Toka nizaliwe sijawahi kuona kijiwe cha kahawa cha wanawake

Pengine ni ushamba wangu au kukosa exposure, lakini tangu nizaliwe sijawahi kuona kijiwe cha kahawa kinachokaliwa na wakina mama (wanawake).

Tumezoea muda mwingi kama sio muda wote vijiwe vya kahawa ni akina baba huku wakiendelea na mijadala mbalimbali.

Wenzangu vipi mshawahi kukiona?
Wao wanavitofali huwa vinavunjika nadiyo maana huwezi kuviona
 
20231019_175409.jpg

Utakuwa unaishi porini na wanyama ndani ndani huko, vijiwe vya kahawa vya wanawake mbona vipo
 
Pengine ni ushamba wangu au kukosa exposure, lakini tangu nizaliwe sijawahi kuona kijiwe cha kahawa kinachokaliwa na wakina mama (wanawake).

Tumezoea muda mwingi kama sio muda wote vijiwe vya kahawa ni akina baba huku wakiendelea na mijadala mbalimbali.

Wenzangu vipi mshawahi kukiona?
Kilq mbinu inatumika kumfanya awe mama wa Taifa.
 
Back
Top Bottom