DR-Congo: Mwanajeshi apiga Risasi Ndugu na Waombolezaji kwa Kumzika Mwanae wa Kiume kabla hajafika

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
54,763
103,547
Hiki Kiherehere kipo sana tu na Maeneo mengine labda alichofanya huyu Mwanajeshi kitakuwa Funzo Kwenu.

Taarifa Kamili: Aljazeera.com

===

A soldier in the northeastern Democratic Republic of the Congo opened fire on family members and others who had buried his son before he could arrive home to attend the ceremony, killing 13 people, officials said Sunday.

The attack late Saturday in the village of Nyakova on the banks of Lake Albert in the province of Ituri, left the soldier’s wife, in-laws, and two of his children dead, said Lt Jules Ngongo, a spokesperson for the army in Ituri province, where the killings took place.

Eight other children were among those also killed by the unidentified soldier.

The soldier arrived home from his post at another village in the province to find family and community members gathered in mourning for his son, who died on Thursday of natural causes, said Baraka Muguwa Oscar, the local village chief.

“This soldier did not like the fact that his son … was buried without his approval and in his absence,” Oscar said.

Search teams comprising members of the Congolese military have been dispatched to apprehend the soldier who fled the scene after the attack.

“No matter what the case, the time, or the circumstances, you can’t take a person’s life. This is an act of indiscipline that will be dealt with by the courts,” said Ngongo, the army spokesperson.
 
Hawa 'arsenal' akili zao huwa haziko sawa, hata wakiwa na gun zao kwenye malindo yao wakiudhiwa na familia zao wanaweza kukurupuka na kwenda na kwenda kuwalabua watakaokuwa karibu. Wake za maaskari huwa watiifu sana kwa waume, wanajua wakizingu risasi zitawahusu na usijaribu kumtokea mke wa askari
 
Bhalaa Hilo Amefanya Upuuzi Kuongeza Idadi Ya Vifo Bila Sababu Yoyote
 
Inasikitisha, ingawa pande zote zina makosa; inawezekana hawakumshirikisha kwenye kikao cha familia kuhusu mazishi, swali; kwa nini iwe hivyo?
 
-1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom