kabwe

  1. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Wahuni wa CCM na Zitto Kabwe wameungana kumchafua hayati Magufuli. Wana kisasi sababu alizuia mianya yao ya kufanya ufisadi

    Kumbe kuna kundi kubwa la wanasiasa hapa Tanzania wana kinyongo na hayati JPM sababu alisimama kidete kulinda pesa za umma na kuwafanyia makubwa watanzania kwa kipindi kifupi akiwa rais wa JMT. Kuna kundi la wanaCcm ambao huko nyuma walinufaika na ufisadi kupitia deal kama Epa, Kagoda Escrowa...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Barua ya wazi kwa Zitto Kabwe: Jitoe kwenye Kamati ya Msajili wa Vyama vya Siasa, hana nia njema

    Ndugu Zitto Kabwe, Kiongozi wa chama cha ACT Pole na majukumu ya kazi zako. Nakuandikia hii barua ili mimi na wewe tuweze kureason, na kuchukua hatua sahihi ya kisiasa inayoendelea nchini kwa manufaa ya usitawi wa demokrasia nchini. Mheshimiwa, Zitto Mimi binafsi ni miongoni mwa watu waliokupa...
  3. Q

    JamiiForums Tanzania Mbowe: Sijaomba msamaha wala sijamtuma mtu kuniombea msamaha

    KM wa CHADEMA, @jjmnyika akisoma ujumbe wa mwenyekiti @freemanmbowetz baada ya kujulishwa mbanga za zambarau na MaCCM kumtaka aombe msamaha kwa tuhuma za ugaidi. Freeman anasema yupo tayari kusibiri hata miaka 20 gerezani ili tu ukweli ujulikane hata kama mahakama haziaminiki. “sijaomba msamaha...
  4. Mindi

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe Jitafakari

    Nilimsikiliza Zitto Kabwe, mmoja wa vigogo katika viongozi wa vyama vya siasa vya upinzani hapa Tanzania, akitoa hotuba yake katika mkutano wa Baraza la Vyama vya siasa. Nilimsikia akimuomba Rais Samia, kwa unyenyekevu mkubwa, "asaidie" ili Mbowe awe huru. Nilisikiliza pia majibu ya rais...
  5. nyboma

    JamiiForums Tanzania Je? Zitto Kabwe ni kibaraka wa awamu ya tano chini ya serikali ya Samia Suluhu Hassan

    Jumuiya ya kimataifa (wabeberu) wameikalia kooni serikali ya Mh. Samia Suluhu, kwa kutuma mawakala wake kufuatilia kila hatua jinsi kesi ya kubumba (mchongo) inayomkabili Mh. Mbowe na kutuma ripoti kwa kila hatua inavyoendeshwa. Na wameahidi hakuna kutuma misaada hadi pale watakapomuachia Mh...
  6. Mtondoli

    JamiiForums Tanzania Tujifunze kushukuru! Zitto hatafuti umaarufu, alishakuwa maarufu tangia zamani

    Niwakumbushe nyinyi mlioingia kwenye siasa juzi, mjue kwamba Zitto kwa kumuomba rais amwachilie mbowe hatafuti umaarufu, alishakuwa maarufu wakati ambao hawa wanaopiga kelele wote hawapo. Zitto kabla ya Lissu alikuwepo na alikuwa maarufu, kabla ya mnyika, Kigaila Heche, Msigwa, Sugu na...
  7. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania ACT-Wazalendo watangaza kushiriki kikao cha wadau wa siasa. Watoa sababu za kushiriki

  8. Naipendatz

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe: Ni dhahiri tatizo la Umeme limetokana na kupuuzia Miradi ya Umeme wa Gesi Asilia

    Ni dhahiri tatizo la Umeme limetokana na kupuuzia Miradi ya Umeme wa Gesi Asilia. Uongozi wa sasa utupe jawabu la changamoto hii twende mbele. Changamoto ya Maji imesababishwa na nini? Nani alizuia Mradi wa Bwawa la Kidunda? Visima vya Kigamboni? Je tusubiri mvua? Isiponyesha?
  9. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania Zitto: Magufuli aliendesha nchi Kwa kudanganya, sasa tunatumia uongo ule kuwapima walioko madarakani

    ZITTO AMTETEA JANUARY MAKAMBA "Ukweli usemwe, awamu ya tano hakuna ongezeko la uzalishaji umeme lililofanyika, miaka5 bila kukarabati njia za umeme, Magufuli aliendesha nchi kwa kudanganya, sasa tunatumia uongo ule kuwapima walioko madarakani, hatujaogeza hata 1MW kwa miaka 5"@zittokabwe
  10. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe: Vitalis Maembe aachiwe mara moja, anaonewa.

    Nawataka Jeshi la Polisi Tanzania @tanpol kumwachia Huru mara moja ndugu Vitalis Maembe. Polisi Mkoa wa Pwani wamefanya la hovyo sana kumkamata Vitalis kutokana na kazi yake ya kisanii ya wimbo wa Kaisari. Haivumiliki na tunataka Vitalis aachiwe Huru SASA HIVI https://t.co/QKqRbVOrqm
  11. ESCORT 1

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe: Hayati Magufuli alikuwa ananichukia

    Kiongozi wa ACT ndugu Zitto Kabwe akiwa katika kipindi cha Salama Na kinachorushwa Dstv, amekiri kuwa Hayati Magufuli alikuwa anamchukia sana. Zitto ameongeza zaidi, Magufuli hakuwa na hekima, aliamini katika ubabe, hivyo nilianza kumpinga hapo ndipo chuki yake kwangu ilipoanza. Zitto alifika...
  12. mugah di matheo

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe: Simbachawene usipigane na teknolojia, huwezi kushindana na kazi ya kukua kwa majukwaa ya mazungumzo

    Kupitia ukurasa wake wa Twitter bwana Zitto Kabwe amemuasa Waziri wa Mambo ya ndani bwana Simbachawene aache kuzuia social media kama space na Ch's badala yake yeye mwenyewe azitumie vizuri zitamsaidia kufikia watu
  13. Emanuel Eckson

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe, James Mbatia Wahudhuria kesi ya Uhujumu Uchumi yenye Mashtaka ya ugaidi ndani yake inayomkabili Mbowe

    Kiongozi wa ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe na Mwenyekiti wa NCCR-Mageuzi, James Mbatia ni miongoni mwa watu waliohudhuria kesi ya Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe inayofanyika Leo Agosti 31, 2021 katika Mahakama kuu kitengo cha Uhujumu Uchumi Jijini Dar es salaam. Mwenyekiti wa TCD, Zitto...
  14. mugah di matheo

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe aanza majukumu ya TCD

    Mwanasiasa Zitto Kabwe ambaye hivi karibuni alichaguliwa kuwa mwenyekiti wa jukwaa la demokrasia nchini (TCD) ameanza majukumu yake hayo kwa kukutana na kufanya mazungumzo na bwana John Mnyika Katibu Mkuu wa CHADEMA taifa. Zitto Kabwe ameeleza dhamira yake ya kutumia jukwaa hilo kuleta...
  15. Slowly

    JamiiForums Tanzania Hoja Saba za Zitto Zuberi Kabwe kwa yanayoendelea nchini

    Kupitia ukurasa wake wa Twitter anaandika Zitto. 1.Rais na Serikali yake wanajua wazi kuwa Mbowe Si gaidi,na hilo watanzania wote wanalifahamu kuendelea kumshikilia kwa mashtaka ya kubumba kunaenda kufuta matumaini ya dunia kwa Raisi Samia kuwa Tanzania ilianza kurudi ktk misingi ya Demokrasia...
  16. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe, haya yote wewe hayakuhusu? Naona umeamua kunyamaza; hutaki kumshika mkono kipofu?

    Kwenye siasa Zitto anaendeshwa na mambo makuu mawili. 1. Pesa (Je, atafaidikaje kwa jambo fulani). 2. Position (Je, anaweza pata nafasi gani ya kumpatia kipato au deals ) 3. Imani (aliyeko madarakani ni Dini gani?) Hayo ndiyo humwendesha Zitto Kabwe. Kama Dini yako ni tofauti na yake lakini...
  17. The Assassin

    JamiiForums Tanzania Uongo wa Zitto Kabwe

    Fack check Supreme leader and Chief Advisor wa ACT Wazalendo Bw. Zitto Kabwe ameandika kwenye mtandao wa Twitter kua Tanzania haijawahi kutokea mkuu wa mkoa, RC ama mkuu wa wilaya DC kushtakiwa akiwa ofisini katika historia ya Tanzania. Zitto hua sio mwanasiasa wa kumuamini, wanasiasa wote ni...
  18. J

    JamiiForums Tanzania Spika Ndugai anawatafuta Tundu Lissu na Zitto Kabwe Bungeni hawaoni, wapo akina Nusrat Hanje

    Ukimsikiliza sana Spika Ndugai anavyohuzunikia bunge lake ni kana kwamba anawatafuta wabunge wa " kujiripua" dhidi ya Serikali lakini hawaoni waliomo wote ni maajenti wa Serikali. Na itawezekana Ndugai ataweweseka zaidi kwa sababu akina Lembeli ambao walau waliisaidia CCM kuibana serikali...
  19. J

    JamiiForums Tanzania Laana ya mzee Membe itaendelea kumtafuna Zitto Kabwe hadi ACT wazalendo itakapokufa

    Kitendo cha KC wa ACT wazalendo Zitto Kabwe kumtelekeza mgombea wa chama chake mzee Membe na kumuunga mkono Tundu Lisu wa Chadema wakati wa uchaguzi mkuu hakikuwa cha kiungwana kabisa. Kwa sasa Zitto Kabwe anafanana na Augustino Lyatonga Mrema kwa kila kitu katika medani za siasa. Laana ya...
  20. MsemajiUkweli

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe ''awashukia'' vikali wanaozodoa ACT-Wazalendo kwa kushiriki Uchaguzi mdogo Kigoma

    Zitto Kabwe amewaambia wanaoizodoa Act-Wazalendo kwa kushiriki Uchaguzi Mdogo kuwa wanasumbuliwa na ushamba. Haya ameyaandika baada ya baadhi ya watu ambao anawaita ''wenzetu'' kuanza kumzodoa wakati walisusia uchaguzi na chama chake kikaheshimu uamuzi wao wa kususia uchaguzi. Maelezo haya...
Back
Top Bottom