Mke mwema huwa anazungusha sana kabla ya kukubali. Makurumbembe yenyewe huwa fasta tu yanaingia nyavuni

Sexless

JF-Expert Member
Mar 11, 2017
21,563
50,415
Wnaume wamekuwa wakihangaika sana na wanaumiza vichwa sana kutafuta mwanamke mwenye sifa njema na tabia njema.

Sexless kungwi mzoefu na mboezi nimejiridhisha kupitia uzoefu wa kazi yangu kuwa:

1. Mwanamke ambaye ni mrahisi kukubali kuanzisha mahusiano huwa siyo wife material.

2. Mwanamke anayesumbua na kuchukua muda mrefu kukubali kuanzisha mahusiano, huyu ndiye wife material.
 
Wengi wasichokijua ni kwamba huwa wanazungushwa mda mrefu kwa kuamini wakikubaliwa basi ndo mwanamke huyo si malaya japo ki ukweli ni kwamba kuna wengine hukubali sababu ya kusumbuliwa na hata wengine kukubali baada ya side A kuzingua.

Nikiwa na maana wanawake huwa wana back up tofauti kwenye mapenz so side A akizingua anahamia B

Jambo lingine la kuweka akilini ni kuwa mwanamke hupenda zaid siku ya kwanza kuonana na hyo utaligundua kupitia body language yake

Kwa leo niishie hapa
 
Kama nikikuelewa nakubali siku hiyo hiyo. Kuzungushana for what
IMG_6048.jpeg
 
Ewaaaaaaahhh, sasa unamzungusha zungusha mtu na huku una mpango wa kumkubalia ya kazi gani? Aki give up je?😂😂
Ubaki unalia lia na maujinga yako mwenyewe. Kama humtaki kataa, kama unamtaka kubali chaap muwahi kuwaza mambo mengine ya msingi.
 
Wnaume wamekuwa wakihangaika sana na wanaumiza vichwa sana kutafuta mwanamke mwenye sifa njema na tabia njema.

Sexless kungwi mzoefu na mboezi nimejiridhisha kupitia uzoefu wa kazi yangu kuwa:-

1. Mwanamke ambaye ni mrahisi kukubali kuanzisha mahusiano huwa siyo wife material.

.2. Mwanamke anayesumbua na kuchukua muda mrefu kukubali kuanzisha mahusiano, huyu ndiye wife material.
Mwanamke akikupenda hakuzungushi
 
Back
Top Bottom