kabla

Einav Kabla (Hebrew: עינב קאבלה‎, born 27 September 1979) is an Israeli lawyer and politician. She served as a member of the Knesset for the Blue and White alliance.

View More On Wikipedia.org
  1. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu: Bandari imepewa DP-World kwa kuwa utendaji wa TICTS ni mdogo

    Akielezea suala linaloendelea kuhusu mkataba wa DP-World na Tanzania ametoa sababu kuwa ni utendaji kazi mdogo wa TICTS ambao umesababisha meli nyingi ziwe zinashushia mizigo Lamu, Mombasa au Afrika kusini hali ambayo imepunguza wateja wa Bandari ya Dar es salaam. Waziri Mkuu, Kassimu Majaliwa...
  2. Intelligent businessman

    JamiiForums Tanzania Wanaume tukumbushane mapema, kabla jua halijazama

    Bro, Wanaume wa UWABATA wanaangamia kwa kukosa maarifa, wanapotea, wanaenda kwa mkumbo, hawajui hata lengo la maisha yao ni lipi, wanapeperuka, wamekosa uzito, wameshindwa kukaza, wamekuwa kama bendera. Tuwashutue au tuwaache? Hachana nao bro, acha wapotee, hawajielewi, acha wajipalie mkaa...
  3. UMUGHAKA

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni rahisi mwanamke kutaka wapime kabla ya sex ila ni ngumu kwa wanaume kupendekeza hivyo, tatizo ni nini?

    Nsikuchoshe na Usinchoshe,tusichoshane! Huwa ni rahisi sana kwa mwanamke anapopata mwanaume au anapotongozwa na mwanaume na kumkubalia kuomba kabla ya tendo la kujamiiana wapime kwanza hasa Ugonjwa wa Upungufu wa Kinga Mwilini(UKIMWI) ila huwa ni ngumu sana kwa mwanaume anapomtongoza mwanamke...
  4. The Boss

    JamiiForums Tanzania Kabla ya kumkosoa Rais Samia, tumuombe radhi kwanza Hayati Mkapa na familia yake na washauri wake

    Sisi wengine tulikuwepo wakati Rais Mkapa (1995-2005)anatukanwa kila siku kuwa "anauza nchi Kwa makaburu".....ilifikia wakati hadi nyimbo zilitungwa zikimuimba naukumbuka wimbo mmoja .."Kama sio juhudi zako Nyerere, Mkapa angeuza nini"???..Mkapa alikuwa anatukanwa kisa ni kuleta wawekezaji wa...
  5. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Nisaidieni: Namnyofoaje baba yangu kwenye Shirika kabla Rais Samia hajamuwajibisha?

    Nipeni ushauri, mshua wangu ni miongoni mwa vikonge vilivyosalia kwenye shirika X, na juzi usiku tukiwa mezani tunakula Kwa mbali nilimwona presha imempanda nilivyomuuliza kisa nini akadai anawaza ile kauli aliyoitoa Rais Dr Samia kuhusu mashirika yasiyo na faida. Mzee anadai hawezi nyofoka...
  6. Replica

    JamiiForums Tanzania Serikali: Walimu sasa kufanya mtihani wa kupima uwezo kabla ya kuajiriwa

    Ule mtazamo kuwa taaluma ya ualimu ni chaguo la mwisho baada ya kukosa fursa nyingine unakaribia ukingoni, baada ya Serikali kutangaza utaratibu mpya katika ajira za taaluma hiyo. Utaratibu huo, kwa mujibu wa Waziri wa Elimu Sayansi na Teknolojia, Profesa Adolf Mkenda utahusisha, ili uajiriwe...
  7. Dr Matola PhD

    JamiiForums Tanzania Napinga mchakato wa kupata katiba mpya kabla ya uchaguzi wa 2025, Watanzania tukatae maigizo ya wanasiasa. Imetosha

    Bila kutumia Maneno mengi wote tunajuwa mabilioni ya pesa za walipa kodi yalivyohujumiwa na wanaccm kukwamisha katiba pendekezwa ya tume ya Warioba. Sasa kuna wanasiasa wanadhani tumesahau au sisi ni wajinga, eti wanataka katiba mpya kabla ya uchaguzi wa 2025 halafu bunge hili la DP ndio...
  8. M

    JamiiForums Tanzania SIASA ZA VITA: Imeanza kuzungumzwa kwa dhati kama hapo kabla Marekani haijatumia bomu la nyuklia, kuwa inaepusha mauaji zaidi kwa kutumia nyuklia!

    Baada ya mamilioni ya watu zaidi ya 30,000,000 kufa katika nchi mbalimbali kutokana na vita kuu ya pili ya dunia, washauri wa mambo ya vita wa marekani walimshauri raisFranklin Delano Roosevelt wa wakati huo kuwa, ili kumaliza vita hivyo, inabidi aidhinishe matumizi ya bomu la nyuklia (wakati...
  9. M

    JamiiForums Tanzania SIASA ZA VITA: Imeanza kuzungumzwa kwa dhati kama hapo kabla Marekani haijatumia bomu la nyuklia, kuwa inaepusha mauaji zaidi kwa kutumia nyuklia!

    Baada ya mamilioni ya watu zaidi ya 30,000,000 kufa katika nchi mbalimbali kutokana na vita kuu ya pili ya dunia, washauri wa mambo ya vita wa marekani walimshauri raisFranklin Delano Roosevelt wa wakati huo kuwa, ili kumaliza vita hivyo, inabidi aidhinishe matumizi ya bomu la nyuklia (wakati...
  10. Magufuli 05

    JamiiForums Tanzania Kabla ya kuwapa bandari DP World tumetafakari kuhusu usalama wa nchi yetu?

    Watanzania, Bunge letu, Bandari ni zaidi ya tunavyofikiria. Usidhani kwamba ni kupokea containers za mizigo ya kawaida tu. Yapo mambo mengi mno ya kijasusi ambayo hatujayafanyia upembuzi yakinifu. 1. Asilimia kubwa ya zana zetu za KIVITA hupitia Bandarini. Je, tukiwapa DP kutakuwa Tena na...
  11. matunduizi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hii tafsiri ya cheti cha ndoa, ikusaidie kujitafakari sana kabla hujakisaini

    Ndoa kiroho ni agano. Unaposaini cheti cha ndoa au unapoingia agano hilo kwa makubaliano mengine yoyote unatakiwa ujue unachokiingia. Siku hiyo unasaini hati ya Kufanikiwa kwako au kufeli kwako maishani Furaha yako au huzuni yako hadi unaingia kabrini. Maisha ya migogoro au amani Nini...
  12. FaizaFoxy

    JamiiForums Tanzania Sijui kwanini, nahisi kama Kassim Majaliwa Majaliwa atang'olewa Uwaziri Mkuu kabla ya 2025

    Hisia zangu zinazonionesha kuwa Kassim Majaliwa Majaliwa anapwaya sana katika timu ya Mama Samia hazijaja bure, bali nimekuwa nikimtazama na kumfatilia sana utendaji wake katika hii miaka miwili akiwa chini ya Mama Samia, kwa kumliganisha na hapo alipokuwa chini ya mwendazake. Hata hivi sasa...
  13. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Mwanamke aamka kwenye Jeneza muda mfupi kabla ya kuzikwa

    Mwanamke aliyetambulika kwa jina Bella Montoya (76) kutoka Ecuador amewaacha watu kwenye mshangao baada ya kukutwa akihangaika kuvuta pumzi kwenye Jeneza wakati ndugu walipotaka kumvalisha mavazi maalumu ya mazishi. Kwa mujibu taarifa ya Wizara ya Afya, mwanamke huyo alipata tatizo la Mshtuko...
  14. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Mashabiki wa Manchester City na Inter Milan tukutane hapa kabla ya Fainali 10-06-2023

    Salamu kwenu nyote. Final ya UEFA champions league ya miamba, patashika isiyo ya mkato wa shoka. Vumbi si vumbi , midfield battle, possession vs counter attacks, number of shorts and efficiency, presence in final third, set pieces threats, conversion of chances created, 3-5-2 formation...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Azam hiki mlichokifanya kwa Fei Toto ndicho mlitakiwa mkifanye kabla na sio kutaka kupitia mlango wa nyuma

    Ni dhahiri sasa kwa heshima ya kùmheshimu Mama yanga wamemuuza rasmi Feisal Salum kwa Azam fc kwa makubaliano maalum ya kimkataba, na atatambulishwa muda wowote kuanzia sasa, jambo hili ndilo lilitakiwa lifanywe na azam kabla ya kutaka kupitia mlango wa nyuma na kutaka kumpata kwa bei ya...
  16. benzemah

    JamiiForums Tanzania Bunge lakaribisha maoni, kuhusu mapendekezo ya kuridhia makubaliano mkataba kati ya Tanzania na kampuni ya Saudia kuendesha bandari Dar es Salaam

    Kamati ya Pamoja (Joint Committee) ya Bunge ya Mindombinu na ya Uwekezaji wa Mitaji ya Umma (PIC) inawaalika wadau kutoa maoni kuhusu Azimio la Bunge kuhusu Mapendekezo ya Kuridhia Makubaliano kati ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Serikali ya Dubai kuhusu Ushirikiano wa Kluchumi...
  17. Ng'wanamangilingili

    JamiiForums Tanzania Yanga tupeane majibu ya eneo la Kigamboni kabla ya Jangwani

    Sisi wakereketwa Mwananchi anauliza kabla ya maombi yenu kumuomba Rais upanuzi wa eneo la Jangwani kwa ajili ya kujenga Kiwanja cha kisasa hajayafikiria mtupe mrejesho wa lile eneo alilowapa RC enzi zile Bwana Paul Christian Makonda kule Kigamboni iliishia wapi? Kwa maendeleo ya mpira.
  18. T

    JamiiForums Tanzania Zanzibar imemtangazia nani kwamba ina maeneo yake Bagamoyo?

    Ni mwananchi au pia serikali ya Tanganyika? Tangu nimezaliwa sikuwahi kufahamu achilia mbali kufahamu, hata ile kusikia tu jambo hilo kwamba Zanzibar ina maeneo yake Bagamoyo huko Razaba, Ni sababu zipi Zanzibar imeamua kulitangaza eneo lake leo? Kumetokea nini? Na Je! Historia inasemaje...
  19. Jaji Mfawidhi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Pima kabla ya kuingia kwenye ndoa, usitake kujuta

    1. HIV -UKIMWI 2. Rhesus 3. Genotype 4.Hepatitis B 5. Hepatitis C 6. Magonjwa sugu 7. Magonjwa ya akili 8. Makundi ya damu 9. Magonjwa ya zinaa 10. Magonjwa ya kurithi11.Vipimo vya uzazi, mbegu za kiume na mirija kuziba NB: The spiritual status of both families, wengine wachawi...
  20. J

    JamiiForums Tanzania TBS yawataka wananchi kusoma taarifa zilizopo kwenye vifungashio vya bidhaa ili kuepuka madhara ya kiafya kabla ya matumizi

    SHIRIKA la Viwango Tanzania (TBS) limewataka wananchi kusoma taarifa zilizopo kwenye vifungashio vya bidhaa hususani za vyakula ili kuepuka madhara mbalimbali ya kiafya yanayoweza kujitokeza. Akizungumza na waandishi wa habari leo Mei 29,2023 Jijijini Dar es Salaam, Kaimu Meneja wa Ukaguzi na...
Back
Top Bottom