kahawa

  1. M

    JamiiForums Tanzania Naingia kulima kahawa Makete

    Hapa wahaya, wanyakyusa na wachaga, wanyiha, wangoni nk nipeni experience ya kilimo cha kahawa , naingia makete serious kulima kahawa, soko la kahawa ni uhakika, though bei zinapanda na kushuka kutegemea msimu na msimu, kipi kigumu kwenye kilimo cha kahawa
  2. chiembe

    JamiiForums Tanzania Moses Machali, naona ukuu wa Wilaya Bukoba unaelekea ukingoni, vijiwe vya kahawa soko kuu vinakung'oa

    Ile ajenda ya Kodi za zamani aliyoisema Mh. Rais na Mbunge wa Bukoba Mjini ni taa ya kukaa sawa dhidi ya Moses Machali, mkuu wa wilaya ya Bukoba, kwamba "walangila wameshamkalia vikao, na hawamtaki". Bukoba ni wilaya ambayo Siasa imetamalaki, na Kuna wafanyabiashara wameshamuunguzia Uzi, na...
  3. L

    JamiiForums Tanzania Tamasha la kahawa lafanyika huko Shenzhen, China

    Tamasha la kahawa lilifanyika kwenye uwanja wa HALO mjini Shenzhen, China tarehe 5 mwezi huu likikutana na sikukuu ya jadi ya Duanwu ya China. Tamasha hilo lililoanza Mei 50 limetoa fursa kwa wenyeji kutulia na kujifurahisha, ikiunganisha shughuli mbalimbali za kahawa, pikniki na masoko.
  4. Tony254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya ime-export kahawa ya kwanza kuenda South Korea

    Tuendelee vivi hivi. More exports is important for our economy. (BOLLORE ) - Bolloré Transport & Logistics was recently commissioned to handle a logistic operation organizing the first direct shipment of coffee by Kenyan farmers to South Korea without the use of a coffee brokerage. This was...
  5. endagulda

    JamiiForums Tanzania Natafuta mabirika ya kuchemshia kahawa

    Natafuta mabirika ya kuchemshia chai au kahawa kuanzia lita 1.5 hadi lita 2
  6. LUKAMA

    JamiiForums Tanzania Haya ni maajabu 6 ya kahawa yanayowaduwaza wengi duniani

    Nb:Naomba mods kuheshimu thread za watu, kazi yenu isiwe kufuta au kuunganisha thread za watu, sometime mnakera kinyama Dunia haijawahi kuwa na wasiwasi kuhusu kahawa. Iwe tunakunywa kikombe kimoja cha kuamka asubuhi, espresso baada ya chakula cha mchana au cappuccino jioni, hatujawahi kutumia...
  7. fareed uziel

    JamiiForums Tanzania Postal wamenikatalia kusafirisha nusu kilo ya kahawa mpaka kibali bila kuniambia kibali Cha nini

    Habari wakuu? Kuna rafiki yangu aliniomba nimkaangie buni ya kahawa ya Kilimanjaro nimtumie ujerumani,sasa nimeenda pale postal EMS wamesema hawatumi kahawa mpaka kibali na wenyewe hawajui kinapatikana wapi. Msaada wakuu kama kuna mtu anakijua hicho kibali Cha Nini na kinapatikana wapi...
  8. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Serikali yaondoa tozo 42 kwenye zao la Kahawa

    Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa ametangaza uamuzi wa Serikali wa kuondoa tozo 42 kati ya 47 ambazo walikuwa wanatozwa wakulima wa kahawa wa Mkoa wa Kagera hadi kufikia tozo 5 ambazo zitakuwa ni jumla ya Sh267 kwa kilo kutoka Sh830 za awali. Waziri Mkuu ametoa maamuzi hayo kufuatia tume maalum...
  9. Richard

    JamiiForums Tanzania Kahawa ya kutoka Lyamungo Kilimanjaro yauzwa na moja ya maduka makubwa Ulaya

    Nipo katika moja ya nchi za Ulaya kikazi na nimebahatika kuingia katika duka kubwa la Costco. Humo katika pitapita kwenye sehemu ya groseries nimekuta kahawa ya kutoka Tanzania sehemu ya Lyamungo wilayani Hai mkoani Kilimanjaro. Kahawa hii ni nzima na imeokwa (roasted) na mtumiaji hutakiwa...
  10. Beeb

    JamiiForums Tanzania Jifunze kutengeneza scrub ya kahawa" Coffee Scrub" kwa ajili ya biashara au matumizi binafsi

    Mahitaji -Sukari ya brown kikombe kimoja -Kahawa ya brown nusu kikombe -Mafuta ya mzeituni nusu kikombe -Lemon essential oil kijiko kimoja Cha chai(1tsp) Hapo kwenye kikombe waweza tumia kikombe Cha chai(mug)au vile vikombe maalum vya kupimia malighafi vile ambavyo vina alama za vipimo. Hii...
  11. Bushmamy

    JamiiForums Tanzania Kilimanjaro: Wananchi wabadili aina ya kilimo cha mseto kwa kuondoa zao la kahawa

    Ukifika mkoani Kilimanjaro utaona ni jinsi gani kizazi hiki kinavyoenda kubadili kabisa aina ya kilimo cha kahawa kilichozoeleka tangu enzi ya mkoloni. Vijiji vichache nilivyotembelea katika wilaya ya Hai na wilaya ya moshi vijijini nimejionea wanavijiji wengi wakiwa wameondosha kabisa zao la...
  12. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Mbowe imetufanya kuparaganyika. Lissu amebakia kulalama Twitter, Bavicha wanazurura kwenye vijiwe vya kahawa. Hakuna dira kabisa

    Ubaya ya kuwa na chama ambacho mwenyekiti ndio one man band. Yaani ndio master minder, mpanga mikakati na hata mhamasishaji. Kesi imevuruga mipango ya chama chetu kabisa. Uongozi umeyumba kabisa na inaonekana hakuna mikakati kabisa ya kujikwamua. Zimebaki ngonjera tu spacin huko Twita. Bavicha...
  13. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Katavi: BAVICHA yasambaza moto wa Katiba Mpya kwenye vijiwe vyote vya Kahawa na Tangawizi

    Huu ndio Mtiti ambao hawa vijana wameamua kwenda nao kwa sasa, huku taarifa zikionyesha kwamba kila wanapoingia wanashangiliwa mno. Katavi yote inawaka moto wa Katiba Mpya. Kwa hali ilipofikia si rahisi tena kuzuia Katiba Mpya. Mungu ibariki Bavicha.
  14. MK254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jameni zao la kahawa linatupaisha kinoma

    Monthly coffee earnings rose to a record $50 million (Sh5.6 billion) in December as Kenya reaped from the frost that destroyed the crop in Brazil and the civil wars in Ethiopia, reducing supplies in the world market. Nairobi Coffee Exchange (NCE) said the earnings jumped 117.3 percent from $23...
  15. Infinity Solutions

    JamiiForums Tanzania Ninahitaji Kahawa

    Habari za leo Ndugu wanajukwaa. Ninahitaji kampuni au mtu wa kunipa Kahawa Aa arabica ya Kilimanjaro zaidi. Ninaomba connection na muuzaji. 06247400
  16. L

    JamiiForums Tanzania Kahawa ya Afrika Inazidi Kupata Umaarufu nchini China

    Na Tom Wanjala Ripoti ya maonyesho ya pili ya kibiashara kati ya Afrika na China yaliyofanyika kuanzia tarehe 26 hadi 29 mwezi Septemba mwaka huu katika mjini Changsha mkoani Hunan, inaonyesha kuwa kahawa kutoka Afrika inazidi kupendwa na wateja wa China. Afrika ni maarufu duniani kwa kilimo...
  17. Wang Shu

    JamiiForums Tanzania Kahawa bora zaidi duniani

    Luwaki Coffee; Hii ni kahawa pendwa zaidi unapata ile radha haswaa ya kahawa. Hutumika zaidi nchi za baridi na restaurant kubwa, Wapenzi wa kahawa tafuteni hii ndio kahawa bora zaidi duniani Karibuni.
  18. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Picha: Zitto Kabwe juu ya meza ya kunywea kahawa. Anajitutumua

    Act wazalendo wanajitutumua ili kupata kura hapo tar 16
  19. Jumbe Brown

    JamiiForums Tanzania Kijiwe Cha KAHAWA na Mambo yake!!

    Unywaji wa KAHAWA hauleweshi na kuiondoa AKILI NA UTAMBUZI WA MWANADAMU..... Unaweza kwenda kijiweni ukiwa na shilingi yako 100 kwa lengo la kupata KIKOMBE KIMOJA TU ilihali nafsi yako inataka kunywa VINGI.... Kama MWENYEZI MUNGU amekupa UCHESHI NA ULIMI FASWAHA WA KUNENA basi anzisha MADA...
  20. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kahawa ya TANZANIA yaongoza kwa ubora duniani, kahawa ya Kenya yawa ya kumi

Back
Top Bottom