kahawa

  1. S

    JamiiForums Tanzania Naomba kuelewa mapato ya acre moja ya kila zao kwa mwaka: kahawa, korosho, migomba na parachichi

    Members wakulima na wazoefu wa hayo mazao, Naomba kuelewa kama muongozo kwa ufupi mapato ya wastani kwa mwaka kwa kila zao hapo juu. Naomba tu share uzoefu wetu kwa manufaa yetu sote.
  2. J

    JamiiForums Tanzania Kwa sasa Geita inachangia pakubwa kwenye pato la Taifa, “inastahili" kama Kilimanjaro enzi za kahawa!

    Geita haijaumbwa ili iwe mashimo baada ya kuchimba madini bali inastahili maendeleo kama mikoa mingine. Nimeona niseme hili maana ujenzi wa kimaendeleo wa uwanja wa ndege na hospitali ya Rufaa unawanyima usingizi Chadema ambao wamewahi kuwa na wabunge makini kutoka kanda ya ziwa. Geita na...
  3. U

    JamiiForums Tanzania Mbunge Mteule Arusha Mjini, Mrisho Gambo(CCM) awashukuru wapiga kura kijiwe cha kahawa soko kuu Arusha

    Tushukuru kwa kila jambo.
  4. Nafaka

    JamiiForums Tanzania Kwanini Serikali isiruhusu watu na kampuni binafsi wanunue kahawa mkoani Kagera?

    Kuna mambo mengine nchi hii yanashangaza na kusikitisha kweli. Mtu kalima kahawa zake, kwa pesa zake na nguvu zake halafu unampangia amuuzie nani. KCU imekusanya kahawa za wakulima halafu huu karibu mwezi wa 3 hawajawalipa pesa yao. Hiki chama cha ushirika hakina maana tena bora waache watu...
  5. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kama umeshindwa kutatua tatizo la Kahawa kwa miaka 5, utaweza sasa hivi?

    Amani iwe nanyi wandugu! Leo Magufuli akiwa Kagera ameahidi kulipatia ufumbuzi tatizo la zao la kahawa Kagera!!! Labda tumuulize tu, alikuwa wapi siku zote?? Na utatuzi gani huo atakaowapatia wana Kagera kipindi hiki cha kampeni?
  6. East Wind

    JamiiForums Tanzania Kahawa safii kwa afya

    Kahawa ndio
  7. BASIASI

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Majaliwa ukimalizana na Mkonge Tanga, tugeukie Kahawa Moshi

    Kwako PM Majaliwa Awali ya YOTEE nikupongezee kwa zoezi linaloendelea Nichukue fursaa HIII kukuombaa BAADA yaaa kurejeshaa MALIZANA SERKL zilizomilikishwa kwa wahunii wasioitakiaa nchii hii memaaa upandee WA mkongee Tunaombaa MWELEKEZE paler kilimanjarooo kukaguaa malizote za bodi ya kahawaaa...
  8. A

    JamiiForums Tanzania Nahitaji maelezo ya kahawa ununuzi na usafirishaji nje ya nchi.

    Habari wanajamii Naomba muongozo kuhusu kahawa, nahitaji kununua kahawa na kusafirisha kwenda Uganda. Je ni taratibu gani nitumie kwenye ununuzi? Kwa upande wa moshi naambiwa ni lazima nifanye ununuzi kupitia auctions kuna mwenye experience na ununuzi wa kupitia auctions? KNCU/KCU na je...
Back
Top Bottom