Nimeshangazwa na majibu ya mkuu wa chama cha ACT Wazalendo ndugu Zitto Kabwe aliyoyatoa kwenye mtandao wa twitter.
Zitto alikuwa akimjibu mwananchi mmoja aliyekuwa akionyesha frustrations zake juu ya uamuzi wa chama cha ACT kujiunga na Serikali ya CCM huko Zanzibar katika kile kinachoitwa...
Ni vigumu sana kuamini kwamba Zitto Kabwe ambaye wiki chache zilizopita alikuwa mshirika wa Chadema leo ni mshirika wa CCM. Nadhani maneno yangu hayatakuwa na nguvu kama hii picha. Najiuliza maswali mengi kama watanzania wengine, ila majibu sipati.
Zitto atawaambia nini watanzania kuanzia sasa...
Nakumbuka uliwahi kututangazia mali na madeni yako kulingana na katiba ya chama chenu cha ACT inavyowataka. Binafsi leo hii nakuomba utueleze hali ya madeni yako, na ikiwezekana utueleze unatarajia kuyalipa vipi nje ya ubunge in case bado unayo.
Vile vile utueleze kama uliingia madeni mapya...
Wanabodi
Anza na kumsikiliza
Kufuatia kilichotokea tokea leo Zanzibar kwa Maalim Seif kuapishwa kuwa Makamu wa Kwanza wa rais Zanzibar, nimefarijika sana, na kurudisha matumaini kuwa angalau Tanzania japo hatuna any serious and credible opposition, lakini angalau tunao responsible opposition...
Hii ni baada ya ACT Ku-Surrender kwa ma CCM.
Maalim kwa sasa na kwa nafasi yake anatakiwa ndio awe KC na Zitto atafute nafasi nyingine.
Sababu iliyo wazi kabisa ni kuwa Mara baada ya Zitto kukubali kuungana na Seif, ni wazi kabisa Zitto alikubali "kukiuza" chama kwa Seif na kundi lake. Sio...
Kwa mtu anayezijua vizuri siasa za nchi hii lazima atakuwa anajua kuwa bila ''mkono'' wa CCM, Zitto Kabwe asingekuwa hapa alipo kisiasa!
Ukweli huu ndio ambao ulimfanya Zitto Kabwe kutoaminika ndani ya chama chake cha mwanzo (CHADEMA) mpaka chama kikaamua kumfukuza uanachama!
Malezi yake ya...
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Hussein Mwinyi amemteua Maalim Seif Shariff Hamad, kuwa Makamu wa kwanza wa Rais wa Zanzibar kuanzia leo Disemba 06, 2020.
=====
Taarifa kwa vyombo vya Habari
Kwa kuzingatia matakwa ya Kifungu cha 9(3) cha Katiba ya Zanzibar ya Mwaka...
ADO SHAIBU: Kamati kuu ilikutana jana jijini Dar es Saalam Tarehe 5 Disemba katika hoteli ya Onomo ambayo iko Posta kwa ajili ya kutafakari hali ya kisiasa inayoendelewa nchini kwetu.
Tumetoka katika uchaguzi uliofanyika tarehe 28 ya mwezi Oktoba, uchaguzi ambao ulitawaliwa na uchafuzi mkubwa...
"Polisi wanajibu hoja, kesho tunatarajia mahakama itatoa Amri ya kuachiwa Nasoro Mazurui. Sisi viongozi wa ACT- Wazalendo hatutalala hadi tuhakikishe viongozi wote waliokamatwa kwa hila wameachiliwa" Zitto Kabwe
Amenukuliwa Zitto kabwe kiongozi mkuu wa ACT-Wazalendo kupitia ukurasa rasmi wa...
TUMEYASHINDA MABEPARI,TUMEYASHINDA MABEBERU,TUMEWASHINDA VIBARAKA WAO TINDU LISSU,ZITTO KABWE NA ROBERT AMSTADERM.
Leo 09:30hrs 01/11/2020
Ushindi wa Chama Cha Mapinduzi wa asilimia 84.5% umerudisha heshima kwa Wapigania Uhuru wote waliopambana kuleta Uhuru mwaka 1961,Ushindi wa CCM umerudisha...
Kwa upande wetu @ACTwazalendo na kutokana na Taarifa tulizokusanya mpaka sasa: Wananchi 13 wameuawa kwa kupigwa risasi na mabomu katika maeneo mbalimbali ya Zanzibar, Watu 130 Wamejeruhiwa, Watu 120 Wamekamatwa na Polisi, mtu Mmoja Amebakwa na Watu 14 Wametekwa Akiwemo Naibu Katibu Mkuu wa Chama...
Jeshi la Polisi @tanpol wamevamia Ofisi ya ACT -Wazalendo Kata ya Vingunguti ili kumkamata Kiongozi wa Chama, Zitto Kabwe aliyekuwa Ofisini hapo kuratibu Maandamano kwa Njia ya Buguruni kuelekea Tume ya Taifa ya Uchaguzi
===
Mgombea wa CCM jimbo la Kigoma mjini, Kilumbe Ng'enda ametangazwa mshindi baada ya kupata kura 27, 688 huku Zitto Kabwe wa ACT Wazalendo akipata kura 20, 600. Akitangaza matokeo hayo msimamizi wa uchaguzi, jimbo hilo Mwailwa Pangani amesema kura zilizopigwa ni 50268.
Zitto: Licha ya kuingiza...
Amesema meli iliyopokelewa leo kwa mbwembwe na wanaCCM si ya Tanzania bali ni mali ya DRC.
Ameongeza kuwa ni aibu Tanzania kutokuwa na meli na kutegemea ya DRC
Chanzo: Zitto kabwe on all social media
MSIMAMO RASMI WA ACT WAZALENDO KUSHIRIKIANA NA CHADEMA.
Hivyo basi, baada ya maelezo hayo, natangaza rasmi kwa Wanachama, Wafuasi, wapenzi wa ACT Wazalendo na Watanzania kwa Ujumla, kuwa:
1. Pale kwenye Kata ama Jimbo ambalo ACT Wazalendo tuna Mgombea, tunaomba Muwapigie Kura wagombea wa ACT...
Kiongozi wa chama ndugu Zitto Kabwe amepata ajali mida hii huko Kigoma kusini akiwa na watu wengine wanne jumla watu 5 wote wazima japo kiongozi ana majeraha anapelekwa hospitali habari zaidi kufuata baadaye.
======
Kiongozi wa Chama cha ACT-Wazalendo, Ndugu Zitto Zuberi Kabwe amepata ajali...
Leo nataka kuteta kidogo na Ndugu Zitto Kabwe,Kijana uliejizolea umaarufu mitandaoni na kuyasahau matatizo ya wananchi wanyonge katika jimbo lako la Kigoma Mjini.
Hakika umekuwa machachari kwa kujenga hoja,kukosoa Serikali ,kuponda na hata kutukana na kubeza kila kitu kinachofanywa na serikali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.