jukumu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. sky soldier

    Jukumu la Elimu kwa watanzania ni kuwapitia ajira, Maarifa hayana umuhimu kwao ndio maana mwanachuo asipoajiriwa haoni faida ya elimu

    Jukumu kuu la elimu ni kumkomboa kifikra mtu na kumpa ujuzi muhimu lakini kinachofanyika hapa kwetu ni kuipa jukumu ambalo siyo lake la kuwatajirisha waipatayo kupitia ajira, mambo ya kukombolewa kifikra watu hawana mda nayo ndio maana ni kawaida sana kukuta hata mhitimu wa chuo hajawahi kusoma...
  2. The Sheriff

    Ni Jukumu la Kila Mmoja Kuhakikisha Watoto Wote Wanaishi Salama Katika Jamii

    Ukatili unaotekelezwa dhidi ya watoto unaweza kuwa wa aina nyingi. Unaweza kuwa wa kimwili, kihisia au kingono. Unaweza kufanyika katika mazingira yoyote kama vile nyumbani, katika jamii, shule na mtandaoni. Ukatili dhidi ya watoto unajumuisha aina zote za ukatili dhidi ya watu walio chini ya...
  3. East

    SoC02 Umuhimu wa kuzingatia utoaji huduma bora kwa umma kutoka kwa watumishi

    Utangulizi. Huduna ni shughuli ambayo hufanywa kwa manufaa ya wengine, inaweza tolewa na mtu au taasisi. Huduma bora ni shughuli itolewayo ili kukidhi mahitaji ya muhitaji, na muhitaji hurudhika nayo bila kinyongo. Mifano ya huduma ni kama kupata chakula, kutibiwa au hata huduma ya kufundishwa...
  4. N

    Kihoja; Wabunge wataka EWURA ipewe jukumu la kupandisha na mishahara

    Ilikuwa kama ni kichekesho lakini ni kweli tupu. Mdogo wangu (mtoto wa aunt yangu) kanipigia simu akiwa mghahawa wa pale bungeni leo. Mdogo wangu huyu kaenda Dodoma kupeleka malalamiko yake kwa Waziri Mkuu kwa kuwa baba yake amesingiziwa kesi ya uhujumu uchumi na yupo ndani kwa sababu ya siasa...
  5. The Sheriff

    Ni Jukumu la Kila Mmoja Kuhakikisha Mtandaoni ni Mahali Salama kwa Kila Mtumiaji

    Kujua haki na wajibu wako ni muhimu kila wakati, haswa ukiwa mtandaoni. Mtandao unapanua haki yetu ya uhuru wa kujieleza, lakini pamoja na uhuru huo, kuna wajibu wa kuwatendea wengine kwa kuzingatia utu na heshima. Kuwatendea wengine kwa heshima ni muhimu mtandaoni kama tu ilivyo ana kwa ana...
  6. Sky Eclat

    Gharama za matibabu ya wafanyakazi wa ndani wauguapo ni jukumu la nani?

    Huduma za afya zina gharama na hii ndiyo sababu watu wengi wanaishi kwa kudra za Mwenyezi Mungu. Wengine wanakwenda kupiga ramli kwa kuanguka na kuzimia bila kujua kuwa hii ni dalili ya hatari na inahitaji uchunguzi wa kitaalamu. Wengi huponea hutoa sadaka kanisani ili waombewe. Kuna...
  7. L

    China yabeba jukumu muhimu la kuwa nchi inayohimiza amani katika Afrika na dunia kwa ujumla

    China inaendelea kuonesha umuhimu wake duniani hasa katika bara la Afrika baada ya kutangaza kwamba itateua mjumbe maalumu katika pembe ya Afrika, ambayo imekuwa ikikabiliwa ni migogoro kila uchao. Hii pia inaonesha kwamba nchi hii kubwa ya Asia ina wasiwasi na hali ya usalama katika kanda hiyo...
  8. F

    Nani mwenye jukumu la kurekodi yanayoendelea Mahakamani?

    Mara kadhaa nimesoma kuwa wakili walimuomba Jaji awasomee alichoandika. Hivi Mahakama haina stenographers ambao kazi yao ni kuweka kumbukumbu ya kinachoendelea? Kama hiyo inashindikana, kwa nini wasirekodi kwa kutumia voice au video recorder? Mimi naona kumtegemea Jaji sio sahihi. Yeye...
  9. F

    Nini Jukumu la Mkemia Mkuu, TMDA na TBS katika kuhakiki ubora wa mafuta, vitambaa, keki na maji ya upako?

    Katika Huduma za Kiroho mbalimbali ndani na nje ya nchi kumekuwa na shuhuda za hadharani kabisa kuhusiana na matumizi ya bidhaa za upako kama mafuta, maji, vitambaa, bangili, keki nk. Nyingi za shuhuda hizi zimekiri nguvu iliyomo ndani ya bidhaa hizi ikiwemo nguvu ya kufisha baadhi ya...
  10. G

    SoC01 Kuleta maendeleo kwenye jamii ni jukumu la nani?

    Nilipokuwa mdogo niliwaza na kufikiri kuwa, swala la kuleta maendeleo (mabadiliko) kwenye jamii ni jukumu la serikali na matajiri pekee. Nilihisi wao pekee ndio wenye nguvu ya kufanya hivyo. Mpaka leo mawazo haya yapo kwa baadhi ya watu ikiwemo vijana. Wengi wetu uhisi kuwa kuna kikundi fulani...
  11. Hismastersvoice

    Mkuu wa Mkoa, jukumu la kuwaondoa Wamachinga ni lako. Usilikwepe

    Mkuu wa Mkoa kuagiza Wakuu wa Wilaya wawaondoe wamachinga barabarani ni kuwapa mzigo wasiouweza asilani. Hawa wamachinga walikwisha pewa jeuri na viongozi wakuu wa taifa na tumeshuhudia waliojaribu kuwaondoa waliondoka wao! Wewe binafsi uliwahi kuwapa muda wa kuondoka kwenye eneo la ujenzi wa...
  12. World Logistics Company

    Tusimuachie Rais Samia jukumu la kuinua uchumi wa nchi, tushirikiane..

    Wadau wa Biashara na Uchumi, Nchi yetu inapitia kwenye hatua za makusudi za kuinua uchumi ulioathiriwa vibaya na corona. Tunatoa wito kwa kila mdau wa sekta yoyote, asimuachie jukumu hili kiongozi wa nchi pekee. Sisi tumeamua kuangalia upande wa sekta yetu ya usafirishaji. Tumeona namna...
  13. Mystery

    Jeshi la Polisi kujipa jukumu la kuchunguza mauaji ya askari, ni sawaswa na kesi ya nyani kumpa ngedere

    Jeshi la Polisi nchini limejipa jukumu la kuchunguza mauaji yaliyotokea kwenye daraja la selander, ambapo mtu mmoja anayefahamika kwa jina la Hamza, aliwafyatulia risasi askari watatu na mlinzi mmoja wa kampuni ya SGA na kuwaua wote na askari wengine kadhaa kujeruhiwa na hatimaye yeye mwenyewe...
  14. OMOYOGWANE

    SoC01 Jukumu la kutengeneza ajira lianzie kwenye ngazi ya familia

    Asiye kujua hakuthamini, lakini vile vile uchungu wa mwana aujuaye mzazi, hakuna mzazi anayependa kuona mtoto wake anateseka au anaishia kuwa na maisha duni, kila mzazi anashughuli inayomuingizia kipato cha kulisha familia na kuendesha familia, kwa kuajiliwa au kujiajiri, Hapa nchini kwetu...
  15. Jidu La Mabambasi

    Kodi ya simu ni sawa. Kodi ni jukumu la kila Mtanzania

    Malamiki ya kodi ya simu yamekuwa mengi utafikiri jukumu la kidi ni la watu fulani tu. Wakati jumuantifauti za wafanyabiashara zinalia na RA wengine waliuwa wala hawaoni keri hiyo. Sasa kodi nibkwa kila mzalendo, watu wanalalamika. Wengine wanapanga biashara barabarani na hawslipi kodi hata...
  16. The lost

    Kama askari wanaolinda hifadhi wamegeuka wauaji, basi Bunge libadili Sheria ili wanajeshi wapewe jukumu la kulinda hifadhi zetu

    Kumekuwepo na ongezeko la mauaji ya raia yanayosababishwa na askari wa wanyamapori na wale wanaolinda hifadhi za taifa. Hii siyo picha nzuri na imewafanya wananchi wanaoishi maeneo hayo kuishi kwa hofu kubwa wengine wakipata ulemavu wa maisha kwa sababu ya ukatili wa askari hawa. Serikali...
Back
Top Bottom