Mugisha Muntu asitisha kufanya kampeni hadi wapinzani waliokamatwa waachiwe huru

beth

JF-Expert Member
Aug 19, 2012
3,877
6,326
Mgombea Urais wa nchi hiyo, Mugisha Muntu amesitisha kufanya kampeni zake mpaka Wapinzani wengine waliokamatwa jana watakapoachiwa

Muntu ametaka Mamlaka kuwaachia huru Robert Kyagulanyi almaarufu Bobi Wine na Patrick Amuriat waliokamatwa kwa nyakati tofauti wakiwa kwenye harakati za kampeni zao

Ametoa wito kwa Serikali kuwa makini wakati huu ambapo nchi inafanya Kampeni akisema hali ya nchi hiyo ni tete baada ya wananchi kuandamana na wengine kupoteza maisha baada ya Bobi Wine kushikiliwa

=====

Ugandan presidential candidate, Mugisha Muntu, has suspended campaigns until other opposition candidates who were arrested on Wednesday are released.

Mr Muntu called for the release of Robert Kyagulanyi, popularly known as Bobi Wine, and Patrick Amuriat.

The two candidates were arrested separately during their campaigns.

The arrest of Bobi Wine has sparked protests in the country that have led to the death of three people.

Mr Muntu asked the government not to be reckless during the campaign period as the situation was volatile:
 
Tuna ya kujifunza mengi tokea Uganda.

Kwenda na rules za mshindani si option!
 
Back
Top Bottom