CCM imeamua kuuza nchi harakaharaka kabla hawajatolewa madarakani 2025

Msanii

Platinum Member
Jul 4, 2007
22,606
29,755
Umofia kwenu ...

Tukianza na Lolliondo ambapo UAE wameshapamiliki na panasomeka ni eneo lao..... Wamasai wamelazimishwa kuondoshwa kwa nguvu na kisiasa

Songosongo ilitumika kuokoa maisha ya prince. Sasa tunapangiwa mpaka bei ya gesi

Vitalu vya uwindaji vimegeuzwa arena za kutorosha wanyama na maliasili zetu

Bandari ndo hiyooo imeshatua mikononi mwa Dubai huku tukipigishwa kwata la mkataba wa Double Penentration Wocka.

Juzi hapa DG wa NHC ametoa kusudio la serikali kubadilisha sera na sheria ya ardhi ili kuruhusu wageni under kivuli cha wawekezaji kumilikishwa ardhi......

Nini kilichosalia zaidi ya kuuza nchi?

Wananchi wenzangu, tukatae haya yanayoonesha dalili za wazi ama taathira zake za kuuzwa kwa nchi yetu.

Mwaka 2024 na 2025 tufanye maamuzi magumu ili kuokoa kizazi kijacho ambacho watakosa kila kitu kwa uroho wa CCM.

Tatizo siyo viongozi,
Tatizo ni CCM ambapo wema wsmezidiwa na majizi na wauaji

IMG-20230804-WA0017.jpg
 
View attachment 2709277
Ukombozi wa Nchi hii utawahi ikiwa hao Swala pichani wataacha upumbavu wa kumwacha chui mmoja akimla ndugu Yao wakiangalia kw huzuni bila hatua yoyote.

Pembe zao zikitumika vizuri ni silaha tosha.
 
Mwaka 2024 na 2025 tufanye maamuzi magumu ili kuokoa kizazi kijacho ambacho watakosa kila kitu kwa uroho wa CCM.
Kwa vipi? Kwa katiba na tume hii ya uchaguzi hizi ni ndoto za mchana. Tiwekeze nguvu ktk kuiandika katiba bora. Vinginevyo .....
 
Umofia kwenu ...

Tukianza na Lolliondo ambapo UAE wameshapamiliki na panasomeka ni eneo lao..... Wamasai wamelazimishwa kuondoshwa kwa nguvu na kisiasa

Songosongo ilitumika kuokoa maisha ya prince. Sasa tunapangiwa mpaka bei ya gesi

Vitalu vya uwindaji vimegeuzwa arena za kutorosha wanyama na maliasili zetu

Bandari ndo hiyooo imeshatua mikononi mwa Dubai huku tukipigishwa kwata la mkataba wa Double Penentration Wocka.

Juzi hapa DG wa NHC ametoa kusudio la serikali kubadilisha sera na sheria ya ardhi ili kuruhusu wageni under kivuli cha wawekezaji kumilikishwa ardhi......

Nini kilichosalia zaidi ya kuuza nchi?

Wananchi wenzangu, tukatae haya yanayoonesha dalili za wazi ama taathira zake za kuuzwa kwa nchi yetu.

Mwaka 2024 na 2025 tufanye maamuzi magumu ili kuokoa kizazi kijacho ambacho watakosa kila kitu kwa uroho wa CCM.

Tatizo siyo viongozi,
Tatizo ni CCM ambapo wema wsmezidiwa na majizi na wauaji

View attachment 2709277
Hii hoja kuntu

Sent from my SM-A715F using JamiiForums mobile app
 
Hehehe
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom