Maneno ya Simba kabla ya jana kuhusu Yanga

Mkuu huu uzi uwe maalumu kwaajili ya kuweka risiti zao. Mimi naanza na hii risiti ya Uncle bright hii hapa chini risiti yake. Nitaendelea kuleta risiti za makolo wengine
IMG_20240225_100916.jpg
 
1. Hamuwezi mechi za kimataifa
2. Medali ya kombe la looser
3. Huku ni ligi ya Mabingwa bhana
4. Sio Shirikisho huku.

NB
Nasubiri update ya misemo mipya baada ya hii
Kwani nyie kabla simba hajaenda ivory coast mlikuwa mnasemaje?
 
Back
Top Bottom