kahawa

  1. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Usiku kama Mchana!, Mbunge Rohoro Agawa TV Bunge la Kahawa - Ngara

    USIKU KAMA MCHANA!, RUHORO AGAWA TV BUNGE LA KAHAWA - NGARA Mbunge wa Jimbo la Ngara Mh. Ndaisaba George Ruhoro anapenda kuujulisha umma na Wananchi wa Jimbo la Ngara kuwa anaendelea na Zoezi la ugawaji wa Television (TV) kwenye vijiwe/mabunge ya kahawa yaliyopo Wilayani Ngara. Lengo kubwa ni...
  2. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Vijana majobless muanzishe vijiwe vya kubadilishana mawazo kama wazee walivyoanzisha vijiwe vya kahawa kupigana fiksi

    Vuguvugu la maendeleo ulaya (the age of enlignment) lilianzia vijiweni na kwenye saloon ambapo watu walikutana kujadili ideas. Kwenye vijiwe vya kimasonic (Masonic Clubs ) pia ilikuwa ninsehemu walipokutana kupeana updates. Muachane na vijiwe vya betting. Vijiwe wa unywaji bia, na ulaji wa...
  3. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Kwenye vijiwe vya kahawa, kashata kachori na pweza hivi sasa stori kubwa ni Rais Samia

    nikiwa kiraia zaidi, nimejumuika na wananzengo vijiwe vya kahawa, kashata, kachori na pweza. Stori na hadithi nyingi zimetekwa na jina la Rais, Dr Samia Suluhu Hassan. Kwamba huyu mama ni hodari, anajali sana, ana bidii mno ya kazi, anaskiza sana maoni ya wananchi, ni mahiri na makini sana...
  4. Funa the Wild

    JamiiForums Tanzania Kijiji cha Materuni na utalii wa kahawa, Moshi Kilimanjaro

    Kahawa ni miongoni mwa zao la biashara linalolimwa ukanda wa Afrika Mashariki ikiwemo na Tanzania. Mkoa wa Kilimanjaro ni miongoni mwa mikoa ambayo zao la kahawa linapatikana hususani kahawa aina ya ARABICA. Mnamo tarehe 16/10/2023 nilipata nafasi ya kuwapeleka watalii kijiji cha Materuni...
  5. D

    JamiiForums Tanzania Kuna siri gani katika vijiwe vya kahawa kwa viongozi wa CCM?

    Kuna mambo ukiona yanajirudia ni vizuri kujiuliza ili kujifunza. Wana JF tusaidiane. Enzi za uhai wake tulimwona Hayati John Pombe Magufuli akinywa kahawa na vijana wake huko Chato. Hivi majuzi akiwa ziarani Singida tukaoneshwa picha Rais Samia Suluhu Hassan naye akiwa na kina mama katika...
  6. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Mmeshawahi kuona kijiwe cha wanywa kahawa wanawake?

    Ebu jaribu kutofautisha picha mbili hapo chini kwenye kila angle. MAGUFULI akiwa Soko la Ferry, Dar es salaam SAMIA akiwa Soko la Wamachinga parking, Nzega, Tabora. BINAFSI: Nimeshangaa kijiwe cha wanywa kahawa wanawake, sijawai kuona kijiwe cha kahawa cha wanawake. Pili utofauti niliouona...
  7. Mwanadiplomasia Mahiri

    JamiiForums Tanzania Toka nizaliwe sijawahi kuona kijiwe cha kahawa cha wanawake

    Pengine ni ushamba wangu au kukosa exposure, lakini tangu nizaliwe sijawahi kuona kijiwe cha kahawa kinachokaliwa na wakina mama (wanawake). Tumezoea muda mwingi kama sio muda wote vijiwe vya kahawa ni akina baba huku wakiendelea na mijadala mbalimbali. Wenzangu vipi mshawahi kukiona?
  8. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Kwa mara ya kwanza leo nimeona kijiwe cha kahawa cha wanawake

    Great thinker Shuhudia na wewe usingoje kusimuliwa.
  9. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Kagera: Mbunge Ndaisaba Ashiriki Zoezi la Ugawaji wa Miche Takriban Milioni Moja ya Kahawa

    Mbunge wa Jimbo la Ngara, Mhe. Ndaisaba George Ruhoro alishiriki zoezi la ugawaji wa Miche ya Kahawa lililofanyika Octoba 4, 2023 katika Kijiji cha Kashinga - Nyakisasa. Miche hii ni matokeo mazuri ya Jitihada za Mhe. Mbunge katika kulikuza zao la Kahawa ili kuongeza mapato kwa Mkulima mmoja...
  10. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania CHADEMA sio chama cha kuwasaliti Watanganyika kwa biskuti , kahawa na Ubwabwa

    Sisi ni Chama makini sana. Tunajua nini maana ya maslahi ya taifa. Hatuwezi kuwa na fikra potevu kudanganya dunia kuwa kuna Demokrasia nchini Wakati hakuna. Zaidi ya CCM Kandamizi iliyojisahau na sasa inawakandamiza Watanzania kwa kila namna ya ufisadi. Hatuwezi kuwa sehemu ya wasaliti wa...
  11. ashurabakari272

    JamiiForums Tanzania Mtengeneza kahawa

    Habari zenu. Leo ngoja nishee story yangu kwa ufupi Nakumbuka mwaka 2010 nikiwa na rafiki yangu tulishauriana kwenda South Afrika kutafuta maisha tukiamini kwamba huko maisha ni marahisi sana, basi ikabidi tuanze kutafuta nauli kipindi hicho ilikuwa nafanya biashara ya kuuza nguo za mtumba...
  12. benzemah

    JamiiForums Tanzania Taarifa ya balozi wa Tanzania nchini Japan na fursa katika zao la kahawa kutoka Tanzania

    "Jina langu ni Baraka Luvanda, Balozi wa Tanzania nchini Japan, nikiwa na dhamana ya kuiwakilisha pia nchi yetu katika nchi za Australia, New Zealand na Papua New Guinea. Leo tumekusanyika hapa katika mojawapo ya makampuni makubwa nchini Japan yanayojishughulisha na biashara ya chakula Japan na...
  13. Artifact Collector

    JamiiForums Tanzania Watanzania tumepewa uhuru kutokea vijiwe vya kahawa, hatuwezi kuwa sawa na walioupigania kutoka msituni

    Ukiangalia historia ya uhuru wa tanzania utaona imechangia kwa kiasi kikubwa kushape fikra za watanzania wa leo, yaani ukisoma huon struggle kabisa zaid ya watu waliokua wanakutania kwenye bao na vijiwe vya kahawa eti ndo wapigania uhuru hao Wako wanaosema historia ya Tanzania imechakachuliwa...
  14. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Habari Njema Zao la Kahawa Mkoa wa Kagera

    MHE. NDAISABA GEORGE RUHORO - HABARI NJEMA ZAO LA KAHAWA MKOA WA KAGERA MASWALI NA MAJIBU WIZARA YA KILIMO Mbunge wa Jimbo la Ngara Mhe. Ndaisaba George Ruhoro ameiuliza swali Wizara ya Kilimo - "Wizara ya Kilimo ina Mkakati gani wa kuhakikisha wakulima wa Kahawa Wilaya ya Ngara wanaendelea...
  15. Azizi Bin Adam

    JamiiForums Tanzania Biashara ya mazao ya kahawa na parachichi

    HESHIMA KWENU WAKUU Nimekaa nikiwaza sana kuhusu biashara ya mazao haya mawili. Sasa naomba mwenye kufahamu uendeshaji wa biashara ya kununua na kuuza haya mazao mawili (kahawa na parachichi). Hasa kwa kuzingatia yafuatayo; 1. Sehemu ya kununua 2. Soko 3. Mtaji 4. Changamoto zake 5. Utaratibu...
  16. Bhaghosha

    JamiiForums Tanzania Ndege za ATCL na huduma ya Kahawa

    Kwa wasafiri wa ndege zetu za ATCL, hivi mmeshawahi kuhudumiwa kinywaji cha kahawa? Ni kitu cha ajabu sana kiwango cha ubora wake ni cha chini kabisa. Yaani wanahudumia chai ya kahawa au kahawa ya rangi. Kwa kuwa Tanzania inalima na kuzalisha kahawa ya kutumia, basi shirika letu lingetumia...
  17. Maguguma

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa vyama vingi vya Ushirika wa zao la kahawa Wilayani Mbinga wanafanya kazi kwa lengo la kujinufaisha

    Viongozi wa vyama vingi vya Ushirika wa zao la kahawa Wilayani Mbinga wanafanya kazi kwa lengo la kujinufaisha wao wenyewe badala ya wakulima wa zao hilo. Wakulima wa zao la Kahawa wanafanya kazi wakati wa mvua na jua kwa kipindi cha mwaka mzima, lakini kwa asilimia kubwa wanaonufaika ni...
  18. Yoda

    JamiiForums Tanzania Stori na gumzo kutoka vijiwe vya kahawa

    Vijiwe vya kahawa nchi hii ni sehemu mojwapo maarufu ambayo mengi huzungumzwa na kujadiliwa yanayohusu siasa za ndani na nje ya nchi,historia mahusiano,dini, biashara, uchumi n.k. Mambo yanayojadiliwa mara nyingi huegemea katika nadharia za kinjama(consipiracies theories)...
  19. Kusini pride

    JamiiForums Tanzania CHADEMA mmelewa kahawa na kashata za Ikulu mpaka wimbo wenu wa Katiba Mpya mmeacha kuuimba

    Kuna mwanafalsa mmoja wa kiingereza aliwahi kusema "To be or not to be that is question" hivi ndivyo ambavyo wanachadema tunaposhindwa au ndivyo tunavyoweweseka kuimba Ile nyimbo yetu Pendwa ya katiba mpya kwa sababu tunaona aibu kuendelea kuimba kuhusu katiba mpya baada ya kulewa kashata na...
  20. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Kama hupendi unene na uzito usiofaa pata haya maarifa ufanikiwe ndani ya mwezi mmoja

    Habari wadau, Naomba ushiriki katika ujenzi wa afya, Dunia hii malaika ni watu na si vinginevyo, kila mmoja wetu kaumbwa kama malaika wa pekee, niwape hili moja la kupunguza mwili na Uzito na kuondokana na tabia ya kula kula kila wakati. Anza zoezi la kutumia kahawa iliosagwa vizuri ya dukani...
Back
Top Bottom