kabla

Einav Kabla (Hebrew: עינב קאבלה‎, born 27 September 1979) is an Israeli lawyer and politician. She served as a member of the Knesset for the Blue and White alliance.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Osama bin Hamdan wa Hamas asema hakuna kuachia mateka kabla Israel haijatekeleza matakwa yao

    Msemaji mkuu wa Hamas anayeishi Lebanon ameweka wazi kuwa kundi lake la Hamas limefuta mpango wa kubadilishana mateka wa Israel na wafungwa wa kipalestina kabla Israel haijaacha vita na kuondosha vikosi vyake vyote Gaza. Sharti jengine ni jeshi la Israel liondoe vizuizi vyote vya watu kurudi...
  2. JamiiForums Tanzania Mara nyingi mwanamke unamuona mzuri kabla hujamtongoza, ukishamtongoza ndio unagundua lilikuwa ni wenge lako tuu

    Kwema Wakuu!. Kwa sisi wazoefu wa haya mambo. Kama unatafuta mchumba au mke ambaye utataka umuone mzuri daily basi haishauriwi umtongoze vuupuu! Utakwama! Haina tija kwako. Labda awe demu wa eat and drink then pita hivi. Demu ukimuona first day one time, unaweza ukapagawa kwa First impression...
  3. JamiiForums Tanzania Israel yaiomba Hamas iwaoneshe kwanza orodha ya mateka waliobaki nao hai kabla hawajatia saini

    Hamas iliyokuwa ikisubiriwa itoe majibu juu ya mkataba wa kusitisha vita hatimae wamekubali kwenda Misri kumalizia majadiliano ya mkataba huo. Huku Hamas na wapatanishi wengine wakiwa wameshawasili Cairo,ghafla Israel imeomba wachungulie orodha ya Hamas ya mateka iliyobaki nao na ambao wakao...
  4. JamiiForums Tanzania Mwinyi hakuruhusu biashara huria bali yale ni masharti ya SAPs kutoka IMF kabla nchi haijapewa mkopo

    Mimi sio mwandishi mzuri bali mjitahidi kusoma hivyo hivyo Baada ya vita vya kagera hali ilikua mbaya sana kiuchumi na ukizingatia kipindi hicho ussr inapumulia machine kiuchumi Wale wenye akili timamu watakubaliana na mimi miaka ya 1980's mwanzoni hali ilikua ni ngumu sana kwa wananchi na...
  5. JamiiForums Tanzania John Mnyika: Nakiona Kitanzi cha Bima ya Afya kwa wote kabla hata hatujafika Mbali

    Nitashukuru Rais Samia na Waziri Ummy Mwalimu mkatoa maelezo kwa umma ni kwa vipi wakati pricing list ya 2016 (NHIF) inatolewa bei ya petroli ilikuwa shilingi chini ya 1700 kwa lita dola moja ilikuwa chini ya 2100 halafu pricing list mpya ya NHIF inayoanza kutumika kesho Machi Mosi Petroli ikiwa...
  6. JamiiForums Tanzania Kabla ya kuitwa South Afrika iliitwa Azania

    Azania (Kigiriki cha Kale: Ἀζανία) ni jina ambalo limetumika kwa sehemu mbalimbali za Afrika ya kusini-mashariki ya tropiki .Katika kipindi cha Warumi na pengine hapo awali, jina la juu limekisiwa kuwa lilirejelea sehemu ya pwani ya Kusini-mashariki mwa Afrika inayoenea kutoka kusini mwa Somalia...
  7. H

    JamiiForums Tanzania Kabla hujakopa ama kukopeshwa na app za mitandaoni elewa yafuatayo

    Wanajamvi kufuatia mkopo aliyokopa mdogo wangu kwenye APP za mitandaoni nami kujikuta muathiriwa kwa kuwa namba yangu imo kwenye simu yake, hivo basi natamani mfaham yafuatayo:- Application Date 13/02/2024 Due Date 19/02/2024 Platfoam Fee 45500TZS Amount...
  8. JamiiForums Tanzania Muhimu kabla ya vyote ijue size ya mpenzi wako

    Dear men, Unapokutana na mwanamke na ukatokea kumpenda, tenga muda wa kumfahamu vizuri ujue size yake. Muhimu kufahamu vitu anavyopenda na gharama zake. Mfano: mavazi, mitindo ya nywele na mambo mengine kadha wa kadha. Muhimu sana kuwa makini na mazungumzo yake. Lugha yake kama ni ya staha au...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Maneno ya Simba kabla ya jana kuhusu Yanga

    1. Hamuwezi mechi za kimataifa 2. Medali ya kombe la looser 3. Huku ni ligi ya Mabingwa bhana 4. Sio Shirikisho huku. NB Nasubiri update ya misemo mipya baada ya hii
  10. JamiiForums Tanzania Kabla ya maisha kuwapiga Watu wengi Knockout, wengi walifikiri wakifika miaka 30 wangekuwa na nyumba na Gari

    Habari za Jumapili, Maisha sio Pouwa! Nakubaliana na wale wanaosema Maisha ni majaliwa. Na jitihada hazizidi kudura. Wapo waliosoma kwa bidii mila hiyo na waliona taa ya matumaini kulingana na matokeo ya darasani waliyokuwa wakiyapata. Waliamini kuwa maisha yao na hatma yao ipo mikononi mwao...
  11. JamiiForums Tanzania Yusuf Bakhresa pokea simu ya Mudathir kabla mambo hayajazidi kuwa mabaya

    Mudathir wakati yupo Azam FC alikuwa mwishoni wa mkataba wake akaenda kuzungumza na uongozi wa Azam kuhusu kuingia mkataba mpya na akataka kuongezewa mshahara. Viongozi wa Azam FC na tajiri wao Yusuf Bakhresa wakamwambia sawa ila nenda tunajadili kisha tutakupigia simu. Baada ya muda akiwa kwao...
  12. JamiiForums Tanzania Ushauri wenu hapa kabla sijaingia miguu yote.

    Kuna hii investment wanaiita Pepsi vipi apa, Risk takers naweza kuweka mzigo au ndo ya Kalyanda..!
  13. S

    JamiiForums Tanzania Mke mwema huwa anazungusha sana kabla ya kukubali. Makurumbembe yenyewe huwa fasta tu yanaingia nyavuni

    Wnaume wamekuwa wakihangaika sana na wanaumiza vichwa sana kutafuta mwanamke mwenye sifa njema na tabia njema. Sexless kungwi mzoefu na mboezi nimejiridhisha kupitia uzoefu wa kazi yangu kuwa: 1. Mwanamke ambaye ni mrahisi kukubali kuanzisha mahusiano huwa siyo wife material. 2. Mwanamke...
  14. JamiiForums Tanzania Ali Kiba hapa kwa Dulla umefeli kabla ujaanza

    Wote tunajua Dulla planet bongo ni kijana aliyekuta planet bongo kama kipindi pendwa ikadondoka na kupotea kabisa. Sasa ndugu Ali kiba kapewa na mnene mmoja asimamie redio na kuipromoti ambayo inazinduliwa kabla ya pasaka. Yeye kiba akaenda kuokota dulla pale east africa radio na kumpa kitengo...
  15. JamiiForums Tanzania Ushauri: Aliwahi kutumia dawa za uzazi wa mpango sasa anapata ugumu kushika mimba. Anawezaje kupona tatizo hili? Nitafute mtoto kwingine?

    Habari wana MMU, natumai muwazima ndani ya jukwaa letu pendwa. Mimi ni kijana wa makamo niliye ndani ya ndoa sasa yapata mwaka wa tatu, na tatizo linalonikabili ndani ya ndoa yangu, nilikutana na binti mrembo ambaye kusema ukweli nilipenda sana na kuvutiwa naye hadi kufanya maamuzi ya kufunga...
  16. JamiiForums Tanzania Vodacom nawapa onyo kwa mara ya mwisho kabla sijafuata hatua mpya

    Ndugu zangu hamjambo ? Natumia ukurasa huu kuwaambia watumishi wa Vodacom na wahusika wote wa MGODI kuwa mtamponza mtumishi wenu kwa hizi sarakasi zenu . Mimi natumia laini ya voda mwaka jana nilijiunga na huduma ya MGODI specifically nilipendelea kuweka kiasi cha akiba kwenye akaunti ya akiba...
  17. JamiiForums Tanzania Maswali muhimu ya kumuuliza Mpenzi wako kabla hamjafikia hatua ya kuoana

    Kabla ya Kuoa au Kuolewa, Wataalamu wa Uhusiano wanashauri Wenza wajadili na kukubalianana kuhusu hali, tabia, matarajio na mambo mengine muhimu ikiwemo. Ulipaji Bili zetu utakuwaje? Mtindo wa Malezi ya Watoto utakuwaje? Una madeni yoyote na yanalipwaje? Afya ya Akili yako ikoje? (wote mpime...
  18. JamiiForums Tanzania Baada ya BRT kukosa mabasi mradi wa Mbagala waanza kuchakaa kabla ya uzinduzi pamoja na kwamba umekamilika kwa 99.9%

    Nasikitika nchi hii haina waandishi wa habari za kiuchunguzi kama zamani. Mradi wa mabasi yaendayo kasi Mbagala umeanza kuchakaa tayari kabla ya kuzinduliwa. Zege lina majani, michanga kama vile limejengwa 80s, vituo vinapigwa vumbi tu. Pikipiki na Bajaji ndio zimejimilikisha njia hiyo...
  19. D

    JamiiForums Tanzania Ushuhuda wa waliowahi kutusaidia tukapotezana nao kabla hatuwalipa fadhila

    Naamin jukwaa la JamiiForums ni dubwasha kubwa zaidi ya bahari.. Huenda tukakuta humu kuna watu wazuri walitusaidia lakini tukapotezana nao bila kurudisha fadhila ni vyema tukashare story huenda wahusika wapo humu**** Ngoja nianze kushare kisa changu ***************** PART: I...
  20. JamiiForums Tanzania Kabla hujaiponda Habari hakikisha kwanza upo Jukwaa gani

    Kumekuwa na Tabia kwa baadhi ya watu kudharau habari zinazopandishwa kwenye majukwaa ya JamiiForums. Unakuta Habari imepostiwa kwenye jukwaa la Celebrities inamuhusu msanii eg. Harmonize, Diamond, Nandy n.k ila anatokea mtu from nowhere ana-reply "Tuondolee habari za kitoto" mwengine unakuta...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…