Muhimu kabla ya vyote ijue size ya mpenzi wako

Mr George Francis

Senior Member
Jun 27, 2022
186
212
Dear men,

Unapokutana na mwanamke na ukatokea kumpenda, tenga muda wa kumfahamu vizuri ujue size yake.

Muhimu kufahamu vitu anavyopenda na gharama zake. Mfano: mavazi, mitindo ya nywele na mambo mengine kadha wa kadha.

Muhimu sana kuwa makini na mazungumzo yake. Lugha yake kama ni ya staha au imejaa dharau, kejeli, matusi na majivuno.

Muhimu kufahamu hali yake kimaisha, familia anayotoka na mtindo wake wa maisha au kwa lugha raisi tunasema "life style" yake kwa ujumla.

Lengo la kutaka kufahamu haya yote ni wewe kujua kama size yake inakutosha na unaweza kuendana nae siku zote za maisha yako au ni big size au ni below size hivyo hutaweza kuendana nae.

Kuna mwanamke unaweza kukutana nae leo na kumpenda lakini ni mwanamke wa gharama kubwa kuliko hali yako ya kimaisha.

Huyu ukilazimisha kuwa nae atakushinda na ataenda kwa mtu mwingine mwenye size yake na kufurahia maisha.

Sasa usije kutamani wanawake ambao sio size yako arafu kesho akihitaji elf 30 ya kusuka unaanza kulaumu na kutukana wanawake wote duniani kuwa wanapenda pesa.

Muhimu unapaswa kutambua kuwa kuna wanawake wazuri wa level zako ambao utapata takayekubali, kushukuru na kukuombea kwa Mwenyezi Mungu ukimpa elf 3 tu ya kusuka.

Brother, chagua mwanamke wa level zako. Yamkini ulipomhitaji mwanzo hukujua size yake lakini sasa umejua size yake jitathmini na chukua hatua.

Sio sahihi kuendelea kulalamika eti wanawake wanapenda sana pesa, ooh! sijui kimeenda kimerudi, achana na lawama zisizo za msingi brother.

Hakuna mwanamke wa gharama bali ni wewe tu umeamua kuchagua mwanamke ambaye sio size yako.

Kuna haja gani ya kukunua kiatu kikubwa kisha ujaze karatasi ndani ili kikutoshe wakati vipo viatu vingine vingi tu vizuri vitakavyokutosha mojakwamoja!!?

IJUE size ya MPENZI unayemtaka na uache kulaumu wanawake."

QUESTION: Je, mpenzi uliyenae ni size yako au ni oversize unapambana tu hivyo hivyo au tukuache kwanza ufikirie!!? 😀 😀

NAME: Mr George Francis
EMAIL: mr.georgefrancis21@gmail.com
PHONE: 0713736006
 
MUHIMU KABLA YA VYOTE IJUE SIZE YA MPENZI WAKO.

"Dear men,
Unapokutana na mwanamke na ukatokea kumpenda, tenga muda wa kumfahamu vizuri ujue size yake.

Muhimu kufahamu vitu anavyopenda na gharama zake.
Mfano: mavazi, mitindo ya nywele na mambo mengine kadha wa kadha.

Kweli kabisa,maana unaweza chagua ndio sio,wewe unakuwa kila siku kwa mama Ntilie,yeye ukiwa nae anataka mwende Midland hotel!
 
Kama mtoto wa kiume ukifikia level ya mleta mada ya kuanza kuwaelewa wanawake,basi Kuna uwezekano mkubwa ukawa unakaribia kufa.

Hao viumbe hawaeleweki mkuu,hata uende chuo ukajifunze,hutakuja kuwaelewa.
 
Wakati ye ananpima , same time na mie nampima

Yaani kifupi tunapimana, hua siamini ktk kuachwa naamin ktk kuachana
 
Nadhani wanaume wote wangetuelewa hivyo sidhani Kama kungekuwa na kucheat
Cha kuongezea ni kuwa Mwanamke usimzoeshe life style ambayo hautaweza kuimudu (sisi huwa tunatumia macho na masikio)kutumia akili tumewaachia nyie wanaume
Ndiyo maana mkapewa tahadhari kuwa muishi na sisi kwa Akili
Na sisi tutaishi kwa kuwasikiliza
 
Pendapenda wa JF wamekusikia, watalifanyia kazi
 
Kama mtoto wa kiume ukifikia level ya mleta mada ya kuanza kuwaelewa wanawake,basi Kuna uwezekano mkubwa ukawa unakaribia kufa.

Hao viumbe hawaeleweki mkuu,hata uende chuo ukajifunze,hutakuja kuwaelewa.
Mimi nipo upande wako nahisi humu tupo wawili tu tunalielewa hilo, umesema hawaeleweki?
 
Kuna wa buku tu lakini nao ni washenzi tu, ni wasumbufu, wana lugha mbaya, wachafu na hawajifunzi kuwa mke bora. Ya nini kukimbilia wanawake wa bei rahisi ikiwa hawakidhi viwango vya kuwa mke bora? Hao hao wa bei mbaya tunakomaa nao mradi tu wavutie kimahaba
 
Kwanini usiwafundishe vijana namna sahihi ya kutunza pesa zao na kuwekeza katika hisa au kilimo

Ukiwa msomi make a difference sex is overrated
 
Regardless mwanamke ni wa bei mbaya au bei rahisi kinachotakiwa ni mvuto wa kimahaba. Huwezi kukimbilia mwanamke wa bei rahisi asiyevutia kimahaba. Sometimes huwa tunawakimbia hawa wanawake ghali kama kipato hakikidhi mahitaji yao na kwenda kujipoza kwa wa bei ya chini. Wanawake wapenda matanuzi ya bajeti nao huchagua wanaume wao wanaomudu kuwatimizia mahitaji yao. Kuna wanawake mahitaji yao ni kununuliwa magari ya kifahari na kufunguliwa biashara kubwa wakati wengine ukimnunulia mafuta ya kujipaka ya jero tu unajibebea mke asubuhi tu na gharama yake kumtunza ni kumjazia misosi ya kupika nyumbani ale na kumnunulia vinguovinguo vya kubadilisha umemaliza mchezo. Hawa wanawake ghali wakatafute saizi zao
 
Nadhani wanaume wote wangetuelewa hivyo sidhani Kama kungekuwa na kucheat
Cha kuongezea ni kuwa Mwanamke usimzoeshe life style ambayo hautaweza kuimudu (sisi huwa tunatumia macho na masikio)kutumia akili tumewaachia nyie wanaume
Ndiyo maana mkapewa tahadhari kuwa muishi na sisi kwa Akili
Na sisi tutaishi kwa kuwasikiliza
Una akili saaana
 
Back
Top Bottom