GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 56,738
- 109,172
Haiwezekani kila mkikutana na Yanga SC mnarudia makosa yale yale yanayowagharimu na Kufungwa kila mkikutana.
Yaani Kocha mwenye Akili anaweza kumuweka Nje Kipa namba moja wa Timu aliyekuwa amekaa Benchini?
Hivi Wachezaji kama Kipre Jr, Amoah na Idi Nado ni wa kutoanza katika First Eleven ya Kocha Mpuuzi wa Azam FC?
Kipa tokea mwanzo tu ameshatuonyesha kuwa Anaogooa na Hajiamini kwanini bado unaendelea Kumuamini na kulikopelekea Kufungwa magoli ambayo angekuwa Imara Kiumakini asingefungwa.
Azam FC sasa ni Mteja wa Kudumu wa Yanga SC na kutizama Mechi zao kwa Siku za baadae ni kupoteza muda tu na ni bora huo muda unaotaka kuangalia Mechi ya Azam FC na Yanga SC ukautumia kwa Kuusoma Mkataba wa Uwekezaji wa Bandari yetu wa Kampuni ya DP World ili Uelimike zaidi.