Kama mdau niliebahatika kulelewa kwenye mazingira ya kutegemea kilimo cha kahawa kwetu Arusha, nilikua nasikitika sana watumiaji wengi wa kahawa kutojua ladha halisi na fresh ya Kilimanjaro. Kahawa nyingi sio fresh aidha zimekaa sana au quality ya Buni ni sio nzuri. Kwa miaka mitatu iliyopita...
Serikali mmetufanyia dharau wakulima wa kahawa
Mwaka Jana tuliuza kahawa bei ya 7000+ Kwa kilo
Mwaka huu mmetoa bei elekezi ya kuanzia angalau sh 5500
Ila ajabu bei imeshuka
Jana mnada bei imetoka sh 3000 na inasemekana bei utashuka zaidi
Wanunuzi wengi wamesusa kununua kahawa, ikisemekana ni...
Ni dhahiri kabisa ccm watu hawapendi hata kidogo kabisa wiki iliyopita nilikuwa geita basi nilikuwa nikifika kijiweni natupia tu Ccm Haina mashiko/ushawishi kabisa Kwa Sasa halafu natulia kuskilizia....mada ilikuwa inadakwa juujuu na inakuwa ya moto kweli....
Japo kwenye kundi la mamba kenge...
Serikali inaendelea kusimamia sera nzuri na mifumo madhubuti ya usimamizi na uuzaji wa kahawa, kwa lengo la kuhakikisha wakulima wa zao hilo wanaendelea kunufaika kwa kupata bei nzuri na yenye tija.
Kauli hiyo imetolewa na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi na Mbunge wa Karagwe, Innocent...
Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais, Dkt. Samia Suluhu Hassan inaendelea kusimamia sera nzuri na mifumo madhubuti ya usimamizi na uuzaji wa kahawa, kwa lengo la kuhakikisha wakulima wa zao hilo wanaendelea kunufaika kwa kupata bei nzuri na yenye tija.
Kauli hiyo imetolewa na Waziri...
Nakumbuka Maalim Seif na wenzake walishitakiwa na kesi ya Uhaini , Nakumbuka Wazenji nchi nzima ya Zanzibar waliandamana ,yote ni kupinga dhuluma za CCM. Nakumbuka polisi na majeshi hupelekwa Zanzibar kila unapokaribia uchaguzi kwa kutekeleza agizo la CCM kuwakandamiza wazenji na atakae nyanyua...
Habari wakuu
Ivi ni kweli kahawa hua inaongeza hatari kwa mwanaume kupata tatizo la tezi dume kuvimba .
Hii ni kutokana na experience niliyoiona kwa sehemu ambazo zinazalisha zao la kahawa wanaume wengi ambao wana umri wa miaka zaidi ya 45 kua na tazizo hili. Kwenu wakuu
Kahawa ya Tanzania kukuza ushirikiano wa kiuchumi baina ya Tanzania na Italia
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Mahmoud Thabit Kombo (Mb.) ameshiriki katika Mdahalo wa Wadau wa kukuza mnyororo wa thamani wa kahawa inayozalishwa barani Afrika uliofanyika pembezoni...
Nipo mbeya vijijini kwa sasa ni msimu wa kuvuna maharage. Kuanzia mwezi wa nne, tunaanza kuvuna zao la kahawa.
Nimeona kuna watu wengi wanaojihusisha na ununuaji wa kahawa mbichi (cherry) na kavu.
Nimekuja kwenu baada ya kufanya utafiti wa biashara hii. Hii biahsara ina faida kwa wenye...
TANZANIA imetajwa kuwa mzalishaji bora wa kahawa ya Robusta baada ya aina ya Chama cha Ushirika cha Kilimo cha Wilaya ya Ngara (AMCOS) kushinda tuzo ya Ladha ya Mavuno ya 2025 iliyotolewa na Chama cha Wazalishaji Kahawa Bora Afrika (AFCA).
Wakiwakilishwa na Ubumwe Company Ltd, wakulima...
Wakuu sijui ni kuwa addicted tu au ndo uhalisia ulivyo mimi kahawa yangu pendwa ni Nescafe Gold huniambii kitu asee.
Kwanza huwa haina uchungu wala ladha za ajabu ajabu ladha yake imetulia Bali na hayo yote inachangamsha sana.
Vipi wewe kahawa yako pendant ni ipi?
Rais Samia akifungua Mkutano wa 3 wa Nchi Zinazozalisha Kahawa Afrika Februari 22, 2025 Ukumbi wa JNICC Dar es Salaam
https://www.youtube.com/live/g5djiMf20HY?si=9JV2vTK9WBrKcyKu
Wageni kutoka mataifa mbalimbali barani Afrika wakishiriki Mkutano wa Tatu wa Nchi Zinazozalisha Kahawa Barani...
dkt. samia
dkt. samia suluhu hassan
jamhuri
jamhuri ya muungano
kahawakahawa afrika
mbalimbali
mkutano
muungano
nchi zinazozalisha kahawa
pamoja
rais
rais samia
rais wa jamhuri
samia
samia suluhu
samia suluhu hassan
suluhu
tanzania
uzalishaji wa kahawa
viongozi
wageni
Kutakua na mkutano mkubwa wa kahawa barani Afrika utakaofanyika tarehe 21–22 Februari 2025 katika Julius Nyerere International Convention Centre (JNICC), Dar es Salaam, Tanzania.
Mkutano huu unaongozwa na Mhe. Dr. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Mkutano una lengo...
MBUNGE WA JIMBO LA NGARA MH. NDAISABA RUHORO AKONGA MIOYO YA WAKULMA WA KAHAWA
Mbunge wa Jimbo la Ngara Mheshimiwa Ndaisaba George Ruhoro amehudhuria Mkutano Mkuu wa Chama Cha Ushirika Ngara Farmers Cooperative Society 2024-2025.
Akizungumza na Wakulima pamoja na Wanachama wa Ngara Farmers...
Mbowe ameumiza watu wengi sana kwenye hizi siasa za Upinzani safari hii asiruhisiwe kabisa.
Mzee Mbowe Kamfukuza Zitto Kabwe Kisha jamaa kaanzisha chama Cha ACT Wazalendo Sasa Kinaongoza Serikali na kaamua kustaafu Mzee Mbowe yeye bado anafukuzia miaka ya MKwewe ili kustaafu (68)
Tanzania ina ardhi kubwa kuliko Uganda, lakini kuna watu wa Bukoba wanaotamani wangekuwa wanaenda kuiuza kahawa yao nchini Uganda.
Tanzania inayo bandari, lakini Mganda akitaka kusafirisha kahawa yake, kama siyo kwa ndege, basi atalazimika kuitumia bandari ya Tanzania au ya Kenya.
Pamoja na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.