Habari Njema Zao la Kahawa Mkoa wa Kagera

Stephano Mgendanyi

JF-Expert Member
May 16, 2020
1,906
945

MHE. NDAISABA GEORGE RUHORO - HABARI NJEMA ZAO LA KAHAWA MKOA WA KAGERA

MASWALI NA MAJIBU WIZARA YA KILIMO

Mbunge wa Jimbo la Ngara Mhe. Ndaisaba George Ruhoro ameiuliza swali Wizara ya Kilimo - "Wizara ya Kilimo ina Mkakati gani wa kuhakikisha wakulima wa Kahawa Wilaya ya Ngara wanaendelea kuuza Kahawa yao kwa bei nzuri kama ilivyokuwa kwenye msimu uliopita"?

"Utaratibu wa Wizara ya Kilimo iliyoanza nao wa kumpa mkulima bei nzuri Wizara itaendelea nao na kuhakikisha mkulima kupata masoko ya uhakika na azalishe Kahawa yenye ubora ili iweze kumpatia bei nzuri sokoni"
 

Attachments

  • WhatsApp Video 2023-04-19 at 18.18.09.mp4
    6.6 MB
Back
Top Bottom