kabwe

  1. Barbarosa

    JamiiForums Tanzania Hivi Zitto Kabwe ni Communist?

    Je, Zitto Kabwe ni mmoja wao? Nimeona anavaa kama communist Mao, anahubiri anarchy kama communist wa South America, alikutana na Corbyn wa Uingereza ambaye ni certified communist. Je, huyu jamaa ni kweli communist au ni communist wanna be, communist ni watu hatari sana, Communist Mao Zedong...
  2. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Kiongozi wa chama wa ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe, amesema kupanda kwa bei ya mahindi ni kwa sababu serikali hainunui chakula cha akiba

    Zitto alisema Rais John Magufuli ameongelea bei ya unga kupanda yupo sahihi kwa wakulima wanapaswa kupata bei nzuri ya mazao na serikali haipaswi kuingilia. “Amejifunza makosa ya korosho? Lakini sababu za bei kwa walaji kupanda ni serikali kutonunua chakula cha akiba Zitto aliandika ujumbe huo...
  3. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Chama cha ACT - Wazalendo chajiondoa kwenye uchaguzi wa Serikali za Mitaa

    Hayo yametangazwa na kiongozi wa chama hicho Mh Zitto Kabwe. ACT WAZALENDO CHAIFUATA CHADEMA, CHAJITOA KUSHIRIKI UCHAGUZI. Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe ametangaza kuwa chama hicho kimejitoa kushiriki Uchaguzi wa Serikali za Mitaa utakaofanyika Novemba 24, 2019 kwa sababu...
  4. technically

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe mbona huwa hakamatwi kwa uchochezi na uzushi kama ilivyo kwa wapinzani wengine?

    Kila kitu anachozusha Zitto serikali huwa haitoki kukanusha kuanzia ripoti za uchumi IMF, kuongezeka kinyemela kwa figa ya mishaara ya wafanyakazi, kuuwawa na kuzikwa watu kule Kigoma, na mambo mengine kibao ila waliposema hayahaya wakina Lema na Sugu walikamatwa na kuwekwa ndani kwa muda mrefu...
  5. Zitto

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe: Buriani Mzee James Mapalala, Wajibu umeutimiza

    Buriani Mzee James Mapalala, Wajibu umeutimiza Zitto Kabwe James Kabalo Mapalala ametangulia mbele ya haki. Mwenyezi Mungu ndiye anajua amali zake duniani na yeye ndiye atampima kwa matendo yake. Lakini Mzee huyu alitimiza wajibu wake kwa sisi wanadamu tunaoishi Tanzania. Mimi sikuwa...
  6. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Kuiteketeza CCM jukwaani kunahitaji siku chache tu. Zitto Kabwe afunika Kigoma, uwanja wafurika hadi kuzidiwa

    Kuzuia siasa za Majukwaa na uminyaji wa Demokrasia kwa miaka minne hakujaokoa ccm hata chembe , bado tegemeo lao kubwa litabakia kuwa Polisi na dola kwa ujumla . Ushahidi huu hapa
  7. abdul_eliesikia

    JamiiForums Tanzania Zitto ni mtu makini sana

    Nimesikiliza Press conference ya Kiongozi wa Chama cha ACT wazalendo Mhe Zitto leo na kukubaliana na hoja za wengine kuwa Zitto is a well informed person na yuko vizuri sana kuelezea. Ripoti ya 1.5 Trln ni moto sana. Sikiliza hapa. Go Zitto. Mie naamini huyu jamaa atatusaidia sana nchi hii...
Back
Top Bottom