Mshiriki wa Kampuni ya TEHAMA Iringa Mjini

jian

Member
Apr 2, 2020
17
14
Habari wakuu,
Natumai mko poa, natafuta kijana mmoja aliyepo Iringa mjini mwenye uwezo mzuri na uzoefu wa kutengeneza Software awe aliyehitimu Shahada ya IT au related programs ili awe mshiriki wangu tufungue kampuni ya IT hapa Iringa Mjni. Kwa info zaidi nicheki PM. Asante!!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom