mkoani Ruvuma ukiagiza pacel mfano bahasha tu unalipia sh. 5000 iwe ni barua, au kitu kinachoweza kukaa kwenye bahasha.
Na bei hizi zipo hata kabla mafuta hayajapanda bei. Mkurugenzi wa Feo tuangaliye tunahali ngumu fikiria kupunguza gharama walau iwe 3000...
Inasikitisha, zamani kusajili jina la biashara ilikuwa ni siku tatu za kazi lakini sasa hali imekuwa mbaya sana.
Biashara majina yanachukua zaidi ya mwezi mmoja.
Nawasalimu Wakuu,
Nchi inaenda pabaya wakuu, TISS msaidieni mama. Hivi inakuwaje waziri anaagiza Yu Tong 60 halafu hamsemi kitu?
Huyu Waziri Fedha hizi za Yu Tong 60 kampuni ya Esther, amepata wapi?
Kazi kwenu!
========
Thread 'Mwigulu Nchemba ang'aka kuagiza mabasi 60, asema hana biashara...
Waziri wa Uchukuzi wa Ufaransa alitoa wito wa kuangazia mazingira ya kashfa hiyo inayozunguka tuhuma za kampuni ya mafuta ya TotalEnergies kuisambazia Urusi mafuta kwa mahitaji ya jeshi la anga la Urusi.
Tofauti na makampuni mengi makubwa ya Magharibi ambayo yameanza kufanya biashara nchini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.